Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Tusubiri mkuu; muda ni mwalimu mzuri. Napata sana tabu kumuamini Russia kwenye case ya Iran (mjadara ungejikita kwenye jicho la kiitelenjensia badala ya mambo ya imani/dini ungekua mzuri sana ). Russia ni moja ya mataifa yanachukia sana mambo ya ugaidi, Iran ndio mfadhiri wa makundi mengi ya kigaidi duniani so hu urafiki wao hasa against Israeli ukweli napata nao shida sana kuuelewa, I'm sure watasaritiana huko mbele. Kuna uzi humu unasema, Netanyahu anamtafuta Putin waongee, hope hawa 2 sio mara yao ya kwanza kuongea, hawa ni marafiki, sema ugomvi wa USA na Russia ndio umesababisha Russia kua na urafiki wa mashaka na Iran ambao to me, hu ni urafiki wa muda.Kwa Iran hapana, sikubaliani na wewe!
Sioni namna Israel anaweza kuishinda Iran bila Tel Aviv kugeuzwa majivu.
Covert operations haziwezi kumpa ushindi dhidi ya Iran, zitampa tu ujiko machoni kwa wapuuzi.
Kwa Hezbollah na Palestine sawa, hapa nakubaliana na wewe, hawa shughuli yao imekwisha, anayefuatia ni Yemen.
Coming back to the thread; nakubaliana na mleta uzi, Israeli na USA ni mapacha on both intelligence, military and economically, nitafafanua baadhi ya hayo kwa mtazamo wangu. Kwenye issues za intelligence, Mosaid na USA inaonekana ni watu wanao badirishana sana taarifa, we all knows what happened on September 11, 2001; Mosaid walinusa hatari na wakalikisha information kwa CIA, CIA waka ignore but same Mosaid wakawalinda watu wao na hakuna aliyekufa pale World trade center building, ukisoma jinsi CIA walivomkamata na kumuua Osama Bin Laden, Mossaid wameshirikiana kwa kiasi kikubwa mno na CIA, these guys ni mapacha. Njoo kwenye vile vifaa vya mawasiliano vilivo lipuka vyenyewe na kuua viongozi na watendaji wengi wa Hezbollah, yasemekana hata rais Rais wa Iran nae aliuliwa kwa style hiyo hiyo but who invested to China on that technology? Is USA. Again, watazame matajiri wengi wa USA utagundua wana vinasaba vya Kiyahudi, this is why hata Steve Jobs mgunduzi mkubwa aliye leta mapinduzi kwenye sekta ya mawasiliano ilitakiwa atangulizwe mbele za haki, hakua mzungu, hakua Myahudi. Yale yale ya kina Magic Johnson, R. Kelly nk. Well, swali linabaki, hu mziki Iran atauweza? Let's wait and see