Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Ujinga unao wewe kiazi usiyejua kwamba Marekani ndio anacontribute more than 40 Percent ya annual budget ya nchi yako interms of handouts na health care subsidies kwenye NGO's , jinga wewe . Huyo Mama yenu Samia hiyo misaada toka IMF na world Bank unafikiri huwa zinatoka kwenye masaburi yako au
Ndege za kijeshi za US sio za Burundi , we unafikiri ni rahisi hivyo ?UK ana kelele mingi na usanii. Hana maajabu. Hiyo ndege ya Pelosi unaweza kuta ikatunguliwa na waarabu wachonganishi
Shut your mouth ! Huna akiliCheki kiazi mwingine huyu mwanaume unawaza misaada tu, hata upo tayari mke wako aliwe kisa msaada, kama taifa hatuna vijana
,[emoji23][emoji23][emoji23] waarabu na magobolee yao auUK ana kelele mingi na usanii. Hana maajabu. Hiyo ndege ya Pelosi unaweza kuta ikatunguliwa na waarabu wachonganishi
Mkuu naomba link na code ya ndege ya Pelosi niifatilieTaiwanese and Japanese media reporting 8x F-15 fighters and 5x tanker aircraft just took off from Okinawa. Only 385nm from Taiwan https://t.co/PB4lTQ1UQp
Shut your mouth ! Huna akili
Thread Closed. Umemaliza kila kitu.Hahaaaa na utapasuka Sana ,ukae ukijua China ni kijaragosi kilichotengenezwa na USA na USA anauwezo WA kukisambaratisha wakati wowote akitaka na Hamna mtakachomfanya . Kama hujui China used to be a shithole before joining WTO under go ahead ya USA 90's basi .
China used to be shit even now it is still shit . Makampuni ya kimarekani na Ulaya ndio yamebeba uchumi WA China na productivity Kule kama hamjui sasa na pia soko la China Kwa industrial commodities ni western world ,primarily USA ,Canada na Europe .
Sasa nyie kaa na kujidanganya hapo mkidhani China (kivuli cha USA ) kinaweza pambana na USA . Mmelogwa
Hicho ndicho anachoweza na labda kurusha rusha videge, vikombora karibu na taiwan China haina ubavu wa kudhuru hata unywele mmoja wa kibibi Nancy!Haya ndo majibu makali China walioahidi au?!View attachment 2312049
Tena anasindikizwa na ndege jeshi za TaiwanIt's official Bibi anaenda TaipeiView attachment 2312053