Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Uzuri haujawahi kua na akili, mashariki ya kati, faida za bahari, faida za suez canal, mafuta ya kule, makundi ya wanamgambo ambao huondoa mamlaka kamili za kiraia Kwa mfano hamas kuipinga mamlaka ya palestina yote hayo hauwezi kuyafahamu milele
 
KULE WANAUAWA MAGAIDI. SO MNATAKA NA NYIE MUACHIWE TU? INA DHAMINI VIPI WEKA USHAHIDI WEWE KINEMBE.
Ataelewa nini? Ibrahim aqil kaliwa kichwa yeye mwenyewe kuna mtoto kafa pale, israel kule anatumia elimination method toka zamani kudhoofisha makundi ya kigaidi
 
Uzuri haujawahi kua na akili, mashariki ya kati, faida za bahari, faida za suez canal, mafuta ya kule, makundi ya wanamgambo ambao huondoa mamlaka kamili za kiraia Kwa mfano hamas kuipinga mamlaka ya palestina yote hayo hauwezi kuyafahamu milele
Huwa nikisoma hoja zako, nahitimisha kwamba kichwani kwako huna ubongo ila una samadi ya mbuzi katoliki iliyoanza kuoza
 
Sis lazima watuambie ukweli.maana bibi chura Kila siku huenda marekani kulialia kuomba msaada.vilevile wanatuambia ukweli Kwa manufaa yetu.Mfano hawataki serikali yetu ovu kuteka watu wake,hii ni Kwa faida ya tz na siyo marekani
Mtu muovu Hana moral authority ya kuelekeza wengine kuacha uovu
 
Nani alimuanza mwenzake? Until mtakapo acha bakuli na kuomba omba sana. Huna financial power ya kumzidi marekani kwa namna yoyote ile so yes hamna la kuwafanya, hamuwez kumtingisha
Kama tu CDM chenye hana cha kuifanya nyinyiem, wewe ni jitu jinga kabisa
 
Ni wajibu wa jumuia za kimataifa, ikiwemo Marekani kukemea na kulaani serikali zinazoteka na kuua wananchi wake.

Bila kujali huko Gaza pamekuwaje.

Halafu, kitendo cha Marekani sijui kuwasaidia Gaza haihalalishi serikali yetu kuteka na kuua raia, au kufumbia macho vitendo hivyo.

Nitaenda kuandamana tarehe 23.
USA Hana moral authority ya kutuelekeza cha kufanya juu ya maisha na uhai wa watu,
 
KULE WANAUAWA MAGAIDI. SO MNATAKA NA NYIE MUACHIWE TU? INA DHAMINI VIPI WEKA USHAHIDI WEWE KINEMBE.
Aliyekwambia wale Magaidi Nani? Au huyo huyo USA? Hata hapa kwetu Mwenyekiti kipindi fulani alituhumiwa Kwa Ugaidi?
 
Aliyekwambia wale Magaidi Nani? Au huyo huyo USA? Hata hapa kwetu Mwenyekiti kipindi fulani alituhumiwa Kwa Ugaidi?
Je alikutwa Gaidi au Hakukutwa? Magaidi watawahishwa mabikra 72 duniani kote
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Unaona kweli Palestina Hamas ni watu wa kuacha kweli? Al shabab na Al kaeda ni watu wa kuacha kweli? Au kwa sababu ya udini unafikiri hawa wanakusaidia chochote?
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Marekani itaendelea tu kukupangia cha kufanya iwapo tu hutaachana na hii tabia yako mbaya ya kupenda vitu vya bure kutoka kwake.
 
Back
Top Bottom