Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

China ni muumini mtiifu na muaminifu wa Westerns.
 
Acha ujinga Mkuu, kwani USA ni Malaika hadi aishi milele zote kiushindani kwa kila kitu duniani?
Ujinga unao wewe kiazi usiyejua kwamba Marekani ndio anacontribute more than 40 Percent ya annual budget ya nchi yako interms of handouts na health care subsidies kwenye NGO's , jinga wewe . Huyo Mama yenu Samia hiyo misaada toka IMF na world Bank unafikiri huwa zinatoka kwenye masaburi yako au
 
Bora aendelee kuwa mnyenyekevu hivyo hovyo lakini mambo yake yanaenda.
 
Ana miaka 82 ana historia kubwa sana ya kukwaruzana na wachina hadharani uzuri huyu bibi hakopeshi kwa kifupi wachina hawatomsahau. Anaamini anachokisimamia.
Nahofia maamuzi magumu yanaweza yakafanyika. China imepeleka jeshi na vifaa vingi sana Fujian. Ikiwa hali ndiyo namna hii Taiwan isifanye masihara!

Iwe Pelosi afike kweli au asifike! Kuanzia leo na kuendelea Taiwan atafanywa kitu kibaya. Sidhani aibu waliyoipata China miaka ya 90 walupoamua kukivamia kisiwa cha Taiwan, US kwa kuungana na washirika wake walipiga biti la hali ya juu Mchina akasanda kwa aibu kubwa sana!

Kikao kilichofanyika Alaska baada ya US kumtisha China kinguvu ya kijeshi kimatamko China ikamjibu papo hapo kwenye kikao kwa nguvu iliyokuwa nayo sasa hivi China, west hawana ubavu wa kumtisha.

-China itakubali aibu impate tena?
-China ilimwambia US uwezo wa kupambama nae kijeshi anao.

Nimeona China akisoheza silaha nzito nzito kweli. Nafikiri China atapeleka meli zake za kivita+manowari kuikinga US majini na juu watatumia ndege zao kuizuia isipite juu ya anga na kubaki kutazamana!
 
Hahaaaa na utapasuka Sana ,ukae ukijua China ni kijaragosi kilichotengenezwa na USA na USA anauwezo WA kukisambaratisha wakati wowote akitaka na Hamna mtakachomfanya . Kama hujui China used to be a shithole before joining WTO under go ahead ya USA 90's basi .
China used to be shit even now it is still shit . Makampuni ya kimarekani na Ulaya ndio yamebeba uchumi WA China na productivity Kule kama hamjui sasa na pia soko la China Kwa industrial commodities ni western world ,primarily USA ,Canada na Europe .

Sasa nyie kaa na kujidanganya hapo mkidhani China (kivuli cha USA ) kinaweza pambana na USA . Mmelogwa
 
Updates.

Ndege ya kijeshi ya Marekani ilombeba bibi nancy Pelosi imeondoka kutoka uwanja wa ndege mjini Manila nchini Philipines dakika 50 zilopita ikielekea upande wa kaskazini huku ikikwepa bahari ya Uchina au China Sea.

Bado ndege hiyo yatarajiwa kutua mjini Taipei huku majeshi ya China yakiwa kwenye "high alert" na pia majeshi ya majini ya Marekani yakisogeza meli na manowari za kivita kuelekea eneo la Okinawa.
 
Eti wanamsubiri ,pumbav
 
Maamuzi yeyote magumu yana hasara upande mwingine. Ngoja tuone China italinda chakula chake (Uchumi) au kulinda mipaka ya nchi yake.

Tusisahau vilevile China ilitangaza vita dhidi ya US na nchi 20 zilipoingia North Korea. Majenerali wa US walipiga mizinga mpaka mengine ikiwa inaingia China. Kufupisha stori China ikatangaza vita na matokeo yake yalikuwa ya kustaajabisha. Wachina history kwao ni wisdom. Muda ni rafiki mzuri ngoja tuone itakuwaje.
 
Ni Nani kakwambia Taiwan iko chini ya mamlaka ya China wewe mwehu ?
 
Upo sahihi 100%.dharau Kama hizi hauwezi kumuoneshea Russia hata siku moja. Ata China ya Mao Zedong haya maupumbavu na madharau ya marekani wasingejaribu kufanya.
Acha mihemko ya kipumbav wewe kiazi , China knows what is doing, wewe mchimba chumvi WA shithole country na wenzako mnaaandika ujinga hapa mpaka mate yanakutoka +mapovu na matusi as if kuna unacho gain out of that , Idiots .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…