Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Kawaida mhuni nanaona yeye ndio mwerevu na hakuna mwingine anayeweza kumsumbua kwa chochote na lolote.
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu

NA KILA MARA MNAENDA ENDA KWAO KUOMBA MISAADA MBWA NYIE. RAIS AMESHAENDA MARA NGAPI USA?
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu

Kwa hiyo mauaji ya wapalestina yanalipiziwa watanganyika kwa sababu kuna ni waisrael au ndio mamalia ameamua kuwafurasha Waarabu
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Ndiyo, kwa sababu nchi yako ni ombaomba
 
Kwahivyo wapalestina wakiua waisrael wao wapigiwe makofi??
Kwahivyo wanaouawa TZ ni wapalestina kimatendo?
Kwahivyo wapinzani wakiuawa TZ viongozi wasiseme? Tena viongozi wanaowajengea Hadi vyoo msijinyee nakuwapa kondom msiishe Kwa ukimwi!!!
Nchi imejaa mapumbafu hii kazi kubwabwaja ujinga...shwain!!
 
nikumbushe umewahi kusikia Kuna balozi wa kudumu kutoka Tz nchini urusi au china ukiona hakuna jitafakari
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Kwamba asitie neno wakati CCM ikiendelea kuwachinja watanzania wanayoikosoa?
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Endeleeni kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia "kifo ni kifo tu"
 
Mnavutaga bangi mbichi Tanzania inaitaji USA kuliko USA inavyoitaji Tanzania fukuzeni balozi
 
Unaona kweli Palestina Hamas ni watu wa kuacha kweli?
Hamas wako Gaza. West Bank mazayuni wanafuata nini? Halafu wanawake na watoto wanaouawa kwa wingi nao ni Hamas? Kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas watu wengi wasio na hatia wauwawe, sasa kuna faida gani ya hizo sheria za kimataifa?
 
Wavaa kobasi..na midera ..hamna kitu wanajua zaidi ya alimu Dunia..na mijini kibao wacha wachapwe tu mpaka siku watakapo staarabika
Hakuna kuandamana tarehe 23. Hatutaki mtuharibie amani. Nawanasihi ndugu zangu Waislam wasitumike kuharibu amani ya nchi kwa maslahi ya kisiasa ya baadhi ya watu. Tusiharibu amani na utulivu wa nchi.
 
Hamas wako Gaza. West Bank mazayuni wanafuata nini? Halafu wanawake na watoto wanaouawa kwa wingi nao ni Hamas? Kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas watu wengi wasio na hatia wauwawe, sasa kuna faida gani ya hizo sheria za kimataifa?
Hamas ndio waliochokoza mambo na kila wakati wanafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom