Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Waswahili ndio mambo yenu, ni tambo tu hamna lolote. Mnaongea utafikiri nyie ndio mnapigana kwenye vita kumbe nyie vita vyenu ni kwenye keyboard ⌨️🎹😂😂😂
We mie nishakuzoea.
Alipouliwa Saleh Al arouri mlisema hivi hivi jumatatu ya wiki hii Hizbollah ikalipua airbase Ya Israel na nyumba za IDF Mullat .
IDF walipomuua Almawasit commander wa Hizbollah Hizbollah ililipua kambi ya komandi kuu ya IDF mpakani mnamo jumatano wiki hii.
Na kwa hilo tukio tegemeeni majibu.
 
Americant hana akili na shost yake Uingereza

Tunawakumbusha tu kwamba houthi wamesema hakuna meli itakayopita kuelekea ama kutoka israhell

Sasa kama vita imeisha ama wameshamaliza kuishambulia tunaomba meli ziendelee kwenda na kutoka israhell hem tuone 😀
🛑🇾🇪 Shirika la Habari la Tasnim:

Jeshi la Yemen lilirusha makombora dhidi ya meli za wavamizi za Marekani na Uingereza katika Bahari Nyekundu wakati wa mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza huko Yemen, jana usiku.

Mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen yalisababisha ongezeko la 2.5% la bei ya mafuta duniani.
 
Americant hana akili na shost yake Uingereza

Tunawakumbusha tu kwamba houthi wamesema hakuna meli itakayopita kuelekea ama kutoka israhell

Sasa kama vita imeisha ama wameshamaliza kuishambulia tunaomba meli ziendelee kwenda na kutoka israhell hem tuone 😀
,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hawa majamaa hujitekenya na kucheka wenyewe.
Aya tuone kama meli zitapita hapo Baab al mandib kisa shambulio ya vikombora viwili.
Hata wiki ilopita IDF ilidai ili dismantle Hamas military operation cha ajabu kesho yake Wanajeshi 9 wa IDF wakauawa on the spot.
Pia maroketi 200+ yalirushwa Ashkelon.
Hawajui kama hao waarabu wabishi kufa.
Hata muwaue kiasi gani lengo litimie meli zisipite .
 
Msemaji wa Al Houthis kwa Al Jazeera: Hakuna muungano, bali ni uchokozi wa Marekani na Uingereza. Tuliwasiliana na nchi zingine zilizotangazwa kuwa sehemu ya muungano uliotulenga na walithibitisha kuwa wao si sehemu yake.

Rais wa Marekani alisema kuwa "vikosi vya kijeshi vya Marekani-pamoja na Uingereza na kwa usaidizi kutoka Australia, Bahrain, Kanada na Uholanzi- vilifanikiwa kufanya mashambulizi dhidi ya maeneo kadhaa nchini Yemen."

Marekani na Uingereza wanalazimisha kuwa wanapigana na wenzao wakati hizo nchi zimewakana.
 
[emoji1630][emoji1267] Shirika la Habari la Tasnim:

Jeshi la Yemen lilirusha makombora dhidi ya meli za wavamizi za Marekani na Uingereza katika Bahari Nyekundu wakati wa mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza huko Yemen, jana usiku.

Mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen yalisababisha ongezeko la 2.5% la bei ya mafuta duniani.
Doooh

Tukae mkao wa kula Americant anajitutumua ila zilipendwa
 
,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa majamaa hujitekenya na kucheka wenyewe.
Aya tuone kama meli zitapita hapo Baab al mandib kisa shambulio ya vikombora viwili.
Hata wiki ilopita IDF ilidai ili dismantle Hamas military operation cha ajabu kesho yake Wanajeshi 9 wa IDF wakauawa on the spot.
Pia maroketi 200+ yalirushwa Ashkelon.
Hawajui kama hao waarabu wabishi kufa.
Hata muwaue kiasi gani lengo litimie meli zisipite .
Hawana akili tena wazayuni ndio waongo kupindukia

Walitudanganya wameigawa ghaza kaskazini na kusini ila mpaka leo huo ushahidi haupo

Na walisema wameondoa hamas kule kaskazini matokeo yake wanakufa kule kule yaani

Mwisho tuone kama meli zitaendelea kwenda israhell na kutoka kisa vishambulio vyao

Lengo la houthi lipo wazi kabisa Tunawakumbusha tu labda wamesahau ni kwamba hakuna meli kwenda wala kutoka israhell mpaka huduma za msingi na mzingiro dhidi ya ghaza uondoke
 
Msemaji wa Al Houthis kwa Al Jazeera: Hakuna muungano, bali ni uchokozi wa Marekani na Uingereza. Tuliwasiliana na nchi zingine zilizotangazwa kuwa sehemu ya muungano uliotulenga na walithibitisha kuwa wao si sehemu yake.

Rais wa Marekani alisema kuwa "vikosi vya kijeshi vya Marekani-pamoja na Uingereza na kwa usaidizi kutoka Australia, Bahrain, Kanada na Uholanzi- vilifanikiwa kufanya mashambulizi dhidi ya maeneo kadhaa nchini Yemen."

Marekani na Uingereza wanalazimisha kuwa wanapigana na wenzao wakati hizo nchi zimewakana.
Heheeee watu wameruka kimanga [emoji3][emoji1787][emoji3] wanaogopa kuchapwa

Tena kama hao bahrain hao wajiangalie sana yaani

Saudia jana baada ya tukio mapeema kabisa akajitokeza kujieka kando yeye na shost yake uae
 
Saudia Ana ujua mziki pamoja na kuwashiwa ma toy ya US bado alkua ana lipuliwa kila week
 
Saudi arabia iliishambulia Yemen kwa silaha za Marekani mabomu mfululizo zaidi ya miaka 5 lakni badala yake houth wako vizuri zaidi. Inaonekana wana Underground bunkers wanakimbiliaga huko wakati wa mashambulizi.

