Sawa, kwa situation ilivyo unashauri nini kifanyike tusubiri hadi watawala watakapo sema sasa inatosha kutawala.La mwisho hamna anayetetea wauaji au watekaji hapa napinga njia yenu mliyopanga ya kufanya maandamano yasiyo ya amani
Credit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Nimeamini mapenzi upofu kama sio uchawaKwa Tanzania TISS ipo imara Sana kuliko hata MOSSAD na CIA
Ujamaa unatubeba
Kwa Tanzania TISS ipo imara Sana kuliko hata MOSSAD na CIA
Ujamaa unatubeba
Kwamba patatokea kundi linajiitaNato na usa wakiamua kufanya Tanzania kama walichomfanyia Gaddafi wa Libya. Ni suala la muda mchache sana ni coup d'etat ya chapchap au civil war. Kati ya jeshi la ccm na anti-ccm rebels
Mkuu, vijana wakishapewa silaha, wakapewa na madawa ya kuwatia ujasiri (ndivyo wanavyofanya waasi ) inabaki kuua inakuwa kucheza gameNimecheka kama mazuri. Mkuu,kwamba Gen-Z anakuwa anaona kama anacheza PS kumbe ndio ananyofoa Roho za watu uraiani huko🤣🤣🤣🤣
KaribuniNgoja tuje tuwasambaratishe na bichura ajuza
We bado huelewi diplomasia kwa hio endelea kudhan hii nchi inamilikiwa na marekanUnaijua China wewe? Enzi za USSR angalau!
😂😂 bashir hajakamtwa toka amepewa hukumubashir yuko lupango looong time …
Unasahau ili wakutoe laila wawe na interest, kama hawana interest hawana time na wwCredit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa haki za binadamu, mradi wapate justification ya kuingilia mambo ya ndani na kumuondoa.
Walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kwa kutaka kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa sababu ya ku over stay?, na tetesi with no facts JPM kwa kutetea rasilimali.
Haya mauaji ya halaiki hayawezi kuwa sababu? Wameshaanza, US kupitia ma senator wake wamesema uchaguzi haukuwa huru, bunge la Ulaya limesitisha misaada linakwenda kuweka vikwazo.
Vita zisizoisha unazoziona saaahv ni za mda mrefu sana, ni jamii inazaliwa inakolezwa imani inaishi uku uku, na kwa mda ule hawakua wanajua kuhusu internet, huezi kuta kikundi kipya kimeanzishwa kwa sababu watu wanaenda shuleMzee usiwaze kwa kubweteka!
Amani unayoishuhudia ni kudra za mwenyezi Mungu pekee.
Upepo ukibadilika vijana waingie mstuni, nchi haitakalika hii trust me.
Vyama vya upinzani tunavifanya maadui wa bila sababu, sijui kwa maslahi ya nani!
Kwani tukiishi kwa misingi ya demokrasia ya haki tutapungukiwa na kitu gani?
Jesus rescue our country hatutafka huko!!Jidanganye. Kwa sasa watanzania wana maumivu makubwa sana Mioyoni mwao. Anti-ccm rebels wakianza watapata wapiganaji wengi mno. Ndivyo ilivyotokea Libya. Nato na us walikuwa wanashusha matani na makontena ya silaha kwa ndege toka angani wananchi wanakuwa nazo wanajipanga kuwa rebels mpaka wakamtoa Gaddafi. Hakuna mtu yoyote duniani wa kumzuia USA au Nato au EU na wakichukua ndege zao zikaja Tanzania na wakiamua kushusha shehena ya silaha toka angani mikoa yote Tanzania kama dar,mwanza, arusha mbeya, songwe,n.k na vitabu na video ya jinsi ya kutumia silaha. Ccm watapigika vibaya mno
Marekani kwani wameingia nchini kwake? Wameishia kutoa matamkoMaduro huko Caracas 1 haisomi wala 2 haisomi. Mabwana zake kina Putin, Xi na Ayatollah wote wameufyata wanaangalia tu USA anavyo mnyonga taratibu hadi atakapoenda kumkamata kama kuku.
Hawawezi mtoa, marekani hua ni waongeaji wakubwa, silaha yao ni sanctions tu nje ya apo hakuna kingineHivi tunavyozungumza wanamuondoa raisi wa Venezuela Nicolas maduro
Ndo unatakiwa kuelewa sio rahisi ivo kuingia tu nchi ya watu na kuongea ama kufanya wanavotakaSasa warisk wananchi wao kwa kipi Uganda au Rwanda.
Kumbe hujausoma mchezo. Unatiwa vichomi kwanza ulegee kama alivyofanyiwa Sadam kisha wanaingia kama wako sebuleni kwao kiulaini kabisa.Marekani kwani wameingia nchini kwake? Wameishia kutoa matamko
Bora kuungua wote kuliko ilivyo sasa tunaungua wachache, kifo cha wengi harusi na kifo cha wengi ndiyo kitahamasisha zaidi kumtoa huyo bi 'who're you'.Tusifike huko, huko ni kutia nchi kiberii wote tutaungua
Toka nchi hii ipate uhuru, haijawahi kutokea watu wake wakagawanyika kama ilivyo hivi sasa; mtu akitaka kuangusha hii serikali hivi leo itaanguka kama ubua kwasababu haiungwi mkono na majority of the population!!Venezuela naona kapewa siku kadhaa tu. Amesema Yes sir
Nimeamini mapenzi upofu kama sio uchawa