We mie nishakuzoea.Waswahili ndio mambo yenu, ni tambo tu hamna lolote. Mnaongea utafikiri nyie ndio mnapigana kwenye vita kumbe nyie vita vyenu ni kwenye keyboard ⌨️🎹😂😂😂
Alipouliwa Saleh Al arouri mlisema hivi hivi jumatatu ya wiki hii Hizbollah ikalipua airbase Ya Israel na nyumba za IDF Mullat .
IDF walipomuua Almawasit commander wa Hizbollah Hizbollah ililipua kambi ya komandi kuu ya IDF mpakani mnamo jumatano wiki hii.
Na kwa hilo tukio tegemeeni majibu.