baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Salafi ndio Hawa Tanzania wanaitwa Answari
1. Ulamaa mkubwa wa salafi anaitwa Sheikh Al Bani alitoa fatwa Wapalestina wahame waondoke lile eneo, view za salafi nyingi zipo kwenye imani na kutoa elimu kuliko kuwa active kwenye siasa
2. Katika Makundi ambayo yapo mbali kabisa na Jihadi ni Answari hao salafi.
Kifupi mkuu salafi ni kundi ambalo halina hata time na siasa, kwa Mrengo wao hata kumcriticise kiongozi public kwao ni dhambi
Ndio maana hujasikia awamu yoyote ile Ugomvi wa Serikali na Salafi, Masheikh kama kina Kishki, Barahiyani na wengineo ni vipenzi vya watawala sababu hawakosoi uongozi hadharani.
Saudi na wenzake kina Israel na USA wanatumia upenyo huo kuaminisha watu ni Makundi ya kisalafi, ila ukiwa Muisilamu na unawafahamu Hawa jamaa utaona ni kamba.