We mie nishakuzoea.Waswahili ndio mambo yenu, ni tambo tu hamna lolote. Mnaongea utafikiri nyie ndio mnapigana kwenye vita kumbe nyie vita vyenu ni kwenye keyboard โจ๏ธ๐น๐๐๐
๐๐พ๐ช Shirika la Habari la Tasnim:Americant hana akili na shost yake Uingereza
Tunawakumbusha tu kwamba houthi wamesema hakuna meli itakayopita kuelekea ama kutoka israhell
Sasa kama vita imeisha ama wameshamaliza kuishambulia tunaomba meli ziendelee kwenda na kutoka israhell hem tuone ๐
Aiseeee hivi haya majibu mnayatolea wapi.braza Juma soma uelewe sio una kuja kinyume nyume mm sio basha
,,๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Hawa majamaa hujitekenya na kucheka wenyewe.Americant hana akili na shost yake Uingereza
Tunawakumbusha tu kwamba houthi wamesema hakuna meli itakayopita kuelekea ama kutoka israhell
Sasa kama vita imeisha ama wameshamaliza kuishambulia tunaomba meli ziendelee kwenda na kutoka israhell hem tuone ๐
Waturuki bhana, wanaojenga SGR Tz.Wayemeni wanajenga reli yenu?
Doooh[emoji1630][emoji1267] Shirika la Habari la Tasnim:
Jeshi la Yemen lilirusha makombora dhidi ya meli za wavamizi za Marekani na Uingereza katika Bahari Nyekundu wakati wa mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza huko Yemen, jana usiku.
Mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen yalisababisha ongezeko la 2.5% la bei ya mafuta duniani.
Hawana akili tena wazayuni ndio waongo kupindukia,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa majamaa hujitekenya na kucheka wenyewe.
Aya tuone kama meli zitapita hapo Baab al mandib kisa shambulio ya vikombora viwili.
Hata wiki ilopita IDF ilidai ili dismantle Hamas military operation cha ajabu kesho yake Wanajeshi 9 wa IDF wakauawa on the spot.
Pia maroketi 200+ yalirushwa Ashkelon.
Hawajui kama hao waarabu wabishi kufa.
Hata muwaue kiasi gani lengo litimie meli zisipite .
Heheeee watu wameruka kimanga [emoji3][emoji1787][emoji3] wanaogopa kuchapwaMsemaji wa Al Houthis kwa Al Jazeera: Hakuna muungano, bali ni uchokozi wa Marekani na Uingereza. Tuliwasiliana na nchi zingine zilizotangazwa kuwa sehemu ya muungano uliotulenga na walithibitisha kuwa wao si sehemu yake.
Rais wa Marekani alisema kuwa "vikosi vya kijeshi vya Marekani-pamoja na Uingereza na kwa usaidizi kutoka Australia, Bahrain, Kanada na Uholanzi- vilifanikiwa kufanya mashambulizi dhidi ya maeneo kadhaa nchini Yemen."
Marekani na Uingereza wanalazimisha kuwa wanapigana na wenzao wakati hizo nchi zimewakana.
Nawewe ita wenzio mkampige Marekani. Kuna Iran, North Korea na Urusi aya nendenikama marekani sio muoga angekuwa anaenda mwenyewe vitani, mbona kila analofanya anawashirikisha wenzake !?
Saudia Ana ujua mziki pamoja na kuwashiwa ma toy ya US bado alkua ana lipuliwa kila weekHeheeee watu wameruka kimanga [emoji3][emoji1787][emoji3] wanaogopa kuchapwa
Tena kama hao bahrain hao wajiangalie sana yaani
Saudia jana baada ya tukio mapeema kabisa akajitokeza kujieka kando yeye na shost yake uae
Niko hapa! Utakuja kusikia kilio cha cease fire hali ikiendelea hivi. Nikujidanganya kwa kiwango kisichoelezeka kuwa Houthi wanaweza kupigana na Marekani na UingelezaSaudi arabia iliishambulia Yemen kwa silaha za Marekani mabomu mfululizo zaidi ya miaka 5 lakni badala yake houth wako vizuri zaidi. Inaonekana wana Underground bunkers wanakimbiliaga huko wakati wa mashambulizi.
Ndio maana wanasema, kilichofanyika jana na US na UK sio kipya kwao kwanza wamepiga sehemu zilezile amnazo tayari huwa zinapigwa sikubzote.
Jamaa inaonekana ni wabishi sna.
Waturuki wapi alipochelewesha?Waturuki bhana, wanaojenga SGR Tz.
Uwe unasoma na kuelewa kabla ya kuweka comment.
Halafu fungua inbox maana siamini kama wewe ni kabibi, ukute ni pisi afu unadanganya watu humu
๐ฎ๐น Serikali ya Italia ilikuwa imekataa ombi la Marekani na Uingereza kushiriki katika uvamizi wa kijeshi dhidi ya Yemen jana usiku.Heheeee watu wameruka kimanga [emoji3][emoji1787][emoji3] wanaogopa kuchapwa
Tena kama hao bahrain hao wajiangalie sana yaani
Saudia jana baada ya tukio mapeema kabisa akajitokeza kujieka kando yeye na shost yake uae
Mpaka akaona isiwe tabu ngoja niongee na hawa watuSaudia Ana ujua mziki pamoja na kuwashiwa ma toy ya US bado alkua ana lipuliwa kila week
Mkuu sorry nilikua natafuta picha za kushare kwa ajili ya YemenYemen kisha zamisha meli ya kimarekani chezea Yemen hawa wajinga
Hehee wamemstukia๐ฎ๐น Serikali ya Italia ilikuwa imekataa ombi la Marekani na Uingereza kushiriki katika uvamizi wa kijeshi dhidi ya Yemen jana usiku.
Wamestuka Marekani anataka kuwaachia vita Ulaya yeye yupo mbali.
= UingerezaNiko hapa! Utakuja kusikia kilio cha cease fire hali ikiendelea hivi. Nikujidanganya kwa kiwango kisichoelezeka kuwa Houthi wanaweza kupigana na Marekani na Uingeleza
Sawa mrembo, hapo nimekubali.Waturuki wapi alipochelewesha?
Mnacheleweshwa na vichwa na mabehewa ambavyo mpaka leo havijaja vyote, viwahausu nini Waturuki. Mkaona mkaagize kwenye 10% kama vile waturuki wangeshindwa kuvileta, wakati wao ndiye wanaounda vya Wajerumani alivyonunuwa sekandi hendi kwa bei zaidi ya mabehewa mapya.
Waturuki wapo mbele ya wakati.