Marekani na Israel ni mataifa tofauti yenye baadhi ya siri za pamoja, bila kulijua hilo, Iran au yeyote dhidi yao, ni mfu atembeaye!

Marekani na Israel ni mataifa tofauti yenye baadhi ya siri za pamoja, bila kulijua hilo, Iran au yeyote dhidi yao, ni mfu atembeaye!

Nimekuelewa.

Hiyo ni hatua jema.

Haniyeh wa Hamas, Nasrallah wa Hezbollah. Hawa wote ni wadogo sana kulinganisha na Israel, tumekuwa tukiwasapoti kwa chuki zetu tu dhidi ya ubabe wa Israel na USA.

Haipo shaka kuwa hapa pia tuko pamoja.

Atabondwaje, unamaanisha kupitia covert operations za CIA na MOSSAD?
Ili tuelewane vyema naomba unielekeze anabondwaje!
Iran ameshalipua kambi za jeshi za Marekani hapo middle east na bado Marekani hakumbonda, kwanini iwe sasa? Alikuwa anasubiri waungane na Israel kumpiga kwa pamoja? Unamaanisha Marekani peke yake hamuwezi Iran? Au unamaanisha Marekani ana uchungu zaidi na Israel kuliko taifa lake?

Mkuu kumbuka Marekani hambondi mtu wazi wazi kwa kuchelea kujiingiza wa saizi yake (Russia au China).

Tambua kwa hii dunia ni wawili hao asioweza kujifanyia lolote atakalo. Wengine wote, ukweli mchungu hayupo mmoja popote anayeweza kuhimili.

Kwamba atafanya je? Si ulisikia kifo ni kifo? Hiyo mbona si kesi? Kwamba CIA, Mossad, nk? Kwani inajali nini? Si wanasema "the end justifies the means."

Marekani anaijua Iran vilivyo tokea angani na amekuwa na wakaguzi physically na cameras zake installed kibabe ndani ya Iran.

Tofauti ya hapa na huko ulikosema atampiga Iran sasa vilivyo, Israel kama proxy tu! Si china wala Russia wataingilia kwa njia hii.

Ndio, vita ni gharama mzee!
Kila taifa linajaribu kuepuka vita kadri inavyowezekana.

Mkuu hawa jamaa wawili kwa yamini yao, kwao muda au gharama si hoja:

"Ukimwua au kujaribu kumwua mwisrael au mmarekani au ukiyatishia mataifa yao au watu wao popote; tokea muda huo, tambua wewe ni mfu unayetembea, na watakuondoa."

Wasiwasi wako tu mkongwe!
Shida ni kwamba uliwekeza matumaini makubwa sana kwa Hezbollah, hiki kichapo wanachokula Hezbollah kinakufanya ujiulize maswali mengi, ni kawaida.
Ila ni vyema kujua, mtindo uliotumika kumpiga Hezbollah na Hamas hauwezi kufanya kazi kwa Iran.

Mkuu niliyoandika, umekuwa ndiyo msimamo wangu wa siku zote.

Hakuna cha kufanya hapo na kipigo anachopata Lebanon au Palestina ambapo kwa uhakika ninaumia na wapongeza mno wote wanaowaunga mkono:

Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

Zingatia haya hayako na chembe ya woga wala kukata tamaa kokote:

"Kwa sababu mataifa wawili hawa kwenye haya ya kutishiana nyau ni wamoja, ziko namna mbili tu za kushughulika nao kwa mafanikio:

1. Kusalimu amri kama UAE na Saudi Arabia yaishe kama unataka kuishi. Au:

2. Kupambana nao relentlessly bila pause ukafe mkipigana kama ni nia yako japo kuwagawia nao maumivu ya kutosha kwa kadri iwezekanavyo.


Lione neno "mafanikio" kwenye bold pale kwa maana yake.

Sina hakika ni wapi unasoma wasiwasi wowote kwangu.

"Tofautisha machungu dhidi ya udhwalimu na bazazi, na kuusema ukweli hata kama unauma!"
 
😂😂😂😂
Israel ana nguvu sawa na Russia na China na USA kwenye jambo gani?
Wanasema ana tech ..uje kwenye uhalisia sasa sijawahi kuona hiyo tech zaidi ya kuingizwa na marekane kwa kila mradi ambao unaoneka ni wa kimkakati ili i9nekani na yeye alishiriki
 
Mkongwe, kumuua Ayatollah kwa kutumia dark arts sio ushindi kwa Israel dhidi ya Iran, sijui tunakubaliana katika hili?

