Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

Ni ngumu sana Kuwanyang'anya Silaha Raia wa Marekani,Ni Sehemu ya maisha na Uhuru wao kwa karibu miaka 250..
 
Inasikitisha sana na pole yao sana wahanga na wafiwa...
 
ugaidi lazima uwe na sifa mkuu.

uwe na lengo la kushinikiza,kutisha mamlaka,na kuzua taharuki,kwa malengo ya kidini au kisiasa.

kinyume na hapo mhusika anakuwa mgonjwa wa akili tu,hata kama ana sijda.
Endelea kuhalalisha haramu
 
Ni ngumu sana Kuwanyang'anya Silaha Raia wa Marekani,Ni Sehemu ya maisha na Uhuru wao kwa karibu miaka 250..

Hapana ni biashara pekee inayowalipa huku wakijidanganya wanapunguzana kimtindo

Hii biashara inaingizia serikali mapato makubwa sana na ni biashara ya wakubwa na wengi wamo hawawezi kuipiga marufuku
 
... pole zao! Wamarekani wasipoangalia upya sera yao ya umiliki wa mabunduki itawagharimu sana. Muuwaji ni race gani? Asili ya wapi? Utimamu wa afya ya akili? Hizo ni parameters muhimu.
Makampuni ya kutengeneza bunduki yanafadhili wanasiasa wahafidhina, hivyo matukio ya aina hiyo yataendelea tu.
 
Back
Top Bottom