inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Elewa mantiki,rejea mjadala ulikotokaHata huko Washia wapo, pia Saudia, Bahrain hata huko Kuna mashia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa mantiki,rejea mjadala ulikotokaHata huko Washia wapo, pia Saudia, Bahrain hata huko Kuna mashia.
Duh!... Saudia ni wasuni na Isis wasuni Ila Israel wayahudi wengi, yaani wachukie ndugu zao katika Imani kuliko Wayahudi wanaowanyanyasa Wapalestina?....Saudi ni Wasuni, ISIS wanawachukia Saudi kuliko Israel, kwenye Quran wanaelekezwa hivyo.
Hilary Clinton alisema waliunda ISIS,na ilitumika kupambana na assad pale syriaNje ya mada ustadhi.
Alnusra walidhibiti mpaka Kati ya Israel na Syria kipindi kile cha Vita, huenda walikuwa na makubaliano ya Siri ili wasishambuliane ila tambua mfadhiliwa mkubwa wa Alnusra alikuwa Qatar.Mkuu usibadili gia na kunitoa Nje ya Mada naongelea specific Al Nusra front, kiongozi wa Mossad kaongea specific Al Nusra na mwandishi wa Habari alimhoji specific Al Nusra hakuna kikundi Chochote si Cha wakurdi Wala waasi wengine waliongelewa hapo, je Al Nusra ni branch ya nani? Si Al Qaeda Syria wanaitwa Al Nusra? Iweje Israel iwatibu?
Mbona Sasa waliishambulia badala ya kuiacha wammalize Assad ?Hilary Clinton alisema waliunda ISIS,na ilitumika kupambana na assad pale syria
Hayo ni maneno ya kujifariji tu!! Ni mapigo mangapi Iran ameshapigwa kwa njia tofauti tofauti, lakini huwa anaishia kupiga kelele tu?!! Na yeye kila tatizo likimpata lawama ni US?? Sasa US ameshatoa onyo kwa hicho kikundi kilichopo Yemen, kuwa kitakachowakuta wasije laumu.Ndio njia pekee kwa United Shits Of Americant na israhell wanayoweza kupambana na iran
Sababu kutuma jeshi likaivamie kama walivyo fanya kwengineko kote hawathubutu
Sababu Israel sio nchi ya KiislamuHivi kwa nini ISIS haijawahi kupiga waisrael au Israel?
QUR'AN gani inawaelekeza ISIS kuwachukia saudia kuliko Israel!?Uturuki hawakuwa wanafadhili directly kama kufadhili bali walikuwa wananunua mafuta ya magendo kutoka kwa ISIS ila kwa bei ndogo sana.
Hivyo wao walikuwa wanafanya nao biashara na ile hela ndio ISIS wanatumia kununua silaha. Uturuki ni Waislamu wenzao.
Hao wengine kina Saudi na wenzake walifadhili uasi Syria kwa sababu zao. Ila kusema walifadhili ISIS haipo, sababu ISIS yenyewe plans zake ilikuwa kushambulia Saudi Arabia ila ndio hawakuweza. Saudi ni Wasuni, ISIS wanawachukia Saudi kuliko Israel, kwenye Quran wanaelekezwa hivyo.
Salaf na Sunni ni vitu viwili tofauti?? kabla ujaandika na kupost uliza kwanza hata hujui unaandika nini.
Israel alikuwa anawapa makundi yote silaha yalikuwa yanapiagana na Syria.
Link hii👇🏽
Waishambulie wapi babu,story tu,Al Baghdad wametangaza kumuua Mara kibao,Kuna siku waliwashushia silaha kule iraqMbona Sasa waliishambulia badala ya kuiacha wammalize Assad ?
Salafi ni sehemu ya Sunni ila Wasalafi wa msimamo mkali (jihadists) hawaitaki Sunni. ISIS ndio mojawapo ya hao jihadists.Salaf na Sunni ni vitu viwili tofauti?? kabla ujaandika na kupost uliza kwanza hata hujui unaandika nini.
Israel alikuwa anawapa makundi yote silaha yalikuwa yanapiagana na Syria.
Link hii👇🏽
Quran ileile iliyokuwa inawaelekeza kukata vichwa wasio wa imani yao. Au hutaki kusema mwongozo wao ni Quran?QUR'AN gani inawaelekeza ISIS kuwachukia saudia kuliko Israel!?
Mkuu unacho bisha ni bure kwa sababu ushilikiano wa Israel na Al nusurafront ambalo ni tawi moja awapo la mtandao wa Alqaida uko wazi na Israel ilikuwa inawapatia msaada wa matibabu kwenye hospital za mpakani mwa Syria na Israel japo sijui kama na silaha ilikuwa ina wapatia .Nchi nyingi tu zilifadhili uasi huko Syria ila vinara ni Uturuki, Saudia, Qatar, Marekani na nchi nyingine za Ghuba....
Soma hii itakusaidia...
![]()
The rise and fall of ISIL explained
Three years after Mosul takeover, here is a breakdown of ISIL’s path from its very beginnings to its current decline.www.google.com
Hujui lolote kuhusu haya makundi soma hii kutoka kwa Waisrael wenyewe wanakubali kuwasaidia Isis huko Syria na makundi mengine.
Nilimaanisha uweke hiyo Aya inayoelekeza hivyo!?Quran ileile iliyokuwa inawaelekeza kukata vichwa wasio wa imani yao. Au hutaki kusema mwongozo wao ni Quran?
Ndiyo maana nakuambia kabla ujaandika uliza Salaf hawataki vita hawataki fujo zozote msikilize huu Sheikh wa Kisalaf wa UK.Salafi ni sehemu ya Sunni ila Wasalafi wa msimamo mkali (jihadists) hawaitaki Sunni. ISIS ndio mojawapo ya hao jihadists.
Wamejitenga after comments za kiongozi wa Mossad kusave face, Alivyobwatuka huyo kiongozi ni 2016 mwaka 2017 kundi likawa disolvedAlnusra walidhibiti mpaka Kati ya Israel na Syria kipindi kile cha Vita, huenda walikuwa na makubaliano ya Siri ili wasishambuliane ila tambua mfadhiliwa mkubwa wa Alnusra alikuwa Qatar.
Hapo awali Alnusra walikuwa branch ya Alqaeda ila walijitenga na Alqaeda baadae wakajiita HTS (Hayat tahriri Al sham).
Video hii hapa
View: https://m.youtube.com/watch?v=vweHtxqnh-Y
Jamaa wazi wazi ana kiri hawana Ugomvi na Al Qaeda na wanawatibu.
Mkuu nchi nyingi hapo awali zilifadhili waasi wa Syria, ila baadae wakati wa vita vikaibuka na vikundi vyenye misimamo mikali ikiwemo Alnusra.Wamejitenga after comments za kiongozi wa Mossad kusave face, Alivyobwatuka huyo kiongozi ni 2016 mwaka 2017 kundi likawa disolved
![]()
Al-Nusra Front - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Hivi mkuu kundi ambalo limelipua 9/11 Kuna ambao limetoa Osama, kundi ambalo kwa miaka nenda miaka Rudi tunaaminishwa ndio hatari kushinda yote Duniani, Kuna Excuse yoyote ya Israel kushirikiana nao?