Kwanza nikufahamishe kuwa sina taabu na hili.

Pia tambua sijaongelea kuhusu ushindi popote.

Ila nimesema options za kufikia mafanikio yanayohitajika:

1. Kukubali yaishe.

2. Kupigana hadi kufa.

Kumbe tunatofautiana wapi?
 
Kama ambavyo USA hana uwezo wala uthubutu wa kuingia vitani na Russia, na Israel hana uwezo wala uthubutu wa kuingia vitani na Iran, anachoweza kufanya Israel ni covert operations kupitia MOSSAD, na hata hizo covert operations zake zikifanikiwa bado hatoweza kuchukua credit kuwa ni yeye amefanya.
Unajifariji huku umebana marinda/mkundu ukiwa na maumivu makali
 
Nadhani hapa tunapishana sehemu ndogo sana mkongwe!
Ndani ya Iran kuna Mazayuni zaidi ya 1000, Israel hashindwi kufanya uhuni wake kwa kuwatumia MOSSAD, ameshafanya sana, na bado ataendelea kufanya, kwasababu mazingira yanamruhusu.

Mimi nazungumzia mashambulizi ya moja kwa moja, yaani kama hiki ambacho Israel inakifanya kwasasa hapo Lebanon, hiki ni kitu ambacho Israel hana uthubutu wa kukifanya kwa Iran.

Mtoa mada amesema kilichowakuta Hamas na Hezbollah ndicho kitakachowakuta Iran, mimi nalikataa hili. Iran ni taifa kubwa sana kijeshi hapo Middle East, kwenye upande wa manpower mpaka military infrastructures sio rahisi kuwatia ulemavu kama Hezbollah na Hamas.

Nikukumbushe tu, hii sio mara ya kwanza Iran kuishambulia Israel na Marekani, ameshapiga kambi za Marekani pale Iraq, miezi kadhaa iliyopita amerusha mvua ya mabomu kuishambulia Israel na mwanzoni mwa mwezi Oktoba amezishambulia kambi za jeshi za Israel kwa missiles na hili shambulio la mwisho limethibitisha kuwa Iran ina uwezo wa kupiga popote ndani ya Israel, Iron dome,David's Sling na ushubwada gani sijui, vyote ni njiwa tu mbele ya mwewe linapokuja suala la kuzuia Iran hypersonic missiles.

Hilo shambulio la mwisho ni ujumbe tosha kwa Marekani na Israel, kama Israel itaishambulia Iran, hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel, pia Iran imeshasema kuwa next time watashambulia miundo mbinu, sio maeneo ya kijeshi tena.

Kwahiyo Israel na mpambe wake Marekani chaguo ni lao, wana option mbili tu, moja kujificha nyuma ya operesheni zao za kiuwoga kupitia CIA na MOSSAD (ni za kiuwoga kwasababu hawatangazi kuwa ni wao wamefanya, wakiulizwa wanaruka kimanga, huu ni uwoga), pili kuingia mazima na kuishambulia Iran kwa kutumia mavyuma yao tofauti tofauti waliyokuwa nayo. Wote tunajua option gani watachagua, na ndio option ambayo wamekuwa wakienda nayo miaka yote dhidi ya Iran, tukiachana na ile option ya vikwazo ambayo sasa imekuwa kama kumpigia mbuzi kinanda kwa mataifa yanayojitambua.
Sahihi sana. Ingawaje pia mara zote kama umechunguza, vita za kupigana sijui kwa mabomu, mindege ya kivita is like always USA hajawahi kupata matokeo ya maana, miaka 24 iliopita USA alipeleka kila aina ya silaha pale Afghanistan kwa ajili ya kumtafuta Osama Bin Laden, ali fail; walikufa watu, alipindua serikali ya Taleban na kuweka kibaraka wake but Osama hakupatikana, same as Iraq pia hakufanikiwa, CIA na Mossaid walipoingia kazini we all knows what happened, Sadam Hussein aliuawa while vita ikiwa imekwisha na Osama alikuja kuuawa zaidi ya miaka 10 baadae. Ni same USA aliyeshindwa vita vibaya pale Vietnam; mara nyingi wababe hawa wamefanikiwa kupitia technology na intelligence but again wote kwasasa ni kama wanaziogopa vita cause miaka ya nyuma ilikua ngumu adui wa mbali kuja kupiga nchini mwako bila kupata hifadhi kwa mataifa jirani, hili USA alifaidika nalo sana, kwa technology ya miaka ya nyuma ilikua either uishawishi Canada ili wakupatie viwanja vya ndege ili ufanye yako pale USA, same as yeye alikua akiitumia Saudi Arabia kuwapiga waarabu wengine, now kuna hypersonic, huhitaji nchi jirani ili kumpiga mwingine. Upo nchini mwako na unabonyeza button na kitu kinaitika huko huko kwako. As u said, mambo ya vikwazo kwasasa hayana maana, nchi zenye uchumi mkubwa duniani na hazina uhusiano mkubwa na USA zimekua nyingi; vikwazo vya kiuchumi kwasasa vinaiumiza USA na mataifa rafiki zaidi kuliko maadui zake, refer kinacho tokea Russia kwasasa, walio athirika zaidi ni rafiki zake na hata yeye currency yake imepoteza umaarufu na inaendelea kupoteza cause kwasasa dollar sio currency pekee ya kutuweka mjini, imagine hadi Nigeria nayo inataka kufanya transactions zake kwa local currency na sio USD, hili ni pigo kwa USA and his allies
 
