Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

  • Allah alikuwa na mtume wake anaitwa issa , walipotaka kumkamata na kumuua issa wa Allah , Allah akagundua kitu kinaitwa cloning
  • Akamtengeneza binadamu mwingine ambae anafanana kila kitu na Issa wake , alafu yeye allah akamchukua issa akampeleka mbingu yake mpaka leo yupo nae huko akiwa hai na huyu issa atarudi kumuua nguruwe -haijulikani ni nguruwe yupi na kwanini allah anafanya mapigano na nguruwe
  • Huyu issa bandia aliteswa na kuuawa
    • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
    • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
  • Allah alikuja kutoa hii story kipindi cha Muhammad , Haijulikani ni miaka mingapi toka issa bandia kauawa lakini tuchukulie ni miaka mingi sana , Allah kawapotosha watu kwa miaka mingi kwa nini?
 
Ungesema koran ni kitabu ambacho kina maneno ambayo ili kuelewa lazima yajaziwe nyama na scholar, hakina maelezo ya kotosha kuhusu jambo flani, unakuta kinataja jina from no where Ukitaka kujua huyo ni nani huwezi mpaka uende kwa scholar au hadith (kuna waislamu wengine wanapinga hadith)

Mfano unasoma haya kama hizi
  • Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?... -unajiuliza huyu muhammad aliharimisha nini ambacho allah alikuwa amemuhalalishia ? Koran haina majibu ila inabidi uende kwa binadamu scholar waislamu ndio wakwambie ni nini hicho!
  • Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. - ukijiuliza Hawa watu ni kina nani? koran haina majibu inabidi uende kwa binadamu scholar waislamu ndio wakutajie majina ya watu hao NB: unakuta scholar wenyewe wanatofautiana hayo majina kwa hiyo unatoka kapa
 
Kosugi says "NA JIHADI HAIPIGANWI ILI KULAZIMISHA WATU WASILIMU."
Muhammad and Allah says
Koran 9;5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia.
Hadith "Nyinyi (Waislam wa kweli) ndio watu bora kabisa waliowahi kati ya wanadamu." inamaanisha, watu bora zaidi kwa watu, kwani unawaleta na minyororo kwenye shingo zao wale wasio amini hadi wataukubali Uislamu." Vol. 6, Book 60, Hadith 80

Tamka leo tukusikilize wewe au Muhammad na Allah?
 
kawapotosha kivipi?
Wapi alipowapotosha?
Huyo nguruwe anaekusudiwa ni kila kitu haram hiyo ni collective term tu.
Nabii issa akirudi ataua masihi dajjar,nguruwe wanyama,nguruwe watu bimaana wasio waislam,misalaba ,kodi.
na ajjuju wamahjuju.
 

34. Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu. 34
 
UNAKOSEA KIONGOZI.
Quran inajitosheleza sio mpk ujazie maneno ya wanazuoni.
Je hao wanazuoni hayo maneno ya kujazia wanayatoa wapi?
Nani alofanya wanazuoni wawepo?
Je maneno wanayosema wanazuoni ni ya kujazilia?
Na je hao wanazuoni wanaokhitilafiana ni wa zama gani ?
Na wanakhitilafiana ktk nini?
Umeingiza mada nyingine ndefu.
Ila wacha nikujuze kuhusu Quran.
Ambaye ameshushiwa Quran ni Mtume(s.a.w).
Yeye ndiye anayejua sababu ya kushuka kila ayah.
Na yeye kama mtume ndiye mwalimu wetu ambaye anatakiwa atufundishe kila ayah inaposhuka.
Quran inaongea kauli za mafumbo mafumbo ambayo yamejitosheleza na ambaye aliyekua akituelekeza ni Mtume wetu na yeye ndiye aliyewarithisha wanazuoni.
Na wanazuoni hawakhitilafiani ktk Quran bali wanakhitilafiana ktk hadith na fiqhi.
Pia wanazuoni wanaokhitilafiana sana ni wale wa miaka ya 600 baada ya kufa mtume.
Mathalan hiyo ayah ulioleta ya suratil tuharrim juzuu ya 28 inamzungumzia mtume ambaye aliharamisha asali kisa kutaka radhi za wake zake.
Kwahiyo aliyeeleza kuhusu hilo ni ye mwenyewe mtume aliyeshushiwa ayah.
Na pindi mtume alipokua anawafundisha maswahaba zake kina abuu hurayrah,Abdillahi Ibn masoud ambao ni moja ya wanazuoni walofundishwa directly na mtume aliwafundisha kwamba kila ayah imeshuka na sababu yake na kisa chake .
Wao wakarithishwa na mtume na wao wakaturithisha sisi.
HAkuna mtu anayepinga hadithi ila kuna hadithi thabiti na kuna hadith batili na kuna vigezo vya kuikagua km hadith thabiti au batili na hiyo ni elimu nyingine
 
