PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Baada ya Miezi utamjua hadharani aliyevurugwa subiri Kwanza uchunguzi ukamilike hawa ndiyo marekani kama ulikuwa hujuiPompeo amevurugwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya Miezi utamjua hadharani aliyevurugwa subiri Kwanza uchunguzi ukamilike hawa ndiyo marekani kama ulikuwa hujuiPompeo amevurugwa!
Nimejua baada ya acc ya Trump ambayo anayotumia,kwani kwakufanya hivyo ni sawa umeminya UHURU WA KUJIELEZA na kwa kuminya uhuru huo manake,immeenda kinyume na KATIBA .Kama humjui sasa umejuaje imechezewa! Hiko kitakuwa ni kihoja
Kuna jambo kubwa litaikumba Marekani.Haya Pompeo ameyaongea akijua what will happen to America.Watch this.
Wanazuia watembeza bakuri wetu mkuu.WB iliyotupa pesa ya kujenga flyover ubungo na barabara za mwendo kasi ipo Washington DC mkuu kama hujuiKumzuia mtu kwenda Marekani nayo ni adhabu?
Marekani ilikuwa zamani bhana!Baada ya Miezi utamjua hadharani aliyevurugwa subiri Kwanza uchunguzi ukamilike hawa ndiyo marekani kama ulikuwa hujui
Huoni kumfungia ni sawa na kumnyima HAKI YAKE YA UHURU WA KUJIELEZA.Sasa kwani ni serikai ya Trump iliyomfungia Trump account yake ya twitter? 😁
Nimejua baada ya acc ya Trump ambayo anayotumia,kwani kwakufanya hivyo ni sawa umeminya UHURU WA KUJIELEZA na kwa kuminya uhuru huo manake,immeenda kinyume na KATIBA ...
Ndio mkuu,hakuna ugonjwa wa Corona,ni utapeli tu.Jambo kubwa hili hapa👇!Jambo kubwa zaidi ya Corona?
Ukiwa mr.wahapa hapa ni ngumu kuelewa tamko la wamarekani,lakini pia wanaccm huwa ni slow learners so just wait kama US wako serious you will seeAhaaa... Yani mtoto wa Mahera apate tabu kisa baba kazuiwa kwenda USA?....
Hebu nikuulize...yeye huyo Pompeo mbona Ulaya wamemsusa alipotaka kwenda kuwaaga. Wote wamemkataa? Trump's era has got no influence at all. He should mention the names. And Biden can reverse the order as he will do with many others that are controversialMahera inakuhusu hii
Habari njema sana hii kwa wapenda demokrasia.
Kwani marekani ni.mbiguni?Mahera inakuhusu hii
Sijui kama account yake imefutwa,ameifuta imesimamishwa au ameiuza. Wewe niambie imepatwa na nini.
Jibu hilo hapo 👇👇Sijui kama account yake imefutwa,ameifuta imesimamishwa au ameiuza. Wewe niambie imepatwa na nini.
Na msiseme Makonda alifungiwa kwa kukataa mashoga, Museveni hataki hata kuwasikia mashoga Uganda lakini Marekani anakwenda.Kwani marekani ni.mbiguni?
Mnao abudu kwenda huko ndo.mna shida.
Mwisho wa Twitter ujumbe, 1There are consequences for interfering in the democratic process. Starting today, we are imposing visa restrictions on those involved in election interference in Tanzania. We remain committed to working together to advance democracy and mutual prosperity for both our countries.
— Secretary Pompeo (@SecPompeo) January 19, 2021