Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

Kama ni kombora linaloweza kusafiri hadi 2,000km hilo ni kombora la kibalistiki la masafa ya kati sio ICBM. ICBM ni makombora yanayosafiri toka bara moja kwenda lingine na yanakuwa na range kuanzia 3,500km na kuendelea.
 
Tunasubiri meli ya kubebea droni ya Iran na Uturuki iingie kazini.Zote hizo zitarudishwa kwao Carlifornia
US bado ana mawazo ya kitoto sana, anadhani ni yeye tu ndio ana technology. Hajui dunia inabadilika kila kukicha, Kesho usije shangaa Burkino faso wajawa na Nuclear
 
Kama ni kombora linaloweza kusafiri hadi 2,000km hilo ni kombora la kibalistiki la masafa ya kati sio ICBM. ICBM ni makombora yanayosafiri toka bara moja kwenda lingine na yanakuwa na range kuanzia 3,500km na kuendelea.
Ni kitu hicho hicho inategemea na eneo lilipoanzia.Tujaalie hilo kombora wanalo Hamas au yale ya Hizbulah ambao wote wako karibu na Italy ambayo iko Europe.Likipigwa likafika litaitwaje.?
Sifa mojawapo ya balistic ni muda mfupi linalochukua kufika lilipokusudiwa kufika.
 
Kuna tactical ballistic ambazo zinaenda 100km hadi 300km, kuna shortrange ballistic inayoruka hadi 1,000km, kuna midrange ambayo inaenda hadi 3,000km na kuanzia 3,500km ndio long range ballistic au ICBM ambazo zinakuwa kubwa na zinakuwa na warhead zaidi ya moja. Ikiwa kwenye final stage warhead inatajifungua na kutawanyika kuelekea kwenye target kwenye sehemu tofauti tofauti.
 
Bado hujasema 🤣na utasema tu.
Last time mlisema kapiga kuku,
Ila hadi majogoo yaliliwa vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…