Yale yale unarudia ya mwenzako.
Sababu ni ipi mpk hiyo ayah ikashuka??
Kasome Quran 2:256 Allah anasema hakuna kulazimishana ktk dini kwani tumeshawabainisha yote yanayotakikanika.
Hiyo ni suratul baqrah surah ya pili ktk quran.
Hakuna vita yoyote ya jihad ilopiganwa ikaua mama,watoto na kulazimisha watu wasilimu.
Ukitaka tunaweza kuchambua vita ya kwanza mpk ya nwisho mpk tumalize.
Allah anaposema wapigwe wasioamini mpk waukubali uislam hajakusudia mtu mmoja mmoja amekusudia tawala za kikafiri zilizokua zikikandamiza waislam pamoja na watu wengine.
Narudia kusema km nilivyomwambia mwenzako.
Suratul tawbah ilishuka madinah mwaka wa nane hijriyah na hii surah ilishuka kwaaijili ya kuruhusiwa mtume aitangaze dola ya kiislam juu ya dola zingine .
Na dola ilolengwa kuangushwa ni dola ya wakatoliki ambao walikita mizizi Syria mpk Sham.
Na Allah amewakusudia wao kwamba wannatakiwa wapigwe mpk wasalimu amri kuwa dola ya kiislam ndio dola bora.
Ila sio kuwapiga watu au raia wa kawaida na kuwalazimisha wasilimu.
Nilichokiandika ni mafundisho tosha kutoka kwa mtume wetu ambaye karithisha maswahaba zake na wao wakaturithisha sisi.
 
Asa ulitaka Allah amuache mtume wake auliwe na makafiri?
Allah humuokoa amtakaye.
Hakuna aliyepotoshwa bali wamedhihakiwa .
Unajua maana ya kupotosha mkuu?
 
kawapotosha kivipi?
Wapi alipowapotosha?
Huyo nguruwe anaekusudiwa ni kila kitu haram hiyo ni collective term tu.
Nabii issa akirudi ataua masihi dajjar,nguruwe wanyama,nguruwe watu bimaana wasio waislam,misalaba ,kodi.
na ajjuju wamahjuju.
Kawapotosha waone issa bandia kasulubiwa na hajasema ukweli kwa miaka mingi kwa zaidi ya 1000 hivi
Huyu issa bandia aliteswa na kuuawa
  • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
  • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
 
Koran bila hadith na scholar ni kitabu hakiheleweki ndio maana nimekupa hiyo mifano , umekubali mwenyewe Koran haina maelezo ya kutosheleza
Mfano aya hiyo Ma scholar wanachanganyana wengine waseme asali wengine waseme maria the coptic kwenye nyumba ya hafsa muhammad alipo mbaka
Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn
O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.

Kuna wailamu wanapinga Hadith zote
 
Asa ulitaka Allah amuache mtume wake auliwe na makafiri?
Allah humuokoa amtakaye.
Hakuna aliyepotoshwa bali wamedhihakiwa .
Unajua maana ya kupotosha mkuu?
Yani anamuokoa mtume alafu anamfanya binadamu mwingine anaefanana na mtume wake auliwe
Huyu issa bandia aliteswa na kuuawa
  • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
  • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
Kapotosha kwa kuwadanganyishia issa bandia
kwa nini akawadhihaki?
 
Asa huo upotoshaji au udhihakiji?
Kuna umuhimu gani wao kujua km Nabii Issa yuhai ilhali walitaka kumuua,wengine wakawa wanamtia dhambi kwa kumuita Mungu,wengi wakimtia dhambi kwa kumwita mwana wa Mungu?
Uharamu na uhalali upo kwa Allah.
 
Kiongozi kuna kitu kimoja hujaelewa .
Quran hakiitaji vitabu vya wanazuoni kueleweka.
Bali kunahitaji ufafanuzi aliouacha mtume kwa wanazuoni.
Pia kuna wanazuoni na wanazuoni.
Si kila mwanazuoni ni wa kumnukuu maelezo yake.
Kuna wanazuoni wa kishia,kiahmadia.
Unapaswa uangalie tafsir Quran unayosoma imenukuliwa kwa mwanazuoni gani?
Wanazuoni bora wa kuwanukuu ni Hambal,Shafii,Makil, Abuu Hanifah, hao ni wale wanazuoni baada ya kufariki mtume.
wanazuoni kipindi cha mtume kina Abuu hurayrah,Ally,Abdillahi Ibn masoud n.k n.k.
Halafu hiyo siyo hadithi hiyo ni asbab nuzul.
Tofautisha hadith na asbab nuzul.
Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe.
Bali inahitaji ww uielewe lugha kwanza pia ukasome uchambuzi alouacha mtume kwa wanazuoni ambayo siyo maneno ya wanazuoni bali ni kile alichorithisha mtume kwayo.
Kuhusu hiko kisa ni asali sio Mariyyatul qibtiyyah.
Kasome ht sirah ama wasifu wa mtume hiko kisa kipo.
HAO WANAOPINGA HADITH SIYO WAISLAM.
KUPINGA HADITH NI SAWA NA KUMPINGA MTUME.
 