Nadhani hapa hukupasoma ukapaelewa,Israel anaweza akafanya uhuni kupitia hizi devices akajeruhi watu bila kujali siha zao kama ni wananchi wa kawaida au wanajeshi wakati taifa likiwa ktk taharuki ya tukio hili aka-attack vibaya Muajemi akagaragara mavumbini.

Vita ni mbinu na Zayuni kwa upande huu ameweza.

Mkuu labda fafanua zaidi Sina uhakika kama ninakuelewa au kama nimejibu ulichomaanisha.
 
Sio kwa taifa kama Iran mzee!
Hizo mbinu zimefanikiwa kwa wanamgambo tu.

Unadhani hizo mbinu ni kwenye vifaa hivyo tu?

Unadhani Iran alijua hivyo vifaa Lebanon vilikuwa compromised?

Uliwahi kumsikia "Edward Snowden" akiongelea udukuzi na NSA?
 
Hakuna “siri”. Nguvu kubwa ya kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia inayofanya kazi Marekani na Israel iko Marekani. SWALI LA MSINGI ni ukaribu mkubwa wa mataifa hayo msingi wake ni nini?

Tafuta kujua “jamii” zenye nguvu kubwa ya kisiasa kwenye nchi hizo ni zipi? Kumbuka, nchi mbili hizo ni nchi za kidemokrasia. Katika mambo ambayo anayetaka kuongoza USA lazima ayaweke mbele kabisa ya ajenda zake ni usalama na ustawi wa Israel.

Asipokuwa tayari kwa hilo basi hana budi kuachana na siasa za Marekani kwani hatafika popote. Jiulize Netanyahu anapata wapi jeuri ya kumpuuza Rais wa USA nyakati fulani fulani? Hakuna siri hapo.

Tumeonana tena ndugu? Hatukuagana vyema sana last time.

Vipi zile nadhiri nzito nzito hazipo tena ili nijue kwenye majadiliano mahaba si mahala pake ila hoja?

binti kiziwi au nasema uongo ndugu yangu?
 
Unajifariji huku umebana marinda/mkundu ukiwa na maumivu makali
Ona hili bwabwa!!!

Kwasababu mkundu wako una maumivu muda wote kutokana na michezo michafu unayofanyiwa na wanaume wenzako unadhani watu wote tupo hivyo.

ZINGATIA:
Wewe mkundu unakuumaga kwasababu ya michezo ya kishenzi unayofanyiwa na wanaume wenzako, acha michezo ya kishenzi!
 
Tusubiri mkuu; muda ni mwalimu mzuri. Napata sana tabu kumuamini Russia kwenye case ya Iran (mjadara ungejikita kwenye jicho la kiitelenjensia badala ya mambo ya imani/dini ungekua mzuri sana ). Russia ni moja ya mataifa yanachukia sana mambo ya ugaidi, Iran ndio mfadhiri wa makundi mengi ya kigaidi duniani so hu urafiki wao hasa against Israeli ukweli napata nao shida sana kuuelewa, I'm sure watasaritiana huko mbele. Kuna uzi humu unasema, Netanyahu anamtafuta Putin waongee, hope hawa 2 sio mara yao ya kwanza kuongea, hawa ni marafiki, sema ugomvi wa USA na Russia ndio umesababisha Russia kua na urafiki wa mashaka na Iran ambao to me, hu ni urafiki wa muda.

