Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

....Marekani huwa ni jeuri wa kurudi nyuma, na macho madogo huwa hawapendi dharau hasa kwenye masuala yanayohusu usalama na maslahi yao. Tusubiri tutaona nani JOGOO na nani Mtetea.
Hapo mtetea hujauona tuu? Hata mchonyo wake huuoni?
 
Hataenda Taiwan si kwa woga ila kwa kuepuka madhara yake kwa dunia
 
Utakua mvaa kobazi tu ndo maana una reasoning ya hovyo... akitua Taiwan nakufwata hapo mtambani na mlinzi wangu akupakue kidogo akili itulie.
Wavaa kobazi wameingiaje mbona una chuki za kithenge sana pambana na hoja usitaje watu fulani kwani ukimtaja baba ako au mama ako Kuna shida gani mpaka utaje wavaa kobazi
 
Wavaa kobazi wameingiaje mbona una chuki za kithenge sana pambana na hoja usitaje watu fulani kwani ukimtaja baba ako au mama ako Kuna shida gani mpaka utaje wavaa kobazi
Nawe unavaa kobazi?
 
Hata watume bomu la nuclear hawataishambulia hiyo ndege labda waizuie isitue lakini kuishambulia hawawezi.
Ila huyo spika naye ana roho ngumu maana ni sawa na kurudha rudha shilingi juu ya tundu la choo.
Sasahivi dunia zima macho kodo, wanamwangalia supa pawa wa zamani za kale anavyoweweseka na biti alilochimbiwa. Aibu nyingine hizi ni za kujitakia🤣🤣🤣
 
Hahaaaa😉😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…