Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

US is Super Power and will remain. Sms to Putin.
 
Latest Updates:

Watu hawaamini ndege inombeba spika wa Bunge la Marekani Nacy Pelosi imetua mjini Taipei jioni hii.

1659469249470.png

Bibi Nancy Pelosi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa serikali ya Taiwan.
Wa pili kutoka kushoto ni waziri wa mambo ya nje wa Taiwan bwana Joseph Wu na mwakilishi wa Marekani nchini Taiwan bi Sandra Audkirk (wa tano kutoka kushoto).

Source: CBS, Guardian and parteners.
 
Mbona hakuwasaidia catalunya walipotaka kujitenga??
wamewai muomba msaada au unahis marekan inasaidia tu ? ttzo ni akili zenu fupi zinandeshwa na mahaba kuliko uhalisia , Taiwan kaomba msaada ila Catalunya hawajaomba msaada wa dunia
 
Mkuu Korea ana ubabe gani.?? Irani anaubabe gani.? Hembu tuache mihemko kaka. Hakuna hao wakumzuia au kumhenyesha U.S.A hata putin anavutiwa muda tu maana kdgo ni msumbufu
Iran aliahidi kulipiza kisasi baada ya kamanda wake kuuliwa na marekani nchini Iraq. Aliitimiza ahadi yake kwa kuishambulia vibaya kambi ya kijeshi ya marekani iliyoko iraq, je haulijui hilo? Na marekani enzi za Trump haikufanya kitu!!
Korea ya kaskazini ilizamisha manowari ya korea ya kusini iliyokuwa inashiriki mazoezi na wanajeshi wa marekani walioko korea ya kusini!! Aliizamisha ikiwa na askari kadhaa na marekani wala korea ya kusini haikufanya kitu!! Haso ni wababe!!
 
Sawah alishambulia kambi je aliua?
 
Put
Unadhani kaenda tu. Huo ni mkakati wa kujua nguvu ya mchina ili wajue yule putin atapata msaada wapi wakikiwasha vzr. Nawaza tu.
Putin kwa taarifa yako hategemei nchi nyingine!! Urusi ilishajipanga kupigana na nchi nyingi kwa wakati mmoja!! Wana lundo la makombora usiombe!! We fikiria ni mkiezi sita sasa na kila siku anarusha maelfu ya makombora lakini haishiwi kama Ukraine inavyolialia kila siku ikiomba silaha!! We fikiria kama Ukraine ingekuwa haipewi silaha mara kwa mara na nchi za magharibi mchezo ungekuwa umeshaisha zamani. Hata hivyo kabla ya majira ya baridi Zelensky lazima anyoshe mikono na wapambe wake!!
 
Yataisha tu. Muda utatupa majibu sahihi.
 
Siyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
China hana ubavu wa kuanzisha vita ya uchumi na nchi za magharibi kwa sababu huko ndiko soko lake kuu liliko!! Bidhaa zenyewe ni za viwandani ambavyo ulaya wana mbadala wake. Tofauti na Urusi ambayo bidhaa zake ni mali asili ambazo ulaya haina mbadala wake. Nchi za magharibi zinaweza kususia bidhaa za china na hakuna athari kubwa!
 
Put

Putin kwa taarifa yako hategemei nchi nyingine!! Urusi ilishajipanga kupigana na nchi nyingi kwa wakati mmoja!! Wana lundo la makombora usiombe!! We fikiria ni mkiezi sita sasa na kila siku anarusha maelfu ya makombora lakini haishiwi kama Ukraine inavyolialia kila siku ikiomba silaha!! We fikiria kama Ukraine ingekuwa haipewi silaha mara kwa mara na nchi za magharibi mchezo ungekuwa umeshaisha zamani. Hata hivyo kabla ya majira ya baridi Zelensky lazima anyoshe mikono na wapambe wake!!
Huyo RUSSIA tayari ashaanza kulegea mdgo mdgo ataliwa kichwa.
 
Aliua sana tu lakini kwa aibu Marekani aliminya akakaa kimya!!
Aliua sana tu ila kwa aibu marekani hawakusema. Na mamia ya askari waliathirika kiakili wakapelekwa ujerumani kwa matibabu!! Mwambie na china ajaribu hata kupiga pembeni kambi ya marekani iliyoko Japan kama atathubutu!
 
China hana ubavu wa kuanzisha vita ya uchumi na nchi za magharibi kwa sababu huko ndiko soko lake kuu liliko!! Bidhaa zenyewe ni za viwandani ambavyo ulaya wana mbadala wake. Tofauti na Urusi ambayo bidhaa zake ni mali asili ambazo ulaya haina mbadala wake. Nchi za magharibi zinaweza kususia bidhaa za china na hakuna athari kubwa!
Unajidanganya
 
Acha vita ianze tu ili na sisi huku kwetu tulianzishe dhidi ya majizi ya ccm,maana kiuhalisia jinsi maisha yalivyo magumu ni kama tuko vitani na majambazi yanayotuongoza yanaona raha tunavyopata msoto,suluhu ni vita ya tatu ya dunia ili na sisi hoe hae tuponee humo
 
Bidhaa gani ya mali asili ya Russia ambayo Ulaya hawana mbadala wake au hawawezi kuipata kwingine duniani?
China hana ubavu wa kuanzisha vita ya uchumi na nchi za magharibi kwa sababu huko ndiko soko lake kuu liliko!! Bidhaa zenyewe ni za viwandani ambavyo ulaya wana mbadala wake. Tofauti na Urusi ambayo bidhaa zake ni mali asili ambazo ulaya haina mbadala wake. Nchi za magharibi zinaweza kususia bidhaa za china na hakuna athari kubwa!
 
Acha kabisa!! Iran iko kwenye vikwazo lukuki vya kiuchumi lakini inatoboa kutengeneza nyuklia na hakuna wa kuizuia!! Iliitwanga makombora lukuki kambi ya kijeshi ya Marekani iliyopo Iraq ikiwa ni kulipiza kisasi kwa kamanda wake kuuliwa na wamarekani, na Marekani hakufanya kitu!! Imedondosha drones kibao za upelelezi za marekani!! Iran mbabe sana na Marekani anajua!!
Mbona hajaenda kuretalate Israel ambaye anamgonga kila siku kwa kutarget raia wake
 
Mbolea inazalishwa Canada na mataifa mengine mengi, ngano ya Urusi soko lake kubwa wala sio west na nchi nyingi za west zinazalisha na ku export ngano, mzalishaji mkubwa wa titanium ni China na Japan, gesi ya Urusi Ulaya imeshapunguzwa kwa 50%
gesi asilia,mbole,ngano,madini ya titanium etc ivyo vyote west wansmtegemea Russia mpaka kesho
 
Back
Top Bottom