Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

Hawakukaa kimya, walikuwa wanashangilia kama wale wapalestina waliokuwa wanapokea mateka wa Israel kwa nderemo na vidijo....mambo ya isreal sijui palestina ukraine ni issues zao huko, wacha waonyshane makali
kabisa kabisa mkuuu!yaani wakati wapalestina wanaua waisrael wao walikua wanashangilia, leo kibao kimegeuka wanalalamika!upumbavu mtupu
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Palestina yote ni ya kuteketeza walianza uchokozi wenyewe Oktoba 07. Viva Israel Viva IDF
 
Shithole countries kama Tanzania lazima zielekezwe mambo ya kufanya. Tanzania hapa duniani si inasindikiza nchi nyingine tu?
 
Back
Top Bottom