Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Kinchomgharimu Mchina anatumia sana diplomasia ndiyo Marekani inamdharau. Masuala tofauti tofauti China inafanyiwa ndivyo sivyo na Marekani wanabaki kutumia diplomasia.

Huo upuuzi Marekani hawezi kuufanya kwa Russia, North Korea wala Iran. Ili China ajenge uzio wa Marekani kumheshimu afanye kweli. Awalipue na huo msafara wake. Lolote liwe! Amini Amerika haitofanya lolote! Kwa sababu anajua kuna vichaa wataunganisha nguvu na madhara makubwa atayapata kwake.
Upo sahihi anaogopa watampelekea moto
 
umeendika kama chiz vile , Taiwan ndio wanataka kujitenga na China so USA marekan anawasaidia tu wafikie malengo yao
Kama vile wale wa Ukraine wanaotaka kujitenga na Russia anawasaidia tu. PUMBAFU
 
China hana nguvu ya kumtisha USA vile CIA wamewachezeshaa mchezo wachina kumbe walikuwa wana test mitambo yao yakijasus na wamejuwa china ni kopo lina piga kelele sasa wamguse waone kitu USA atawafanya.. yani Putn huyo wachina. Watawabanika kama nyama
Pumba
 
China anawaza kuiinua nchi yake kiuchumi na anamtegemea sana marekani hivyo hawezi kufanya vita na marekani. Hata kule Ukraine amepiga kimya.

Umeongea kwa kutumia akili nyingi sana China wanaitegemea marekani kuliko watu wengi wanavyodhani.

US exports to China directly and indirectly supported 1.8 million new jobs and $165 billion in GDP in 2015. When the economic benefits generated from US investment in China and Chinese investment in the US are combined, the total amounts to 2.6 million US jobs and about $216 billion of GDP.


China was the United States' largest supplier of goods imports in 2020. U.S. goods imports from China totaled $434.7 billion in 2020, down 3.6 percent ($16.0 billion) from 2019, but up 19 percent from 2010. U.S. imports from are up 325 percent from 2001 (pre-WTO accession).
 
Supa pawa wa zamani za kale ameshachomoa baada ya kupewa biti la nguvu la kibabe kutoka china. Sasa official kibibi kizee polosi hakita kanyaga ardhi ya Teiwani kama kilivyopanga.

Source.. Aljezeela news this time
Pole sana
 
Kauli yako ina asilimia nyingi za ukweli. Asilimia chache naziweka kwenye nukta hii: Ikiwa China kweli ikiwa inataka USA iweze kumheshimu kinguvu ya kijeshi inambidi afanye kweli kama Iran ilivyolipua kambi za USA nchini Iraq. Au kama kipindi cha Nikita Sovieti ya zamani walilipua ndege vita kipindi cha John F. Kennedy. Na asiwe na maneno mengi kama North Korea; kwa hapo anaweza kufanikiwa. Ila mimi bado simwamini Mchina namuona anaweza akasanda.
Mchina anavyopambana kuinua uchumi wake halafu leo umwambie apigane vita? Kuna viwanda na kampuni nyingi mno za Ulaya na US kule China. Pini alopigwa Mrusi ikatokea kwa China, raia hawataelewa. Vuguvugu la jobless litabatuka mara 10 yake.
 
Lin aliwahi kwenda Mzee mtaje uongo sio mzuri
Niongope ili nipate nini? narudia tena Nancy Pelos sio speaker wa 1 kwenda taiwan alishaendaga Republican former Speaker of the House Newt Gingrich mwaka 1997, na mwaka huu 2022 April walienda pia other US lawmakers . Hivyo hakuna kipya au cha ajabu, kama huamini tafuta mtandaoni uthibitishe nilichoandika kama ni kweli au uongo.
 
Kinchomgharimu Mchina anatumia sana diplomasia ndiyo Marekani inamdharau. Masuala tofauti tofauti China inafanyiwa ndivyo sivyo na Marekani wanabaki kutumia diplomasia.

