Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Umeongea pumba..hivi duniani Kuna nchi yenye rasilimali za Kila aina so mafuta,madini na mazao kuizidi urusi?
Kwnn haijavamiwa na marekani?
Wewe ndiyo umeandika pumba. Kama ana rasimali nyingi mbona kiuchumi yupo nyuma kushinda Marekani? Mrusi anaweza kuwa navyo lakini hana akili kama Marekani ndiyo maana Marekani kamzidi kila kitu kiufupi Mrusi ana ugonjwa wa akili ndiyo maana ameungana na Mchina wamuangushe Marekani.
Urusi na Mchina ni takataka kwa Marekani ndiyo maana anawekewa vikwazo, nao wanakubali.
Mfano mdogo tu. China na Mrusi wamekataza kutumia dola lakini marekani wanatumia pesa za kichina na za kirusi unafikiri nani mgonjwa hapo?
Wewe utakuwa shoger kweli na mrusi wako.
UNASEMA ANAKILA KITU HALAFU ANAZIDIWA UCHUMI NA MTU AMBAYE HANA UTAKUWA UNAAKILI KWELI? FICHA UPUMBAVU WAKO. URUSI KWA MMAREKANI ATASUBIRI SANA.
 
hivi Tanganyika lote huna mahali pa kula mpaka uje uudhi watu Zanzibar wakati wa Ramadhani ?? Hata hujui Irani ni nani na waarabu ni nani unameza ulicholishwa na Mchungaji wako tu bila kuuliza , KONDOO KAZI
 


Ni kweli Marekani ana akili nyingi sana na ndio wakawa wanaoana wanaume na wanaume makanisani
 
NASKIA KANISANI MNATIBUANA MITARO, MNAAMBIWA NDIO KONDOO WA BWANA ATAENDA MBINGUNI
HAYO MBONA YANATENDEKA HATA KWENYE MADRASA. HAUJASIKIA YULE SHEKH ALIYEMLAWITI MTOTO WA KIUME WA MIAKA 5? MUDI MWENYE ALIOA MTOTO MWENYE MIAKA 12 AMBAPO KWA SHERIA YA SASA ANGEFUNGWA MIAKA 30 JERA.
 
Una sababu mkuu au chuki tu. Marekani washenzi sana wameshbilia ka nchi kama libya


Nina sababu mkuu, hao Iran wanasababisha lack of peace and Instability pale Middle east
 
Taarifa za siri za marekani uzipate wewe...haya bhana uendelee kutuletea siri nyingine
 
hivi Tanganyika lote huna mahali pa kula mpaka uje uudhi watu Zanzibar wakati wa Ramadhani ?? Hata hujui Irani ni nani na waarabu ni nani unameza ulicholishwa na Mchungaji wako tu bila kuuliza , KONDOO KAZI
Nawaonea bure hao wachungaji
 

Jamhuri ya Iran ipigwe tu hadi ianguke then uwekwe utawala mwingine
 
Ni kweli Marekani ana akili nyingi sana na ndio wakawa wanaoana wanaume na wanaume makanisani
Mbona Mombasa, pemba na zanzibar ambapo kuna waislamu wengi kuna mashoga? Mbona kuna mashoga wenye majina ya kiarabu wengi tu hata ukienda uarabini utawakuta. Nchi za kiarabu wanafirana sana mfano mdogo ni zanzbar wanawake wanafirwa sana, na wanaume. Sema wanafanya kisiri siri ila huu mchezo ulianza uarabuni ambapo wanawake walitakiwa waolewe wakiwa na bikira. Sasa mashekh na maustadh wakawa wanatumia mlango wa nyuma ili kulinda bikira za wanawake zao.
 

Hivi lile kanisa la mashoga la Pentecoste kule Mbeya ulishawahi kufika ?? Mashoga wanaowana makanisani . Vipi uliwahi kupeleka maombi kwa watakatifu mashoga ???

https://www.advocate.com/religion/2017/6/02/30-lgbt-saints
 
Ndio misa ya leo hio kanisani
Hapo ulipo nikikuambia uisome hiyo Quran utabaki unatumbua macho siyo wewe hata wenzako kwa sababu hujui kilichoandikwa. Kama hujui kilichoandikwa utajua kinachofundishwa? Juzi nilikuwa nasikiliza DW, wakaripot habari za ndugu zako waislam wa nchi Senegal. Kwenye Madrasa watoto wanalazimishwa walete hela, yaani usipofikisha kiasi ulichopangiwa harudi madrasa. Na kuna mmoja alipigwa mpaka kuawawa kwasabbu hajafikisha amount yanayotakiwa aipeleke kwa shekh. Wananchi wakawa wanalalamika hizi madrasa zisiwepo maana zimeanza kuwa hatari kwa jamii yao.
 
Jamhuri ya Iran ipigwe tu hadi ianguke then uwekwe utawala mwingine
Mkuuuu...
Kuiangusha Iran sio rahisi kama unavyofikira wewe .

USA, ISRAEL ,SAUDI ARABIA na karibia watawala wa uarabuni wengii wao wanataka Iran ianguke, kwa miaka takriban arobaini 40 sasa wanahangaika kutwa kucha lakini bado inashindikana .

Ukianzisha vita na Iran jua kua middle East yoote itawaka moto . Kuanzia Mediterranean Sea , Indian ocean mpaka Persian gulf kutakua hakukaliki.

Usione Marais wa marekani wanasita kuishambulia Iran kuwa Ni wajinga bali wanajua kuwa hatari iliyopo Ni mbaya sana na haitabiliki.
 
Kuwa na akili basi mkuu, alieshambulia meli ni haothi, Acha avivu fuatilia habari vizuri thn jiongeze, IRANI ANAOFANYA ANAVYOTAKA MASHARIKI YA KATI NA AKUNA NGURUE WA KUMGUSA
 
Mkorea anatengeneza nuclear. Hilo ni tishio kwa marekani na nchi nyingine duniani. Sasa mbona anashindwa kumzuia. Issue sio mafuta tu kama unavyofukiria. Afghanistan kuna mafuta? Mbona alishambulia
UKIMUULIZA KWANI US KAENDA KUCHUKUA NN JAPAN AU SOMALIA ATABAKI KUBWABWAJA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…