Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

Usidanganywe na propaganda za nchi za magharibi!! Kila siku ndege za urusi zinaruka na kufanya mashambulizi kibao. Urusi kama haijatawala anga la ukraine kwaq nini ukraine kila siku ilikiuwa inalilia NO FLY ZONE?
Urusi ilishambulia kwa ndege kambi kubwa ya kijeshi iliyopo mpakani na poland, mahali ambapo walikuwa na ghala za silaha toka nchi za ulaya. Shambulizi lilifanikiwa bila ndege yake hata moja kushambuliwa!! Bila kudhibiti anga wasingeweza kufanya hicho!
Duh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nadhani umekosea ulikuwa hunijibu Mimi. Kwa faida yako tu inapaswa ujue hakuna NO FLY ZONE Ukraine, au labda changamoto ni maana ya No Fly Zone?!!.
Screenshot_2022-04-27-19-59-46-10.jpg
 
vietnam alikuw na uchumi imara alipomtoa jasho USA?

Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.
Bila kuwa na uchumi imara huwezi kupigana vita ukashinda kiwepesi.
 
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
Wewe jaluo, nani anamupa USA license ya kuuwa watu wa Iraq, Libya, Syria, Yemen, Afghanistan, Sudan etc na kuwapangia jinsi ya kuishi.
 
URUSI Jana wamesitisha uuzwaji Gas Kwa Poland na Bulgaria .

Nchi 10 zmekubali Kulipa Kwa sarafu ya Urusi.

Ulaya wamejaa kikao Leo, wameamua, wataendelea kununua Gas kupitia nchi z Ulaya zilizokubali kulipia Gas Kwa sarafu ya Urusi

Maana yake, Poland, wamekataa kununua Gas ya Urusi Kwa bei ndogo, Sasa watanunua Gas hiyohiyo ya Urusi kupitia Taifa la Ujerumani na Kwa bei Kuna zaidi.

Ni akili au matope???????

Nyie waukraine kichwan hampo vizuri

HIII VITA, MWISHO WAKE UNAJULIKANA NAO NI URUSI ITASHINDA TU .

Hayo ni matope!! Hiyo ni tisa, kumi ni kwamba Poland wataachana kabisa na gesi ya Urusi hata kupitia mataifa mengine kuanzia october mwaka huu. Watakuwa wananunua gas ya Marekakani (LNG- Liquified natural gas) ambayo bei yake ni MARA TATU YA ILE YA URUSI)!! Wanaona raha tu kwamba pesa yao hataipata Urusi, japo wamelipa mara tatu zaidi kwa marekani!! Sasa hiyo akili hata matope ni afadhali, labda litafutwe neno jingine!
 
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!!

Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji tu ni kwamba wanajeshi wa Ukraine watumike kufikia malengo ya Marekani ya kuidhoofisha Urusi, bila kujali watamwaga damu kiasi gani cha watu wa Ukraine katika kufikia hilo lengo la Marekani.

Kwa mtazamo wa Marekani, damu ya askari mmoja wa Marekani ina thamani kuliko damu ya watu wote wa Ukraine!

Marekani hayuko tayari kupigana ana kwa ana na Urusi lakini yuko tayari kupigana na Urusi kwa kutumia damu ya watu wa Ukraine!! Kwa bahati mbaya sana rais wa ukraine hana jinsi ya kujinasua katika mtego huo!!
Kwamba wewe ndio una akili zaidi ya watu wa Ukraine?
 
Hata viongozi wa nchi za magharibi unao waona huwa wanaenda Ukraine kwa njia hizo na si kwa ndege tena huwa wanatoa kabisa taarifa kwa Urusi ili isije kutokea ajali inayo weza kumuua kiongozi.

Tupe Chanzo Cha taarifa yako kuwa huwa wanatoa taarifa kwa Urusi vinginevyo hii ni porojo ambayo umeileta hapa ili ikufariji wewe na wakomunisti wenzako. Lete chanzo tafadhali.
 
Size ya USA Ni Iraq,Libya,Somalia na nchi za dizaini hio lkn sio Russia.

Wajijitutumue Basi waweke hata NO FLY ZONE pale UKRAINE Kama wao Ni wanaume.
Russia alikuwa anapewa sifa ambazo sio zake....hii vita yake na Ukraine imemdhalilisha sana unaenda mwez naa dogo anamtoa Kamasi Tena amekutana na jeshi ambalo technolog sio kubwa sana vip akikutana na wanaume we technolog kama yeye?....swala la muda tu wazungu hawapendi kuzinguliwa au kuyishwatishwa Kila Mara kama anavyofanya putin kidogo narusha nuke....watu wapo kwenye kikao huko ujerumani wameamua Wanamaker kumaliza uzia kama nuke urushe na wao warushe.....🤣
 
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!!

Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji tu ni kwamba wanajeshi wa Ukraine watumike kufikia malengo ya Marekani ya kuidhoofisha Urusi, bila kujali watamwaga damu kiasi gani cha watu wa Ukraine katika kufikia hilo lengo la Marekani.

Kwa mtazamo wa Marekani, damu ya askari mmoja wa Marekani ina thamani kuliko damu ya watu wote wa Ukraine!

Marekani hayuko tayari kupigana ana kwa ana na Urusi lakini yuko tayari kupigana na Urusi kwa kutumia damu ya watu wa Ukraine!! Kwa bahati mbaya sana rais wa ukraine hana jinsi ya kujinasua katika mtego huo!!
Kwa mtazamo wa Marekani, damu ya askari mmoja wa Marekani ina thamani kuliko damu ya watu wote wa Ukraine![emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
ila marekani walipewa licence ya kuua watu na mataifa mengine . Nchi inayoongoza kuwa watu na kuvamia mataifa ya mengine Na kuwa mpaka watoto na wazee bila huruma
 
Hauna akili.. Nyerere alivyoivamia Uganda, alifanya ukatili??

Wewe utakua mtoto wa 2000 huna hulijualo.

Basi hata fatilia fatilia historia ilopita na uone DUNIA unaelekea wapi ,na kwann ilikua ni lazima Urusi aingie kijeshi .

Huna akili kiasi kwamba Hujui, NATO ikuongozwa na Marekani waliivamia Serbia nakuipiga na kupata Nchi ya Kosovo

Huna akili kiasi kwamba hata kukumbuka kua NATO waliipiga Libya Kwa faida zao wenyewe ,hukumbuki.
Uganda ilikuwa inaongozwa na dikteta Idd Amin aliepata madaraka kwa kupindua serikali halali, na alikuwa muuaji tu...kama ilivyokuwa kwa madikteta wa Libya na Iraq. Wote hao kwanza wakati wa vita walikuwa hawapendwi na wananchi wao.

Ukraine inaongozwa na rais aliepata urais kidemocrasia. Jifunzeni kutofautisha
 
Back
Top Bottom