Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

[emoji632][emoji298]️No one in Europe and the US wants to go to war with Russia - French Defense Minister
 
 
Mkuu Hakuna mafuta ya gari je kama gari zao zinatumia mafuta ya kula weka details ni aina gani ya mafuta na je ni crude oil, gasoline, diesel
 
Watanzania hasa wa mids 90+ wanachangia kwa ushabiki wa Simba na Yanga. Hizi sanction zinazowekwa na USA na Ueropean sio nzuri hata kidogo na impact yake inaenda kuwaumiza warusi hasa wafanyabiashara. Benki kubwa mbili ama tatu zimepigwa ban kampuni kubwa ya mafuta ya Gazpro imepigwa ban huyu mmiliki wa Chelsea tayari wanamtengenezea zengwe apigwe chini na kufungiwa akaunti zake. China haiwezi kuwa msaada wa kuendesha uchumi wa Mrussian hii inaenda kuleta damage kubwa sana kwa Puttin na utawala wake. Haya makelele yanaenda kuungusha utawala wake. Hii vita kaikosea sana.
 
Limenikera sana hilo jamaa na vita isiyo na kichwa wala miguu. Sababu hasa za kuivamia Ukraine ni zipi? We stand with Ukraine.
Hataki Ukraine awe member wa NATO halafu kachukizwa na kitendo cha NATO kupeleka majeshi yake mpakani mwa Russia na Ukraine. Mpuuzi sana ila ndio anaizanisha hivyo Russia kiuchumi. Kashapigwa ban za nguvu sana yeye acha aue watu kwa mabomu lakini USA na EU na Britain wanamuua kiuchumi.
 
Hii inaitwa ngoja tuone mpaka puttin kaaamua kwenda front Kuna kitu anajiamini kwanini kila siku marekani bwana ngoja atishiwe na yeye "unaambiwa ukikutana mbwa anakukimbiza inama jifanye unaokota mchanga umwagie uenda akaogopa akaondoka"
 
Hii inaitwa ngoja tuone mpaka puttin kaaamua kwenda front Kuna kitu anajiamini kwaninikila siku marekani bwana koja atishiwe na yeye "unaambiwa ukikutana mbwa anakukimbiza inama jifanye unaokota mchanga umwagie uenda akaogopa akaondoka"
Angalia bajeti ya jeshi la Marekani na Russia. Unapozungumzia USA achana nao kbs hao watu siku wakisema kiive wote hatutokuwa salama. Kwenye suala la kijeshi Russia anasubiri tena sana kwa USA. Uzuri wa Marekani ukimchokoza anakutimbia karibu na kwako ndio anakupa dozi kwa ukubwa wa ugonjwa wako.
 
Tunafahamu Sana Kama USA wapo sawasawa "Ila ukipewa koti livae vizuri hata Kama linakupwaya usiligeshe begani" hicho ndicho anachojaribu kukifanya puttin ifike mahala Kama nawe unanguvu ionyeshe usihofie kuwa Fulani ananguvu kunizidi.
 
marekani gani hiyo iliyochapwa na iran ama?
 
Tunafahamu Sana Kama USA wapo sawasawa "Ila ukipewa koti livae vizuri hata Kama linakupwaya usiligeshe begani" hicho ndicho anachojaribu kukifanya puttin ifike mahala Kama nawe unanguvu ionyeshe usihofie kuwa Fulani ananguvu kunizidi.
Kwa hiyo unataka kujionyesha una nguvu huku unaangamiza familia yako. Hii vita italeta upinzani mkali sana ndani ya Russia. Unajua hizo benki kubwa zilizofungiwa zinapata loss kiasi gani?
 
Tunafahamu Sana Kama USA wapo sawasawa "Ila ukipewa koti livae vizuri hata Kama linakupwaya usiligeshe begani" hicho ndicho anachojaribu kukifanya puttin ifike mahala Kama nawe unanguvu ionyeshe usihofie kuwa Fulani ananguvu kunizidi.
Unaionyesha kwa kuua ndugu zako. Nadhani tunahitaji tishio la viumbe kutoka sayari nyingine ili tukumbuke kuwa sisi ni wana wa dunia.
 
Everyone is afraid of giving us guarantees to join NATO, and the truth is, no one wants us in the alliance

Ukrainian President
 
Hizo croatia, na hungary na nchi nyingi
nchi nyingi za iliyokuwa yugoslavia, zina muunga mkono putin, kwani zinamtegemea sana, tofauti na nchi za baltics ambazo ziko NATO!! Ni sawa ujerumani anategemea gesi kutoka Urusi, lakini lazima ipitie ukraine!!na ndio maana ujenzi wa NORDIC STREAM 2, mradi wenye thamani ya $ 11billions, ujerumani wameusitisha!!
Kuhusu hilo la ufaransa na US, siasa hazinaga uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu,
Na hata putin anaposema ole wake atakayeingilia hii vita atakiona!!anajua kabisa kwa haraka haraka NATO, hawana uwezo huo kutokana na utaratibu wa nchi zao kuingia vitani, ni mrefu kidogo, tofauti na putin akitamka tu tayari linafanyika.
Na asilimia kubwa vikwazo vinawaumiza wananchi, na ndio maana warusi wengi hawapendi vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…