Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Soma vizuri mleta mada hoja yake, ameuliza kwanini Israel akiwa na adui Isis anampiga huyo adui? Kwanini ana Common Enemy na Isis? Mfano hao Qatar, Uae etc nao ni washirika wa Israel Isis hana time nao,
Hili pia linahitaji utafiti kuthibitisha hilo....

Kama ndio hivyo mbona Marekani, UK etc walishambulia Isis kule Syria na Iraq ?....badala ya kumuacha rafiki wa Israel yaani Isi atambe.
 
ISIS sio Masalafi ni Makhawariji miongoni mwa makundi maovu kabisa katika Uislamu..
Unaumiza kichwa chako hajui chochote huyo toka lini Masalafi wakapigana vita Manahaji ya Salafi hawataki kabisa vita. Sasa huyu anakuambia Isis na Masalafi😂
 
ISIS sio Masalafi ni Makhawariji miongoni mwa makundi maovu kabisa katika Uislamu..
Makala nilizosoma ndio zimewaita hivyo, kuwa Isis ni masalafi wa Kisuni wenye misimamo mikali.

Sijui mengi kuhusu mgawanyiko wa kimadhehebu ya kiislamu, nakiri hili

 
Any Middle East observer would find a question about the basic posture of Israel vs. ISIS a practical no brainer. Such an observer would confidently state that these two entities are staunch enemies, currently engaged in multiple types of warfare and destined to continue on that path. For Israel, according to this intuitive rational, ISIS is but another link in a long chain of terror entities sworn to its destruction, much like Hamas, Hezbollah, Palestinian Islamic Jihad, and many others. For ISIS, the narrative would continue to claim, Israel is a natural primary target.

But the reality is very different. Israel and ISIS have both—perhaps surprisingly—demonstrated high levels of restraint toward one another. Israel is not part of the international coalition fighting ISIS, and the jihadist group has yet to mount any serious attack on Israel-proper. ISIS rhetoric toward Israel is also limited in volume and even less brutal in tone compared to ISIS’ other enemies, mainly Shiite Muslims and Arab regimes.
 
Hizi ni nadharia njama tu ambazo hazina uthibitisho wa moja kwa moja mpaka sasa


Ungeweka link kusapoti hii hoja..... Israel iliwahi kukiri kuwatibu waasi wa Syria waliojeruhiwa enzi za Vita Ila sio Isis.



Silaha nyingi za Isis zilizotoka China Ila zilinunuliwa na US na Saudia kwa ajili ya waasi wa Syria wapinzani wa Assad Ila ziliishia mikononi wa Isis baada ya kuwazidi hao waasi.


Alqaeda na Taliban ni washirikina toka enzi za Osama mpaka leo hivyo hawapigani.

Isis na Taliban ni maadui toka Marekani akiwa na askari huko Afghanistan na walishapigana mara nyingi tu na sababu ni kutofautiana itikadi.

Isis na Alqaeda ni maadui wakubwa.


Hakuna uthibitisho kuwa kuondoka kwa Ufaransa kumeleta utulivu West Africa, hili linahitajika utafiti maana tumeshuhudia kuvunjika kwa mkataba wa amani Kati ya waasi wa Tuareg na utawala wa kieshi wa Mali, pia kumeripotiwa mashambulizi mapya ya kigaidi huko Niger.

Mkuu nishaeka ushahidi mara kibao ila nyie huwa mnasahau, kutokea huko juu video aliyoeka mtoa mada waasi wa Syria ni Al Nusra Front ambao ndio Branch ya Al Qaeda video hii hapa


View: https://m.youtube.com/watch?v=vweHtxqnh-Y

Kwamba Wanakuwa supplied silaha na USA

Ushahidi huu

 
Mkuu nishaeka ushahidi mara kibao ila nyie huwa mnasahau, kutokea huko juu video aliyoeka mtoa mada waasi wa Syria ni Al Nusra Front ambao ndio Branch ya Al Qaeda video hii hapa


View: https://m.youtube.com/watch?v=vweHtxqnh-Y

Kwamba Wanakuwa supplied silaha na USA

Ushahidi huu


Syria Kuna makundi mengi sana ya waasi, waasi wa kikurdi (PYG) na FSA ndio waliofadhiliwa Sana na wamagharibi ila Uturuki, Qatar ndio wafadhili wa Al nusra.

Moja ya sababu ya ule mgogoro Kati ya Saudia UAE,Misri dhidi ya Qatar ni ufadhili wa Qatar kwa Al nusra na Muslim brotherhood.
 
Hili pia linahitaji utafiti kuthibitisha hilo....

Kama ndio hivyo mbona Marekani, UK etc walishambulia Isis kule Syria na Iraq ?....badala ya kumuacha rafiki wa Israel yaani Isi atambe.
Hizo ni geresha mkuu, Kampuni kibao za West Zina fund isis, Juzi juzi hapa Kuna Scandal Ericson wamewapa hela Isis, Laforge ya Ufaransa pia ilipigwa Fine kuwapa hela Isis. Nimekuwekea juu Uzi mrefu sana Wa Dilyana akichambua namba Gani USA anawapa silaha kaweka Ushahidi wa Kila step.

Pia mkuu kaa Chini soma Tena 9/11 lakini usisiome kwa Mrengo wa USA Bali kwa wasaudi waliohusika na ule mlipuko.

1. Fbi Kila wakitaka kumkamata msaudi aliehusika CIA wanaingilia katikati hadi anakufa yule jamaa FBI hawajawahi kumhoji

2. Jamaa amefariki Yemen ameuliwa na Houthi

Kwanini CIA wakataze FBI kumkamata mhusika wa mlipuko? Kuna Mahusiano Gani ya Al Qaeda Agenti kupigana Yemen na Houthi?
 
Syria Kuna makundi mengi sana ya waasi, waasi wa kikurdi (PYG) na FSA ndio waliofadhiliwa Sana na wamagharibi ila Uturuki, Qatar ndio wafadhili wa Al nusra.

Moja ya sababu ya ule mgogoro Kati ya Saudia UAE,Misri dhidi ya Qatar ni ufadhili wa Qatar kwa Al nusra na Muslim brotherhood.

Mkuu usibadili gia na kunitoa Nje ya Mada naongelea specific Al Nusra front, kiongozi wa Mossad kaongea specific Al Nusra na mwandishi wa Habari alimhoji specific Al Nusra hakuna kikundi Chochote si Cha wakurdi Wala waasi wengine waliongelewa hapo, je Al Nusra ni branch ya nani? Si Al Qaeda Syria wanaitwa Al Nusra? Iweje Israel iwatibu?
 
Nchi nyingi tu zilifadhili uasi huko Syria ila vinara ni Uturuki, Saudia, Qatar, Marekani na nchi nyingine za Ghuba....

Soma hii itakusaidia...

Uturuki hawakuwa wanafadhili directly kama kufadhili bali walikuwa wananunua mafuta ya magendo kutoka kwa ISIS ila kwa bei ndogo sana.
Hivyo wao walikuwa wanafanya nao biashara na ile hela ndio ISIS wanatumia kununua silaha. Uturuki ni Waislamu wenzao.

Hao wengine kina Saudi na wenzake walifadhili uasi Syria kwa sababu zao. Ila kusema walifadhili ISIS haipo, sababu ISIS yenyewe plans zake ilikuwa kushambulia Saudi Arabia ila ndio hawakuweza. Saudi ni Wasuni, ISIS wanawachukia Saudi kuliko Israel, kwenye Quran wanaelekezwa hivyo.
 
Back
Top Bottom