Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Tayari imeshathibitika kuwa Pelos atatua Taiwani leo hii.

Maoni yangu: China hana cha kufanya zaidi ya Povu na kuchimba bit lisilo na athari yoyote ile
 
Haendi popoteeeee
Acha tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona Marekani kaamua hiyo Safari ujue tayari Ameshajiridhisha kuwa hakuna lolote zaidi ya mikwala ya hapa na pale. Pia China historia haimbebi linapokuja kusimamia kile anachokiongea tofauti na Russia au Marekani wanavyofanya. Kimsingi China ni Muoga na pia sidhani kama ana ubavu kihiiiivyo.
 
Sioni ajabu China hatofanya lolote, mbona Putin alisema atakayeisaidia Ukraine atajutia maisha yake? Je watu hawaisaidii? Na amefanya nini? Sitashangaa China endapo hatofanya lolote lile.
Kwani huoni kinachowapata wanao isaidia ukraine ....pia jua kuna vitu vinaendelea utazidi kuona onyo la mrusi linavyo fanya kazi day to day
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanamme ameshasema Sasa hao macho madogo wafanye wanachoona wanaweza waonyweshwe shughuli.

Hawa ndio wanaume ninaowajua, na niliwaambia juzi hapa kwamba yaaan China ndio kumpiga mkwala marekan aufyate? Basi itakuwa ni USA ya arusha sii hii ya washington, bibi atatua kwa nguvu na kuondoka na Beijing itakaa kimya bila lolote
 
Kwan US kinampata nin mkuu!!??
Basi wewe akili hauna ...usa ndiyo inakwenda kupoteza vibaya kuliko nchi yoyote ...kupoteza nguvu ya dola ya marekani kuwa ndiyo pesa pekee ya dunia peke yake hilo ni pigo kubwa sana
 
Tuna msubiri huyo bibi
 

Hasira hasara hizo.
 
Umaarufu wote wa ziara ya Pelos upo kwenye ziara ya Taiwan toka wiki kadhaa nyuma, halafu wewe unasema Taiwan haikuepo kwenye ratiba.

Huko kwingine anazuga tu ila kiini ni Taiwani.
Naam Naam [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…