Mwenyekiti heshima yako.Na hapo ndipo wasafiri from bongoland msoto utakapopatikana.
Na tukifanya mchezo wa ku-issue certificate feki za Corona pia shughuli itakua pevu,juzi wakenya wamepigwa ban kuingia UAE baada ya kugundulika wanapewa certificate feki kutoka huko kwao.
What is wrong with you. Even Bill Barr, ambaye ni mwanasheria mkuu wa marekani. Ambaye aliteuliwa na trump. Amepinga hilo. Ww ni mshamba usiyemjua D Trump. Wala American policies. That is why I said it would have been better just to be quiet.This election is a tremendous fraud.
Millions of votes were brought in boxes from Vehicles with a Vote for biden Poster.
Sent using Jamii Forums mobile app
Orodha ya nchi zilizo kwenye Level 4 kwa mujibu wa CDC ni nyingi tu ikiwemo Kenya yenyewe lakini hawa Wakenya wameiweka Tanzania tu as if ndiyo ipo kwenye Level 4 na wewe Mkenya unashangilia. Hebu angalia kwenye website ya CDC hii hapa chini uone ni nchi ngapi ziko kwenye Level 4 ikiwemo Kunyaland yako (Kenya).Kwa taarifa yako: Siyo wakenya wamesema. Ni wamarekani. Najua english ni tatizo lako. Pole sana. Mwombe mtu akutafsirie. Sijasema watu walale nyumbani tu. Nchi inatakiwa kuwa wazi kwenye takwimu.
Kama huamini kua hapa corona ipo?, Wewe hapo ulipo una corona?,wewe na Jirani yako mmevaa barakoa?,Mnazingatia umbali kati ya mtu na mtu mbona tupo hatufi?Mimi nashindwa kuelewa. Inaingiaje akilini kwamba corona imetokomea kwa maombi lakini kansa, kisukari, ukimwi na magonjwa mengi hatari bado yapo. Kwa nini maombi yasiwe extended kutokomeza magonjwa yote na ifike wakati bajeti ya afya isiwepo na hata hospitali zisiendelee kujengwa..
Mkuu try to understand humor.What is wrong with you. Even Bill Barr, ambaye ni mwanasheria mkuu wa marekani. Ambaye aliteuliwa na trump. Amepinga hilo. Ww ni mshamba usiyemjua D Trump. Wala American policies. That is why I said it would have been better just to be quiet.
Barr says Justice Department has no evidence of widespread fraud in election
In an interview with The Associated Press, Attorney General William Barr said federal agents have uncovered no evidence that would change the outcome.www.cbsnews.com
Mkuu nahisi unaishi nchi mojawapo ya watu wenye furaha, kama ni kweli Hongera😁😂😅😄😃😃😁😂🤣🤣😄😃😃😄😄
Tutazuia watalii 🤣🤣🤣Hata hao Diplomats wanawavutia kasi tu kabla na wao kuanza kuwekewa mizengwe.Sijui tutalipiza?
Hahahaaa haha, marekani hakuna biashara za wajasiliaali,Ngoja wawazuie tu. Hakuna namna. Lissu akipeleka watoto wake mnalalamika eti ana watoto kwa mabeberu! Wawazuie si tu kwa covid-19, bali kuzima demokrasia na kushindwa kuandamana baada ya CCM kuiba uchaguzi kupitia kura za kwenye mabegi.
Hapo chacha....[emoji848][emoji848]..Issue ni kwamba tulichukua pesa zao kwa ajili ya kudhibit covid,at the same time tunautangazia ulimwengu kuwa hatuna covid.
Onyo linatolewa na chombo cha habari cha Kenya? And you can't even read between the lines...Magufuli anaipeleka nchi pabaya huku wajinga wakimshangilia. Ona hili onyo limetolewa leo. Nasikia kuna mmarekani amefarika kwa covid huko Zenji wiki iliyopita ndiyo maana wakatilia mkazo.
Kuna visa inaitwa multiple entry, unaweza hata kupewa ya miaka 5Marekani imeanza lini kutoa visa ya miaka 5 kwa Watanzania?