Coming back to the thread; nakubaliana na mleta uzi, Israeli na USA ni mapacha on both intelligence, military and economically, nitafafanua baadhi ya hayo kwa mtazamo wangu. Kwenye issues za intelligence, Mosaid na USA inaonekana ni watu wanao badirishana sana taarifa, we all knows what happened on September 11, 2001; Mosaid walinusa hatari na wakalikisha information kwa CIA, CIA waka ignore but same Mosaid wakawalinda watu wao na hakuna aliyekufa pale World trade center building, ukisoma jinsi CIA walivomkamata na kumuua Osama Bin Laden, Mossaid wameshirikiana kwa kiasi kikubwa mno na CIA, these guys ni mapacha. Njoo kwenye vile vifaa vya mawasiliano vilivo lipuka vyenyewe na kuua viongozi na watendaji wengi wa Hezbollah, yasemekana hata rais Rais wa Iran nae aliuliwa kwa style hiyo hiyo but who invested to China on that technology? Is USA. Again, watazame matajiri wengi wa USA utagundua wana vinasaba vya Kiyahudi, this is why hata Steve Jobs mgunduzi mkubwa aliye leta mapinduzi kwenye sekta ya mawasiliano ilitakiwa atangulizwe mbele za haki, hakua mzungu, hakua Myahudi. Yale yale ya kina Magic Johnson, R. Kelly nk. Well, swali linabaki, hu mziki Iran atauweza? Let's wait and see
Osama hajawahi kukamatwa popote
 
Hiyo ni hatua jema.



Haipo shaka kuwa hapa pia tuko pamoja.



Mkuu kumbuka Marekani hambondi mtu wazi wazi kwa kuchelea kujiingiza wa saizi yake (Russia au China).

Tambua kwa hii dunia ni wawili hao asioweza kujifanyia lolote atakalo. Wengine wote, ukweli mchungu hayupo mmoja popote anayeweza kuhimili.

Kwamba atafanya je? Si ulisikia kifo ni kifo? Hiyo mbona si kesi? Kwamba CIA, Mossad, nk? Kwani inajali nini? Si wanasema "the end justifies the means."

Marekani anaijua Iran vilivyo tokea angani na amekuwa na wakaguzi physically na cameras zake installed kibabe ndani ya Iran.

Tofauti ya hapa na huko ulikosema atampiga Iran sasa vilivyo, Israel kama proxy tu! Si china wala Russia wataingilia kwa njia hii.



Mkuu hawa jamaa wawili kwa yamini yao, kwao muda au gharama si hoja:

"Ukimwua au kujaribu kumwua mwisrael au mmarekani au ukiyatishia mataifa yao au watu wao popote; tokea muda huo, tambua wewe ni mfu unayetembea, na watakuondoa."



Mkuu niliyoandika, umekuwa ndiyo msimamo wangu wa siku zote.

Hakuna cha kufanya hapo na kipigo anachopata Lebanon au Palestina ambapo kwa uhakika ninaumia na wapongeza mno wote wanaowaunga mkono:

Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

Zingatia haya hayako na chembe ya woga wala kukata tamaa kokote:

"Kwa sababu mataifa wawili hawa kwenye haya ya kutishiana nyau ni wamoja, ziko namna mbili tu za kushughulika nao kwa mafanikio:

1. Kusalimu amri kama UAE na Saudi Arabia yaishe kama unataka kuishi. Au:

2. Kupambana nao relentlessly bila pause ukafe mkipigana kama ni nia yako japo kuwagawia nao maumivu ya kutosha kwa kadri iwezekanavyo.


Lione neno "mafanikio" kwenye bold pale kwa maana yake.

Sina hakika ni wapi unasoma wasiwasi wowote kwangu.

"Tofautisha machungu dhidi ya udhwalimu na bazazi, na kuusema ukweli hata kama unauma!"
Kwa maelezo haya kudumu angekua ni more
 
Hii sio option!

Muda sahihi wa kufanya hivi ukifika watafanya hivyo.