Huo upuuzi Marekani hawezi kuufanya kwa Russia, North Korea wala Iran. Ili China ajenge uzio wa Marekani kumheshimu afanye kweli. Awalipue na huo msafara wake. Lolote liwe! Amini Amerika haitofanya lolote! Kwa sababu anajua kuna vichaa wataunganisha nguvu na madhara makubwa atayapata kwake.
Ni kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].

# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
 
Kauli yako ina asilimia nyingi za ukweli. Asilimia chache naziweka kwenye nukta hii: Ikiwa China kweli ikiwa inataka USA iweze kumheshimu kinguvu ya kijeshi inambidi afanye kweli kama Iran ilivyolipua kambi za USA nchini Iraq. Au kama kipindi cha Nikita Sovieti ya zamani walilipua ndege vita kipindi cha John F. Kennedy. Na asiwe na maneno mengi kama North Korea; kwa hapo anaweza kufanikiwa. Ila mimi bado simwamini Mchina namuona anaweza akasanda.
Upo sahihi
 
Kuna maana pia kwenye diplomasia, janja janja ya magharibi sio tu kukuingiza kwenye vita na kukushusha kiuchumi ndio plan yao pia. Hivyo sometimes China naye anakua mjanjajanja kwa kukwepa mbinu chafu za western ila trust siku USA akivuka mstari mwekundu patachimbika pia no matter nani atashinda ila itabaki kuwa ni uhatibifu mkubwa.
Ila mkuu inapaswa tufahamu kuwa Hakuna diplomacy kwenye dharau.
 
Kumekucha: China inasema iko tayari kuwazika wavamizi!! Imeyapa amri majeshi yake kukaa mkao wa kupokea amri ya mwisho ya kushambulia wavamizi na kuwazika!!
Wakati huo huo kundi la meli za marekani (attack group) linaelekea Taiwan! Tuombe tuepushwe na dhahama hili linaloinyemelea dunia!!

China ready to ‘bury invading enemies’​

The country’s military has issued a new threat as ongoing tensions surround Taiwan.
China’s Eastern Theater Command has issued a strong warning to the country’s “enemies” amid ongoing tension over the potential visit of US House Speaker Nancy Pelosi to Taiwan.

The officials released a video on Monday, as China marks the anniversary of its People’s Liberation Army (PLA). The video, featuring footage of various drills and military units, urges the solders to “stand by in battle formation, be ready to fight upon command, bury all invading enemies.”

View attachment 2311377

Askari wa China hao wako tayari kukabiliana na wavamizi!! Inaonekana kama wanawaambia Marekani "njoni haraka mkutane ni kiama chenu!!

US carrier strike group may be heading towards Taiwan – monitor​

The USS Ronald Reagan and its strike group have been on the move amid the Asian visit of US House Speaker Nancy Pelosi.
A US strike group, headed by aircraft carrier USS Ronald Reagan, may possibly be approaching Taiwanese waters, the Chinese semi-official monitoring group South China Sea Strategic Situation Probing Initiative (SCSPI) reported on Monday.

This comes during the Asian tour by the US House Speaker Nancy Pelosi, who made her first stop in Singapore earlier in the day. Media reports have earlier claimed that Pelosi could make an unannounced visit to the self-governed island of Taiwan as part of her tour. China had described the alleged plan as highly provocative and threatened the US with “unbearable consequences” if she decides to visit the island.

View attachment 2311382
Convoy la Mimeli ya kivita la Marekani likiwa limebeba madege ya kivita likielekea Taiwan Kumlinda Spika wao mPelosi na kuilinda Taiwan ikiwemo kutetea ubabe wa Marekani dhidi ya dunia! Swali je China itathubutu kuitwanga Taiwan mbele ya mtetezi Marekani kama Urusi ilivyothubutu kuitwanga Ukraine mbele ya mtetezi Marekani?? Dunia inakimbilia ukurasa mwingine kabisa ambao haujawahi kufunguliwa wala kusomwa!! Tunaomba sala kwa kila awezaye kusali na kuomba!! Hili ni tishioo kubwa sana kwa dunia!! Inawezekana kabisa kuwa wote wanawekeana mikwala tu lakini hakuna ajuaye!!
Wacha kinuke tu.

Nje ya mada kwanini hawa wa kwetu hawaendi kusaidia maana kazi kusumbua wapinzani tu huku Tanzânia.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom