Yeye anaenda kwa kazi zake we we unaeandika unaumia. Duh.Pelosi expected to visit Taiwan, Taiwanese and US officials say
By Eric Cheung, Kylie Atwood, Alex Rogers and Kevin Liptak, CNN
Updated 1829 GMT (0229 HKT) August 1, 2022
Watu sikio la kufa halisikii dawa! haka kabibi kanatafuta umaarufu ambao huenda ukagharimu maisha ya maelfu ya watu!! Anachikitafuta hasa ni nini?
Bibi Pelosi hana kazi yoyote kwenye hii tour ya Asia ni kutafuta legacy tu kwamba ni mtu ambae amejitokeza kuwachokoza wachina.Yeye anaenda kwa kazi zake we we unaeandika unaumia. Duh.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ogopa sana kutiana bila kufanya mazoezi unaishia kuwasugua wanawake na kula tu mavyakula bila kufanya tiziIla wenzetu wanaishi sana tofauti na sisi, yaani kiongozi wa miaka 82 au 79 huku Africa ni fujo tu hana lolote ajielewi kuanzia afya ya mwili mpaka akili
Hawezi kutua kama China wataendelea kukomaa, ila wakionekana kulegeza atatua. Kinachofanywa na Marekani ni kupima kina cha maji!! Wakigundua kina cha maji kinapitika na hakizamishi, basi hapo China atakoma!! Ataendelea kudhalilishwa sana kitu ambacho Urusi wala korea ya kaskazini wasingeweza kuvumilia hata Iran tu, japo yenyewe haina nyuklia!Vipi keshatua?
Chuma Mao Zedong angekuwepo hizi dharau za U.S.A zisinge tokeaHawezi kutua kama China wataendelea kukomaa, ila wakionekana kulegeza atatua. Kinachofanywa na Marekani ni kupima kina cha maji!! Wakigundua kina cha maji kinapitika na hakizamishi, basi hapo China atakoma!! Ataendelea kudhalilishwa sana kitu ambacho Urusi wala korea ya kaskazini wasingeweza kuvumilia hata Iran tu, japo yenyewe haina nyuklia!
Kwanini China iseme Taiwan ni yake?
Haya ndo mambo ya tanganyika na Zanzibar.mtu hakutaki unalazimisha ili iweje?
Hii ya sasa ni kama vile mtu kaichakata jibini na akaitawanya na watu wagombania yaitwa "chunky cheese incident".Hawezi kutua kama China wataendelea kukomaa, ila wakionekana kulegeza atatua. Kinachofanywa na Marekani ni kupima kina cha maji!! Wakigundua kina cha maji kinapitika na hakizamishi, basi hapo China atakoma!! Ataendelea kudhalilishwa sana kitu ambacho Urusi wala korea ya kaskazini wasingeweza kuvumilia hata Iran tu, japo yenyewe haina nyuklia!
Marekani imekuwa ikiingia kwenye bahari ya China na anachokifanya China inaisndikiza meli vita za Marekani kisha China inakuja kwenye vyombo vya habari na kulalamika. Huu ni udhaifu mkubwa sana China anaoufanya.Ni kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].
# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
Muda Utajibu.One China Principle maana yake kuna China moja tu na Taiwan ikiwa ndani yake!! Kwa hiyo China ikisema huruhusiwi kuingia China (ikiwemo Taiwan) huwezi kuja kinguvu!! Ukija kinguvu maana yaka wewe ni mvamizi!! Swali kwa nini Marekani analazimisha kwenda nchi ambayo mwenye nchi amesema HAPANA?
Upo sahihi 100%.dharau Kama hizi hauwezi kumuoneshea Russia hata siku moja. Ata China ya Mao Zedong haya maupumbavu na madharau ya marekani wasingejaribu kufanya.Marekani imekuwa ikiingia kwenye bahari ya China na anachokifanya China inaisndikiza meli vita za Marekani kisha China inakuja kwenye vyombo vya habari na kulalamika. Huu ni udhaifu mkubwa sana China anaoufanya.
Ikiwa ni kweli Marekani imedhamiria kumsindikiza Pelosi kiubabe nasubiri kuona China itafanya nini! Na ikitokea hilo ndilo litakalokuwa mustakabali wa China kwa wazungu.
Taiwan yajitegemea yenyeweOne China Principle maana yake kuna China moja tu na Taiwan ikiwa ndani yake!! Kwa hiyo China ikisema huruhusiwi kuingia China (ikiwemo Taiwan) huwezi kuja kinguvu!! Ukija kinguvu maana yaka wewe ni mvamizi!! Swali kwa nini Marekani analazimisha kwenda nchi ambayo mwenye nchi amesema HAPANA?
Mbona tumepeleka silaha Urusi na hajatufanya lolote lileUpo sahihi 100%.dharau Kama hizi hauwezi kumuoneshea Russia hata siku moja. Ata China ya Mao Zedong haya maupumbavu na madharau ya marekani wasingejaribu kufanya.