Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

Maneno mengi kuipamba uingereza,Nyie ndio mlituaminisha kwamba Russia ina silaha za kudumu vitani kwa siku 3 tu,Mara Russia inatumia cheap za kutoka kwny microwave.
 
Msitake kutudanganya houthi wanadeal na meli zinazoingia na kutoka israhell

Sasa nyie huko bara giza mnaathirikaje mzeee

Au watu ndio wanatafta namna yakupandisha vitu bei maana kwao kila mgogoro ni fursa dhidi ya raia wao wenyewe
 
Chinese state-owned shipping giant Coscosuspended shipping to Israel through the Red Sea as tensions in the strategic shipping lane continue to rise, Israeli state media reported.

The specifics of Cosco's decision remain undisclosed, according to Israeli financial news outlet Globes.

Hamna kupita Red Sea.
 
bro kuna muda jifunze kunyamaza hii itakusaidia kuficha ujinga ulio nao kichwani Sio kila kitu ni cha ku reply unajizalilisha
 
Ngoja tusubiri matokeo.
Maana hawa jamaa walisema wanayimakombora ya kuzamisha lile jimeli kubwa la matrillioni ya shiringi aircraft carrier mpya ya Us iliyoko mitaa hiyo.
 
Nchi ya Singapore nayo yajiunga katika umoja wa kuhakikisha njia ya meli ya Red Sea inapitika
Singapore haiwezi jiunga kwenye hayo mapigano ya kipuuzi sera ya Singapore ya mambo ya nje inazuia kujiunga kwenye migogoro ya namna hiyo toka foundation ya Singapore
 
Blinken alienda mashariki ya kati kujadili ni namna Gani GAZA itatawaliwa baada ya Hamas kuondoshwa.
 
Kumbukeni wahuthi hawa jajibu hivyo ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.
 
Ngoja tusubiri matokeo.
Maana hawa jamaa walisema wanayimakombora ya kuzamisha lile jimeli kubwa la matrillioni ya shiringi aircraft carrier mpya ya Us iliyoko mitaa hiyo.
Wanayo kweli juzi waliyatumia kushambulia meli za Marekani, yakatunguliwa yote. Marekani ikasema itajibu, ndio mashambulizi hayo ya Leo.
 
Kuna siku nimeleta uzi humu waarabu walisema USA hawezi shambulia yemen kwa sababu hawana base watashambuliaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…