Ndio maana wanasema, kilichofanyika jana na US na UK sio kipya kwao kwanza wamepiga sehemu zilezile amnazo tayari huwa zinapigwa sikubzote.

Jamaa inaonekana ni wabishi sna.
Niko hapa! Utakuja kusikia kilio cha cease fire hali ikiendelea hivi. Nikujidanganya kwa kiwango kisichoelezeka kuwa Houthi wanaweza kupigana na Marekani na Uingeleza
 
Waturuki bhana, wanaojenga SGR Tz.
Uwe unasoma na kuelewa kabla ya kuweka comment.
Halafu fungua inbox maana siamini kama wewe ni kabibi, ukute ni pisi afu unadanganya watu humu
Waturuki wapi alipochelewesha?

Mnacheleweshwa na vichwa na mabehewa ambavyo mpaka leo havijaja vyote, viwahausu nini Waturuki. Mkaona mkaagize kwenye 10% kama vile waturuki wangeshindwa kuvileta, wakati wao ndiye wanaounda vya Wajerumani alivyonunuwa sekandi hendi kwa bei zaidi ya mabehewa mapya.

Waturuki wapo mbele ya wakati.
 
Heheeee watu wameruka kimanga [emoji3][emoji1787][emoji3] wanaogopa kuchapwa

Tena kama hao bahrain hao wajiangalie sana yaani

Saudia jana baada ya tukio mapeema kabisa akajitokeza kujieka kando yeye na shost yake uae
🇮🇹 Serikali ya Italia ilikuwa imekataa ombi la Marekani na Uingereza kushiriki katika uvamizi wa kijeshi dhidi ya Yemen jana usiku.

Wamestuka Marekani anataka kuwaachia vita Ulaya yeye yupo mbali.
 
Saudia Ana ujua mziki pamoja na kuwashiwa ma toy ya US bado alkua ana lipuliwa kila week
Mpaka akaona isiwe tabu ngoja niongee na hawa watu

Machuma chuma ya Americant yalishindwa kuilinda saudia
 
Yemen kisha zamisha meli ya kimarekani chezea Yemen hawa wajinga
Mkuu sorry nilikua natafuta picha za kushare kwa ajili ya Yemen
Picha hii mpe mtaalan alitoe hilo basi hapo halafu apachike ghorofa
Screenshot_20240112-150150_Google.jpg

Hii ni Gaza, ila tunaweza tukaitumia tu kuiamboa dunia vile US na Marekani wameshambulia na kuua raia
Screenshot_20240112-150044_Google.jpg

Hii tunaweza tukawabadilisha rangi hao watu na kuwavalisha vilemba au mawigi na kuiambia dunia kuwa moja ya makombola limepiga basi lilikua limebeba watoto wa shule ma wajawazito
Screenshot_20240112-150214_Google.jpg

Ngoja nikatafute na zile picha tetemeko la kule Uturuki, tunaweza tukabahatisha picha za kutusaidia.
 
🇮🇹 Serikali ya Italia ilikuwa imekataa ombi la Marekani na Uingereza kushiriki katika uvamizi wa kijeshi dhidi ya Yemen jana usiku.

Wamestuka Marekani anataka kuwaachia vita Ulaya yeye yupo mbali.
Hehee wamemstukia

Ndio maana zile kelele zakuanzisha jeshi la ulaya zimeanza tena

Georgia Mellon juzi kaligusia
 
Niko hapa! Utakuja kusikia kilio cha cease fire hali ikiendelea hivi. Nikujidanganya kwa kiwango kisichoelezeka kuwa Houthi wanaweza kupigana na Marekani na Uingeleza
= Uingereza

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Labda huelewi kuwa Myemeni siyo mara ya kwanza kuwatandika Wamerekani, Uingereza na vibaraka wao.

Uanfikiri mpaka Mmerekani kuzikusanya nchi zaidi ya 20 kwa ajili Wayemeni alikuwa anaotea? Anajuwa kimbembe chao.

Subiri ujionee yatayojiri, Wayemeni hawakukisia kabisa na walijuwa wnachofanya kitawatia hasira Wamerekani na vibaraka wake.

Wapo na waamejitayarisha, hao wazungu unaowaabudu wataishaia kupiga raia na kubomoa majengo kwa mbali tu. Gahthubutu kusogea karibu. Unafikiri wamesahau yaliyowapata Afghanistan?

Sasa kama huelewi, Mmarekani an vibaraka wake waliivamia Afghanistan kwa ajili ya Myemeni mmoja tu, Osama Bin Laden, na mwisho wa siku wakatoka mkuku.

Hao ni watu ambao silaha zinauzwa kama pipi madukani.
 
Waturuki wapi alipochelewesha?

Mnacheleweshwa na vichwa na mabehewa ambavyo mpaka leo havijaja vyote, viwahausu nini Waturuki. Mkaona mkaagize kwenye 10% kama vile waturuki wangeshindwa kuvileta, wakati wao ndiye wanaounda vya Wajerumani alivyonunuwa sekandi hendi kwa bei zaidi ya mabehewa mapya.

Waturuki wapo mbele ya wakati.
Sawa mrembo, hapo nimekubali.
Fungua inbox basi
 
Back
Top Bottom