Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa asante 🙏Acha mihemko ya kipumbav wewe kiazi , China knows what is doing, wewe mchimba chumvi WA shithole country na wenzako mnaaandika ujinga hapa mpaka mate yanakutoka +mapovu na matusi as if kuna unacho gain out of that , Idiots .
Natamani wamkodishe ndugu yetu wa damu kabisa sisi warusi wa tandaimba mr.LAVROV awe msemaji wao kwa muda huu..uyo bibi asingejaribu ata kufikiria kupanda iyo ndege
Sawa Asante 🙏Kwa hiyo wewe mzibua vyoo WA buguruni Una akili kuliko watu bilioni 1.5 Kule China sio ?
Sawa Asante 🙏Hahaaaa na utapasuka Sana ,ukae ukijua China ni kijaragosi kilichotengenezwa na USA na USA anauwezo WA kukisambaratisha wakati wowote akitaka na Hamna mtakachomfanya . Kama hujui China used to be a shithole before joining WTO under go ahead ya USA 90's basi .
China used to be shit even now it is still shit . Makampuni ya kimarekani na Ulaya ndio yamebeba uchumi WA China na productivity Kule kama hamjui sasa na pia soko la China Kwa industrial commodities ni western world ,primarily USA ,Canada na Europe .
Sasa nyie kaa na kujidanganya hapo mkidhani China (kivuli cha USA ) kinaweza pambana na USA . Mmelogwa
Lakini hiyo anayofanya ni dharau kubwa Sana kwa China hata yeye mwenyewe U.S.A asingekubali kufanyiwa.Kaka usifikiri US ni kitu cha kawaida, jamaa wapo vizuri haswa. Usisahau US ana washirika wake pia, hasa UK.
Trump anamfahamu vizuri . By the way namkubali sana pelosi ni mwanamama mwenye msimamo hayumbishwi na kitu. Big up kwake👍Huyo bibi atakuwa na moyo mgumu kama wa mchawi!
Upo sahihi kabisa.Ukweli ni kwamba kama China hatachukua maamuzi magumu sasa hatakuwa na uwezo wa kuyachukua milele!! Taiwan itaimarishwa sana kijeshi na China itabidi ikubali matokeo!! Tatizo la China ni kuwa inaelekea haiko tayari kulipa gharama kubwa inayotakiwa ili kulinda usalama na heshima yake mbele ya jamii ya kimataifa!! Gharama ya kiuchumi ni kubwa sana lakini itazaa heshima kubwa sana!!
Urusi ilijua kuwa isipochukua hatua sasa dhidi ya Ukraine huko mbeleni haingeweza kufanya chochote maana Ukraine ilikuwa inasheheneshwa silaha kubwa sana za kivita na ingeweza kupokea makombora ya nyuklia ya marekani kama Ujerumani ilivyopokea makombora ya nyuklia ya marekani. Urusi ilijua pia kuwa itagharimika sana kiuchumi lakini iliona kuwa inalipa kuingia hiyo gharama ya kiuchumi kuliko kudharaulika mbele ya mabeberu!!
Akiikubali hii dharau Mchina nitamshusha mazima!Lakini hiyo anayofanya ni dharau kubwa Sana kwa China hata yeye mwenyewe U.S.A asingekubali kufanyiwa.
Shida au uzuri wa Marekani ni kwamba wana separation of power hivyo hata Kama Rais alikua hataki Pelosi aende huko lakini hawezi kumzuiaNothing is happening to stop Pelosi visit...