Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Nani alianzisha vita ya tariffs?​
 
Wewe sema.

Ila maisha na hali ya Wamarekani wengi inafahamika.

Na siku hizi kuna wimbi kubwa sana la Wamarekani, kutafuta maisha ya USTAAFU nje ya Marekani
Kwamba ni kazi gani tofauti na ubunge unaweza piga ukamshinda mbeba box wewe?
 
Hii imenikumbusha trade war ya 2018.
China sasa hivi imeshakua giant HUWEZI tumia sera za kupambana na Myanmar kiuchumi dhidi ya China.
Mkuu ndani ya jeshi la Us unafahamu waislam wanapata nafasi kubwa tofauti na nchi nyingine?
 
Mkuu ndani ya jeshi la Us unafahamu waislam wanapata nafasi kubwa tofauti na nchi nyingine?
Mie sizungumzii dini kaka.
Pia je unafahamu kuwa Marekani ndiye aliyewadhulumu na kuangusha nchi za kiislam kipindi zinajiinua kiuchumi kwa kiasi kikubwa!?
Libya ilikua nchi isiyo na deni enzi za Gaddafi ila je sasa ipoje!?
Iraq pia ilipitia mauaji ya kikatili Jullian Assange ushahidi anao wakampa kesi ya espionage.
 
Kaka now nipo mafunzo kwa hilo jeshi huwa nashangaa mnavyosema hivyo
 
That's just politics kaka.
Ila kiuhalisia USA haipendi waislam.
Tizama nchi za kiislam zilivyoharibiwa.
Leo hii mataifa ya middle east yasingeingiliwa kisiasa basi yangekua yametulia na kusingekua na kelele za refugees.
Mimi ni mwislamu kwa kutambulika kidini ila ndani ya Jeshi la marekani kila mtu anapewa nafasi ya kusali kwa dini yake
 
Haya yanaitwa mahaba mshindo….
 
Yani China inaizidi vipi us?
China inaizidi Marekani kwenye sehemu nyingi

Lakini tugusie tu sehemu moja muhimu inayohusiana na maisha ya watu ya kila siku, yaani gharama za maisha (cost of living)

Gharama za maisha Marekani ni kubwa sana hivi kwamba Wamarekani wengi wanaishi kwa kadi za mikopo na wengine wanashindwa kuafford hata baadhi ya huduma na bidhaa.

Huduma au bidhaa ileile ambayo Marekani unaipata kwa gharama kubwa China ni nafuu sana. Kuanzia huduma za afya, housing, education, vyakula, usafiri, housing n.k

Ni rahisi kusave kibunda China kuliko Marekani.

Ikiwa leo Marekani kwa aibu imekubali kushusha tariffs kwa bidhaa za China inaonyesha jinsi gani wanaihitaji sana China kwa ajili ya bidhaa muhimu
​
 
Mfano mimi nipo US nimewezea vipi, kufanikiwa kwa haraka Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…