Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Iran walisema Black boxes zimeharibika. Ila according to radar ni kama ndenge ilitaka kurudi uwanjani. Though Captains hawakuma msg yoyote.
yule mfyatua mabomu alikuwa na mukhari sana,maana aliona kitu juu akajua akina trump hawa ngoja niwapige misile za fasta fasta kumbe anaua raia wasiyo na kosa,Mungu awa rehemu kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni hapo "ghafla "Hiyo ghafla ndo inaleta sababu mtu uweze fikiria kuwa ni missle ilihit ndege. Maana kungekuwa na tatizo Pilots wangepiga simu kwa contrôler. Inaonekana ni kitu cha ghafla hata Pilots hawakushangaa. Means kwenye cockpit kila kitu kilikuwa bien."This accident will be investigated by Iran's aviation organisation but the Ukrainians can also be present," he added.
US kuna kitu hapa wanataka kuficha kuhusu matatizo ya kiufundi ya ndege za Boeing.
Nilijua tu.iran msikabidhi hicho kibox cheusi kwa Boeing mtaambiwa mliweka mabomu.siasa hizi leo marekani wanacheza level moja na ccm. Time flies
Yah kwel tena hua unachambua vyema mnoooMimi huwa nasimama na ukweli ,Stuation ninavyoiona. Nadhani mimi ni mchambuzi. Sinaga upande. Sema uchambuzi wangu unamfavor one of them.
Tena Kikubwa KabisaHuu ndio ukweli.katika ile ndege kulikua na wananchi wa irani zaidi ya 80 Leo hii ukiniambia Iran imelipua hiyo ndege ni kichekesho
Kitendo cha Iran kukubali Kuwashirikisha Ukraine ktk uchunguzi,naamini 90% Iran hajaitungua hii ndege ,hapa inaonekana US anataka kuzuia aibu ya Boeing.Huoni hapo "ghafla "Hiyo ghafla ndo inaleta sababu mtu uweze fikiria kuwa ni missle ilihit ndege. Maana kungekuwa na tatizo Pilots wangepiga simu kwa contrôler. Inaonekana ni kitu cha ghafla hata Pilots hawakushangaa. Means kwenye cockpit kila kitu kilikuwa bien.
UKRAINE Wenyewe Waisha Comfirm Kama Kulikua Na Dharura Tayari ?!....Hujanielewa nadhani. Ile ndege ni Civil. Na wairan walikuwa wengi. Hivyo naamini kabisa ilikuwa tunguliwa na missile. Sema kwa bahati mbaya. Ila Iran kamwe hawawezi kukonfesi. Ila wanaregreat kimoyomoyo. Sema ili kusave image yao lazima hata hizo black boxes waziteketeze kabisa.
Ndege Ilitaka Kurudi Uwanjani Kwa nn ?!Iran walisema Black boxes zimeharibika. Ila according to radar ni kama ndenge ilitaka kurudi uwanjani. Though Captains hawakuma msg yoyote.
aisee, em tulia andika polepole bibiehawakuma
Kabsa Jama Kaishajua Kama Boeing Hamna Jambo Sasa Anatafta Pakutokea.....Kitendo cha Iran kukubali Kuwashirikisha Ukraine ktk uchunguzi,naamini 90% Iran hajaitungua hii ndege ,hapa inaonekana US anataka kuzuia aibu ya Boeing.
Good questions. Iran hakudhamiria Kuangusha ndege. Hiyo ni bahati mbaya imetokea. Ukiangalia muda .Pia hii habari ambayo Iran wamekuja nayo kuwa box ipo damaged. Inaleta wasiwasi.Yah kwel tena hua unachambua vyema mnooo
Ila unahisi katika hali yakawaida TEHRAN Ingeweza Kuripua Ndege Ambayo Ilikua Naraia Wengi Kiasi Kile Tena Wengi Wao Wakiwa RAIA Wake ?!
Unahisi IRAN Hakujua Kama Ile Ndege Sio Ya Abiria Na Je Makombora Yalofyatuliwa Yalikua Yanatokea wapi Kuelekea Wapi Na Ndege Ilikua Imetokea wapi 2 wap ?!
US Anaficha Madhaifu Ya Ndege Zake Ambazo Zinazidi Kupoteza Sifa Maana Kwa Sasa Mdege Ya Boeing Ya US Yanakiwango Chajuu Cha Ajali+Mauaji...m
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia simu. Balaa hili.aisee, em tulia andika polepole bibie
Yah kua boxlipo damaged linaweza kua lakutia shakaGood questions. Iran hakudhamiria Kuangusha ndege. Hiyo ni bahati mbaya imetokea. Ukiangalia muda .Pia hii habari ambayo Iran wamekuja nayo kuwa box ipo damaged. Inaleta wasiwasi.
Hayo ni maelezo. Ila pia kama ndege ilitaka kurudi uwanjani why Pilot asitume taarifa. Wanajichanganya tu. Cha muhimu hapo ni kuangalia kama kuna debris za missile.
Ngoja niingie chimbo kama nitapata direction ya ndege na path ya missles. Tatizo zilitumwa nyingi. Inawezekana nyingine ilikutana na path ya ndege .Yah kua boxlipo damaged linaweza kua lakutia shaka
Lakini nasuala la UKRAINE Kusema Kama Tatizo Lakiufundi Unalichukuliaje
Inawezekana ikatokea bahati mbaya sijakataa ila kwa hili napingana nalo kama hii ndege imeripuliwa kwa makusudi ama bahati mbaya.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Someni kwa makini habari yenyewe ndio mje kutoa maoni, sio mnaleta ushabiki kila sehemu, inasemekana ndege ilidondoshwa kwa bahati mbaya na makombora ya ulinzi wakizani ni ndege ya kivita au drones za marekani, sio kwa kwa makombora yaliyokuwa yanashambulia kambi za Marekani IraqYah kwel tena hua unachambua vyema mnooo
Ila unahisi katika hali yakawaida TEHRAN Ingeweza Kuripua Ndege Ambayo Ilikua Naraia Wengi Kiasi Kile Tena Wengi Wao Wakiwa RAIA Wake ?!
Unahisi IRAN Hakujua Kama Ile Ndege Sio Ya Abiria Na Je Makombora Yalofyatuliwa Yalikua Yanatokea wapi Kuelekea Wapi Na Ndege Ilikua Imetokea wapi 2 wap ?!
US Anaficha Madhaifu Ya Ndege Zake Ambazo Zinazidi Kupoteza Sifa Maana Kwa Sasa Mdege Ya Boeing Ya US Yanakiwango Chajuu Cha Ajali+Mauaji...m
Sent using Jamii Forums mobile app
"This accident will be investigated by Iran's aviation organisation but the Ukrainians can also be present," he added.
US kuna kitu hapa wanataka kuficha kuhusu matatizo ya kiufundi ya ndege za Boeing.
Niambie ww hizo sheria zinasemaje?Sheria za investigation za hizo black box unazifahamu mkuu? Me ninachojua US wanachohoji ni kwanini Iran wanapindisha utaratibu na sheria zilizopo za kuinvestigate black box.
Yah hili ndio lakuangalia ila sidhanii kama kuna any missile ilo hit hio ndegeHayo ni maelezo. Ila pia kama ndege ilitaka kurudi uwanjani why Pilot asitume taarifa. Wanajichanganya tu. Cha muhimu hapo ni kuangalia kama kuna debris za missile.