Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Its up 35,000m high on Taiwan territory and not descending.
 
It's descending now.. attitude is dropping.
 
It's around 26,000 ft... And descending... 75miles from landing
 
Acha mihemko ya kipumbav wewe kiazi , China knows what is doing, wewe mchimba chumvi WA shithole country na wenzako mnaaandika ujinga hapa mpaka mate yanakutoka +mapovu na matusi as if kuna unacho gain out of that , Idiots .
Sawa asante 🙏
 
Sawa Asante 🙏
 
Kaka usifikiri US ni kitu cha kawaida, jamaa wapo vizuri haswa. Usisahau US ana washirika wake pia, hasa UK.
Lakini hiyo anayofanya ni dharau kubwa Sana kwa China hata yeye mwenyewe U.S.A asingekubali kufanyiwa.
 
Upo sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…