Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

Unaionyesha kwa kuua ndugu zako. Nadhani tunahitaji tishio la viumbe kutoka sayari nyingine ili tukumbuke kuwa sisi ni wana wa dunia.
Usicho kijua ni kwamba kwa upuuuzi na dhurma waliooifany aUSA na washirika wake kwa miaka mingi waathirika waliapa wapo radhi kupoteza chochote ili wapate amani maaana wanaihitaji amani na ustawi sio tu kwa vizazi vya Sasa unavyovionea wewe huruma ni kwaajili ya vizazi na vizazi rejea Vita ya KAGERA
 
Warussia wengi hawataki hii vita na hata Ukraine walijua kabisa hakuna vita. Ila huyu binadamu mwenye kichwa kama cha paka Puttin anataka kujionyesha kuwa yeye ni mbabe. Kumbe mshamba sana.
 
Walishawahi kutaka kufanya hiyo kitu, ila Russia akawa na mbadala ambayo itawaathiri West zaidi ndo maana watafanya kila kitu, ila huko hawawezi.

Nahisi ndo maana Putin hata hajali
 
Kwa hiyo unataka kujionyesha una nguvu huku unaangamiza familia yako. Hii vita italeta upinzani mkali sana ndani ya Russia. Unajua hizo benki kubwa zilizofungiwa zinapata loss kiasi gani?
Nakusistiza acha Mrusi afanye alichoamua anajua mwenyewe anachokikusudia kila mtu hapo anawashirika wake na ubaya was mataifa ya mbali unaweza jua puttin Yuko peke yake au wenzake ni wadhaifu kumbe Yuko mamba mmoja kageuka kenge.
 
Haujui mambo ya migogoro wewe. Sasa unaleta mambo ya vita ya Kagera na propaganda ya zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti. Tanzania hatukupaswa kabisa kupigana ile vita ya urafiki ya Nyerere na Obote. Mtu anaenda kutangazia vita Ruvuma. Soma migogoro ya kivita ndio tujadili mambo.
 
Sasa dhuluma za USA zinahusiana vipi hapa. Dhuluma za USA ni upumbavu na huu ni upumbavu. Mapumbavu mawili yamefanya upumbavu.

Vita vya kagera ilikuwa sawa kwa upande wa kumfukuza asichukue kipande chetu cha ardhi. Ila kuingia nchini kwake na kumpindua ilikuwa pride isiyo na faida yoyote kwetu kama anavyofanya Russia sa hii.
 
Hapo kwenye Vita ya KAGERA nimekutolea mfano tu kwakua ulisema wanateketeza watu wake kwenye Vita wahusika hukubali kupoteza kila kilicho chao hata kuweka nafsi zao rehani kwa manufaa ya baaadae uliiona kweli Ile video ya kumbukumbu ya Vita ya kagera...Kama ni mfuatiliaji wa Mambo unaweza jua USA wapoje Ila Kama ni shabiki tu kheri.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, alafu watu wanafikiri Russia ni kama Zimbabwe sjui, Russia ni nchi ya vita kimsingi, miundo mbinu yoooote na hata life style lao ni kama uko vitani kifupi wale jamaa wako na war mode muda wote. Hakuna raia asiejua matumizi basic ya silaha nyepesi, kwenda Jeshi ni lazima hata kama utaenda kisha ukaedelea na mishe zako.


Alafu, watu inapaswa wajue Urusi ameishi na vikwazo miaka mingi sana, mpk imepelekea thamani ya pesa yake kushuka sana, lkn maisha yanaendelea, wana kila kitu, in terms of medical facilities, n.k.
 
Unajaribu sana kuitaja USA, USA hana anapoumia moja kwa moja kwa Russia kumtandika mwenzake. Mwenyewe ananachochea hivyo vita ila yeye hapigani. Raia wake wapo na rimonti wanaangalia majirani wawili wanavyopambana na vita na vikwazo kama wewe tu.
 
Kumbe unajua USA nimchochezi na kila mchochezi tambua anaupande wake.
 
Kumbe unajua USA nimchochezi na kila mchochezi tambua anaupande wake.
Sasa akiwa upande wa Ukraine, Ukraine akapigwa halafu Russia akawekewa vikwazo yeye kapoteza nini?
Russia na Eukrain wangemalizana bila vita halafu Eukrain akamsikiliza Russia hapo labda kungekuwa na hoja kuwa USA amefeli.
 
Russian mpaka sasa anaamini USA sio kila kitu kwake kwa vikwazo vyake atafute pa kuvipeleka
Vikwazo kawekewa, vita kapigana, anayepigwa si USA, atakayetumia nguvu kudeal na vikwazo si USA. Sasa imani yake juu ya USA inamuathiri vp USA?

Mm naona kujaribu kuonyesha kuwa USA anaathirika moja kwa moja na hivi vita ni ujuha.
 
Vikwazo kawekewa, vita kapigana, anayepigwa si USA, atakayetumia nguvu kudeal na vikwazo si USA. Sasa imani yake juu ya USA inamuathiri vp USA?

Mm naona kujaribu kuonyesha kuwa USA anaathirika moja kwa moja na hivi vita ni ujuha.
USA sionni muathirika ni kiherehere alietukuka
 
Mkuu Hakuna mafuta ya gari je kama gari zao zinatumia mafuta ya kula weka details ni aina gani ya mafuta na je ni crude oil, gasoline, diesel

Fuel [emoji618]️ mkuu iwe Petrol au diesel
Ingawa chakula kilipanda mda ila sasa bei ni juu zaidi

Nisamehe kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…