Mkuu hiyo ni option na UAE, Jordan, Saudi Arabia nk huko wameshafika Bei.

Tofautisha option yoyote na option nzuri kwako au Kwa mwingine.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Ona hili bwabwa!!!

Kwasababu mkundu wako una maumivu muda wote kutokana na michezo michafu unayofanyiwa na wanaume wenzako unadhani watu wote tupo hivyo.

ZINGATIA:
Wewe mkundu unakuumaga kwasababu ya michezo ya kishenzi unayofanyiwa na wanaume wenzako, acha michezo ya kishenzi!

Mkuu ya hivyo huwa tuna ignore.

Hayapaswi kukupandisha adrenaline hayo.
 
Mpaka sasa Israel bado ni Taifa lenye ngugu sana na hasa kiteknolojia, ogopa sana watu wako million 9 ambao ni wananchi pamoja na Jeshi humo humo lakini wana nguvu sawa na China,Russia,America pia,..Teknolojia kubwa za kivita na hata Satellite ni ujuzi wa kwao,japo Satellite iko America lakini wao ndo Controls.

Miaka kama 70 iliyopita kama sikosei,walivamiwa na majeshi matatu ya Syri,Jordan na Egypt na waliyashinda wakiwa watu laki 6 tu nchi nzima kwa maana ya Raia na Jeshi kwa ujumla

Tukirudi kwenye Imani kwa maana ya maandiko,ni kweli MUNGU aliwapa mapigo mawili makubwa iwapo wataenda kinyume naye, Magonjwa(Tauni) pamoja na kuwekwa mikononi mwa Adui,lakini wakirejea kwa MUNGU basi hakuna Taifa litaweza kuwashinda kivita,akili na uwezo wa juu wa kupambanua mambo.

Yote kwa yote vita vyao havituhusu,sisi ni watu wengine kabisa na maisha yetu
Acha uongo,Isarel hajawahi kushinda vita kama yeye.Siku zote anaepigana ni USA.Israel kama yeye hawezi kuwashinda hata hao HAMAS ambao pamoja ni misaada ya silaha zisizo na kikomo bado hajafanikiwa kuwakilisha chini mwaka mzima.
 
Niliwahi kusikia mkongwe!

Hii habari unaizungumziaje mkongwe, najua chanzo sio rasmi. Ila nataka uniambie mtazamo wako kuhusu hii habari, kama ina ukweli unaizungumziaje hii habari?

View: https://x.com/Megatron_ron/status/1844287467135942809


1. Mkuu kuna mambo ya kufahamu kuhusu nuclear weapons:

a) Uwezekano wa kuwa na nuclear weapons.
b) Kumiliki nuclear weapons.
c) Idadi ya war heads za nuclear.
d) Zana za kurushia (makombora).
e) Nk

2. Yapo mengi na yote hayo yanatofautiana moja kwa na jingine pia nchi na nchi. Zingatia nchi zinazojulikana kuwa nuclear weapons ni hizi hapa:

US, Russia, China, UK, France, Pakistani na India.

3. Hapo Pakistan na India ni underdogs.

4. Wengine wanaoweza kuwa nazo ni North Korea, Iran, na Israel. Kundi hili wako kwenye kufurukuta ili kutambulika kuwa nao wamo.

5. Underdogs na hawa wenye kufurukuta wanapigika vizuri tu, pamoja na kuwa na silaha hizo.

7. Zingatia hata Saddam au Gaddafi walipigika Hali wakidhaniwa kuwa wanazo au wamekaribia kuwa nazo.

Si unajua samaki akunjwa akiwa mbichi yakhe?
 
Kumbuka huyo si Israel peke yake bali na msiri wake Marekani waliokula yamini ya aina yake kuwahusu wote wa aina Hamas, Houthi na Hezbollah.

Iran yupo jwe list si ya Iran bali ya umoja wa Israel na Marekani.

Options:

1. Kusalimu amri kama UAE na Saudi Arabia yaishe kama unataka kuishi. Au:

2. Kupambana nao relentlessly bila pause ukafe mkipigana kama ni nia yako japo kuwagawia nao maumivu ya kutosha kwa kadri iwezekanavyo.

Kwa mujibu wa mada:

"Au wewe hudhani hivyo Ndugu?"
Ni kweli marekani anapambana na hayo makundi kwa jina la Israel.
 
Back
Top Bottom