Hawakukaa kimya, walikuwa wanashangilia kama wale wapalestina waliokuwa wanapokea mateka wa Israel kwa nderemo na vidijo....mambo ya isreal sijui palestina ukraine ni issues zao huko, wacha waonyshane makali
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu