Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

Duh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nadhani umekosea ulikuwa hunijibu Mimi. Kwa faida yako tu inapaswa ujue hakuna NO FLY ZONE Ukraine, au labda changamoto ni maana ya No Fly Zone?!!.
 
vietnam alikuw na uchumi imara alipomtoa jasho USA?

Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.
Bila kuwa na uchumi imara huwezi kupigana vita ukashinda kiwepesi.
 
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
Wewe jaluo, nani anamupa USA license ya kuuwa watu wa Iraq, Libya, Syria, Yemen, Afghanistan, Sudan etc na kuwapangia jinsi ya kuishi.
 

Hayo ni matope!! Hiyo ni tisa, kumi ni kwamba Poland wataachana kabisa na gesi ya Urusi hata kupitia mataifa mengine kuanzia october mwaka huu. Watakuwa wananunua gas ya Marekakani (LNG- Liquified natural gas) ambayo bei yake ni MARA TATU YA ILE YA URUSI)!! Wanaona raha tu kwamba pesa yao hataipata Urusi, japo wamelipa mara tatu zaidi kwa marekani!! Sasa hiyo akili hata matope ni afadhali, labda litafutwe neno jingine!
 
Kwamba wewe ndio una akili zaidi ya watu wa Ukraine?
 
Hata viongozi wa nchi za magharibi unao waona huwa wanaenda Ukraine kwa njia hizo na si kwa ndege tena huwa wanatoa kabisa taarifa kwa Urusi ili isije kutokea ajali inayo weza kumuua kiongozi.

Tupe Chanzo Cha taarifa yako kuwa huwa wanatoa taarifa kwa Urusi vinginevyo hii ni porojo ambayo umeileta hapa ili ikufariji wewe na wakomunisti wenzako. Lete chanzo tafadhali.
 
Size ya USA Ni Iraq,Libya,Somalia na nchi za dizaini hio lkn sio Russia.

Wajijitutumue Basi waweke hata NO FLY ZONE pale UKRAINE Kama wao Ni wanaume.
Russia alikuwa anapewa sifa ambazo sio zake....hii vita yake na Ukraine imemdhalilisha sana unaenda mwez naa dogo anamtoa Kamasi Tena amekutana na jeshi ambalo technolog sio kubwa sana vip akikutana na wanaume we technolog kama yeye?....swala la muda tu wazungu hawapendi kuzinguliwa au kuyishwatishwa Kila Mara kama anavyofanya putin kidogo narusha nuke....watu wapo kwenye kikao huko ujerumani wameamua Wanamaker kumaliza uzia kama nuke urushe na wao warushe.....🤣
 
Kwa mtazamo wa Marekani, damu ya askari mmoja wa Marekani ina thamani kuliko damu ya watu wote wa Ukraine![emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
ila marekani walipewa licence ya kuua watu na mataifa mengine . Nchi inayoongoza kuwa watu na kuvamia mataifa ya mengine Na kuwa mpaka watoto na wazee bila huruma
 
Uganda ilikuwa inaongozwa na dikteta Idd Amin aliepata madaraka kwa kupindua serikali halali, na alikuwa muuaji tu...kama ilivyokuwa kwa madikteta wa Libya na Iraq. Wote hao kwanza wakati wa vita walikuwa hawapendwi na wananchi wao.

Ukraine inaongozwa na rais aliepata urais kidemocrasia. Jifunzeni kutofautisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…