Mkuu sote ni wa Mungu na kwa Mungu tutarejea.
Huyo mtu alofanyiwa cloning ni wa Mungu na Mungu ndiye ana mamlaka naye huwezi uka question authority ya Mungu maan hukumuumba ww huyo mtu.
Uhalali na uharam upo kwa Mungu.
Wana wa israel ni wapinga Mungu na mitume na ni wabishi sana.
Wao kudhihakiwa ni haki yao kaka.
 
Sasa mwanamume yeye alimkosea mke wake yeye afanyweje. Hizo ni mila za kale za kiarabu ktk karne ya saba wala hamna kitu hapo. Dunia kamwe haiwezi kurudi nyuma ni mbele kwa mbele.
 
Hawa nao walimnyanyasa nani??
[emoji116][emoji116]
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

(AT-TAWBA - 29)
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Nenda afghanistan ukapate wepesi!
maana waisilamu wanaokimbia kule hawataki wepesi!

Hapo allah ameagiza wapigwe na kulipishwa kodi ya jizya!
Sababu ya wao kupigwa ni Hozi!;
1-Hawamuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho!
2-Hawaharimishi alivyo haramisha mungu!
3-Hawaishiki deen ya haqi!

Hizo sababu na bla bla ulizo jibu ziko wapi kwenye hiyo ayat??
Hamkawiagi kukosoa qauli za haqi za mungu wenu!
au unamgeza muhammad?!
 
NAKUSISITIZA AYAH YA 179 HAIJITOSHELEZI MPK UISHABIHISHE NA 178.
178-179 HIZO NI MUTASHABIHAAT.
NA HAPO HAJAZUNHUMZIWA MWANAMKE PEKE AKE KIMEZUNGUMZIWA KISASI KIUJUMLA.
UKIENDELEA HIVI NITAACHA KUJADILIANA NA WW NIJADILIANE NA WANAOJIELEWA
mchambuzi tuchambulie hapa!
Jee mwanaume akimkosea adabu mwanamke muumini naye alipize kisasi ili awe na Uhai kama alivyo agiza allah??
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii aya inajitosheleza!

Naenda na akili zako!; Hizi ayat zinashahabiana!
[emoji116][emoji116]
وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا

(AN-NISAAI - 156)
Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa,

وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

Hivyo basi Ukubaliane na mimi leo Kisa cha kukusudiwa kukatwa Yesu kilikuwa cha Utotoni! Ukubwani Yesu Aliteswa, Akafa, kisha Kufufuka!

Nakualika lunch kigogo sambusa tupate kitimoto na chachandu ya uhakika ushushie na ka-laga bardii kanatoa jasho?
Alihamdulilah![emoji106][emoji123]View attachment 1897747
 

Nakubaliana na ww! Utotoni Yesu hakufa wala kukatwa, wazazi wake walimkimbizia Misri baada ya Herodi kukusudia kumuua!
 
Umekosea pakubwa ayah ya 156 haishabihiani na 157.
156 inashabihiana na ayah za juu yake ambazo zinaelezea kuhusu Bi.Maryam.
Na kuhusu siku ya sabato.
Unalazimisha ujuaji pole sana
Ndivyo ulivyo karirishwa kwa bakora za makalio madrasa! Hadi unapigania kwenda jehannam [emoji23][emoji23]
 
Sasa mwanamume yeye alimkosea mke wake yeye afanyweje. Hizo ni mila za kale za kiarabu ktk karne ya saba wala hamna kitu hapo. Dunia kamwe haiwezi kurudi nyuma ni mbele kwa mbele.
Kuna taratibu za kufuata mwanamume akimkosea mkewe au hujasoma fiqhi masuala ya ndoa?
Heee ajabu hii kwahiyo kumuonya mwanamke kwa mdomo ni mambo ya kale?
kwahiyo kumuonya mwanamke kwa kumsusia ni mambo ya kale?
kuchapa pia ni ukale?
Haya nambie weye mkeo unamuonyaje kwa huo usasa?
Au akikutusi na kukuletea kibri unamwambia sawa mamyy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…