Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaizungumzia Tanzania ama Marekani?
Waje wale kenge wa bluu wanaodhani wazungu wote wana akili sana na hawana madhaifu sawa na Malaika...[emoji19]Wale wanaosifia marekani wake kutupa maelezo ya kutosha kwa Nini machali yamecharuka yanauana wao kwa wao?
Endelea kuhalalisha haramuugaidi lazima uwe na sifa mkuu.
uwe na lengo la kushinikiza,kutisha mamlaka,na kuzua taharuki,kwa malengo ya kidini au kisiasa.
kinyume na hapo mhusika anakuwa mgonjwa wa akili tu,hata kama ana sijda.
AusiooUgaidi ni pale muislamu anapohusika tu.
Hilo eneo wakazi wengi ni walatino..naamini haya idara yao ya polisi wengi na inaongozwa na hao hao..
Ni ngumu sana Kuwanyang'anya Silaha Raia wa Marekani,Ni Sehemu ya maisha na Uhuru wao kwa karibu miaka 250..
Makampuni ya kutengeneza bunduki yanafadhili wanasiasa wahafidhina, hivyo matukio ya aina hiyo yataendelea tu.... pole zao! Wamarekani wasipoangalia upya sera yao ya umiliki wa mabunduki itawagharimu sana. Muuwaji ni race gani? Asili ya wapi? Utimamu wa afya ya akili? Hizo ni parameters muhimu.
Pamoja na kuwepo baadhi ya Texans kutaka kujitenga,hakuna anayefikiria kuwa sehemu ya Mexico.,hata kama kihistoria ilikuwa Sehemu yao.Texas ni Mexico tu wanailazimisha kuwa [emoji631]
Pamoja na kuwepo baadhi ya Texans kutaka kujitenga,hakuna anayefikiria kuwa sehemu ya Mexico.,hata kama kihistoria ilikuwa Sehemu yao.