Uongo mtupu....Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran.
ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana..
View: https://x.com/megatron_ron/status/1742946718025486797?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sio Israel tu hata Qatar, UAE hawajawahi kushambuliwa na Isis.Hivi kwa nini ISIS haijawahi kupiga waisrael au Israel?
Mbona link Yako inasuport Andiko la mtoa Mada, ama hujui Islamic state ni kirefu Cha Isis?Uongo mtupu....
Masalafi ya kisuni ya Isis ni maadui wa Iran kwa sababu wanaamini Washia sio waislamu.
Isome vizuri mpaka mwisho unionyeshe uhusika wa Israel na US humo.Mbona link Yako inasuport Andiko la mtoa Mada, ama hujui Islamic state ni kirefu Cha Isis?
Kwasababu marekani ndio waasisi wa hilo kundiHivi kwa nini ISIS haijawahi kupiga waisrael au Israel?
Wewe na Hillary Clinton nani anaijua vyema marekani?Isome vizuri mpaka mwisho unionyeshe uhusika wa Israel na US humo.
Nje ya mada ustadhi.Wewe na Hillary Clinton nani anaijua vyema marekani?
Hivi kwa nini ISIS haijawahi kupiga waisrael au Israel?
Isis na Al Qaeda ni Makundi ya Israel na west Kuna mamia ya Ushahidi kuthibitisha hiloSio Israel tu hata Qatar, UAE hawajawahi kushambuliwa na Isis.
Naona umeamua kukimbia uwe na siku njemaNje ya mada ustadhi.
Unajiabisha tu bora ungekaa kimya huko kwenye vijiwe nyenu mnadanganya tu toka lini Isis wakawa masalfi hiyo link iliyoleta hata hujui kilichoandikwa unajua kama huko Syria miaka yote Isis wanapigana nyuma ya Israel takusaidia kukuletea ushahidi.Uongo mtupu....
Masalafi ya kisuni ya Isis ni maadui wa Iran kwa sababu wanaamini Washia sio waislamu.
Angalia hii video clip Netanyahu kaenda hospital kuwaangalia majeruhi wa Isis 2014Isome vizuri mpaka mwisho unionyeshe uhusika wa Israel na US humo.
Soma vizuri mleta mada hoja yake, ameuliza kwanini Israel akiwa na adui Isis anampiga huyo adui? Kwanini ana Common Enemy na Isis? Mfano hao Qatar, Uae etc nao ni washirika wa Israel Isis hana time nao,Isome vizuri mpaka mwisho unionyeshe uhusika wa Israel na US humo.
Hizi ni nadharia njama tu ambazo hazina uthibitisho wa moja kwa moja mpaka sasaIsis na Al Qaeda ni Makundi ya Israel na west Kuna mamia ya Ushahidi kuthibitisha hilo
Ungeweka link kusapoti hii hoja..... Israel iliwahi kukiri kuwatibu waasi wa Syria waliojeruhiwa enzi za Vita Ila sio Isis.1. Mkuu wa Mossad akihojiwa na Al Jazeera amekiri wakiumia wanatibiwa Israel.
Silaha nyingi za Isis zilizotoka China Ila zilinunuliwa na US na Saudia kwa ajili ya waasi wa Syria wapinzani wa Assad Ila ziliishia mikononi wa Isis baada ya kuwazidi hao waasi.2. Kuna Ushahidi wa receipt na logistic silaha zinatoka USA hadi kuwafikia
Alqaeda na Taliban ni washirikina toka enzi za Osama mpaka leo hivyo hawapigani.3. Isis na Al qaeda wanapigana na Nchi adui wa west tu bila kujali Wana mrengo Gani wa kidini, Isis Sasa hivi wapo hadi Afghanistan, wameanza mashambulizi soon baada ya USA kuondoka,
Hakuna uthibitisho kuwa kuondoka kwa Ufaransa kumeleta utulivu West Africa, hili linahitajika utafiti maana tumeshuhudia kuvunjika kwa mkataba wa amani Kati ya waasi wa Tuareg na utawala wa kieshi wa Mali, pia kumeripotiwa mashambulizi mapya ya kigaidi huko Niger.4. Wapo hadi Africa maeneo ambayo Mfaransa yupo, Kaja Wagner soon wanapigana na Wagner, jinsi Ufaransa anavyofukuzwa na magaidi nao wanapotea, viongozi wa Nchi tofauti tofauti west Africa wanasema wapo Funded na Ufaransa.
Hao ni waasi wa Syria waliokuwa wakipigana na serikali ya Assad.Angalia hii video clip Netanyahu kaenda hospital kuwaangalia majeruhi wa Isis 2014
View: https://youtu.be/Egl9NzuiD8c?si=dxgU0-yjhdlppMnO
Hujui lolote kuhusu haya makundi soma hii kutoka kwa Waisrael wenyewe wanakubali kuwasaidia Isis huko Syria na makundi mengine.
Nchi nyingi tu zilifadhili uasi huko Syria ila vinara ni Uturuki, Saudia, Qatar, Marekani na nchi nyingine za Ghuba....Hujui lolote kuhusu haya makundi soma hii kutoka kwa Waisrael wenyewe wanakubali kuwasaidia Isis huko Syria na makundi mengine.