Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo umeandika takataka ganiUS is Super Power and will remain. Sms to Putin.
Ukitaka kujua Kiburi cha Nancy muulize Trump.Nancy anaweza kuwa bibi yake Betina but very intelligent! Global figure.
wamewai muomba msaada au unahis marekan inasaidia tu ? ttzo ni akili zenu fupi zinandeshwa na mahaba kuliko uhalisia , Taiwan kaomba msaada ila Catalunya hawajaomba msaada wa duniaMbona hakuwasaidia catalunya walipotaka kujitenga??
Iran aliahidi kulipiza kisasi baada ya kamanda wake kuuliwa na marekani nchini Iraq. Aliitimiza ahadi yake kwa kuishambulia vibaya kambi ya kijeshi ya marekani iliyoko iraq, je haulijui hilo? Na marekani enzi za Trump haikufanya kitu!!Mkuu Korea ana ubabe gani.?? Irani anaubabe gani.? Hembu tuache mihemko kaka. Hakuna hao wakumzuia au kumhenyesha U.S.A hata putin anavutiwa muda tu maana kdgo ni msumbufu
Sawah alishambulia kambi je aliua?Iran aliahidi kulipiza kisasi baada ya kamanda wake kuuliwa na marekani nchini Iraq. Aliitimiza ahadi yake kwa kuishambulia vibaya kambi ya kijeshi ya marekani iliyoko iraq, je haulijui hilo? Na marekani enzi za Trump haikufanya kitu!!
Korea ya kaskazini ilizamisha manowari ya korea ya kusini iliyokuwa inashiriki mazoezi na wanajeshi wa marekani walioko korea ya kusini!! Aliizamisha ikiwa na askari kadhaa na marekani wala korea ya kusini haikufanya kitu!! Haso ni wababe!!
Putin kwa taarifa yako hategemei nchi nyingine!! Urusi ilishajipanga kupigana na nchi nyingi kwa wakati mmoja!! Wana lundo la makombora usiombe!! We fikiria ni mkiezi sita sasa na kila siku anarusha maelfu ya makombora lakini haishiwi kama Ukraine inavyolialia kila siku ikiomba silaha!! We fikiria kama Ukraine ingekuwa haipewi silaha mara kwa mara na nchi za magharibi mchezo ungekuwa umeshaisha zamani. Hata hivyo kabla ya majira ya baridi Zelensky lazima anyoshe mikono na wapambe wake!!Unadhani kaenda tu. Huo ni mkakati wa kujua nguvu ya mchina ili wajue yule putin atapata msaada wapi wakikiwasha vzr. Nawaza tu.
Yataisha tu. Muda utatupa majibu sahihi.Put
Putin kwa taarifa yako hategemei nchi nyingine!! Urusi ilishajipanga kupigana na nchi nyingi kwa wakati mmoja!! Wana lundo la makombora usiombe!! We fikiria ni mkiezi sita sasa na kila siku anarusha maelfu ya makombora lakini haishiwi kama Ukraine inavyolialia kila siku ikiomba silaha!! We fikiria kama Ukraine ingekuwa haipewi silaha mara kwa mara na nchi za magharibi mchezo ungekuwa umeshaisha zamani. Hata hivyo kabla ya majira ya baridi Zelensky lazima anyoshe mikono na wapambe wake!!
China hana ubavu wa kuanzisha vita ya uchumi na nchi za magharibi kwa sababu huko ndiko soko lake kuu liliko!! Bidhaa zenyewe ni za viwandani ambavyo ulaya wana mbadala wake. Tofauti na Urusi ambayo bidhaa zake ni mali asili ambazo ulaya haina mbadala wake. Nchi za magharibi zinaweza kususia bidhaa za china na hakuna athari kubwa!Siyo kweli ...china inanjia nyingi za kuipiga usa [emoji631] inaweza kutangaza marufuku ya kutumia dola nchini kwake ilo litakuwa pigo kuu kwa usa [emoji631] na anguko kamili la ufalme wa marekani duniani
Huyo RUSSIA tayari ashaanza kulegea mdgo mdgo ataliwa kichwa.Put
Putin kwa taarifa yako hategemei nchi nyingine!! Urusi ilishajipanga kupigana na nchi nyingi kwa wakati mmoja!! Wana lundo la makombora usiombe!! We fikiria ni mkiezi sita sasa na kila siku anarusha maelfu ya makombora lakini haishiwi kama Ukraine inavyolialia kila siku ikiomba silaha!! We fikiria kama Ukraine ingekuwa haipewi silaha mara kwa mara na nchi za magharibi mchezo ungekuwa umeshaisha zamani. Hata hivyo kabla ya majira ya baridi Zelensky lazima anyoshe mikono na wapambe wake!!
Aliua sana tu lakini kwa aibu Marekani aliminya akakaa kimya!!Sawah alishambulia kambi je aliua?
Aliua sana tu ila kwa aibu marekani hawakusema. Na mamia ya askari waliathirika kiakili wakapelekwa ujerumani kwa matibabu!! Mwambie na china ajaribu hata kupiga pembeni kambi ya marekani iliyoko Japan kama atathubutu!Aliua sana tu lakini kwa aibu Marekani aliminya akakaa kimya!!
UnajidanganyaChina hana ubavu wa kuanzisha vita ya uchumi na nchi za magharibi kwa sababu huko ndiko soko lake kuu liliko!! Bidhaa zenyewe ni za viwandani ambavyo ulaya wana mbadala wake. Tofauti na Urusi ambayo bidhaa zake ni mali asili ambazo ulaya haina mbadala wake. Nchi za magharibi zinaweza kususia bidhaa za china na hakuna athari kubwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo sijui mngejifichia wapi[emoji1][emoji1]
#U.S.A NI SUPERPOWER CHINA NI MANDONGA [emoji38]
China hana ubavu wa kuanzisha vita ya uchumi na nchi za magharibi kwa sababu huko ndiko soko lake kuu liliko!! Bidhaa zenyewe ni za viwandani ambavyo ulaya wana mbadala wake. Tofauti na Urusi ambayo bidhaa zake ni mali asili ambazo ulaya haina mbadala wake. Nchi za magharibi zinaweza kususia bidhaa za china na hakuna athari kubwa!
gesi asilia,mbole,ngano,madini ya titanium etc ivyo vyote west wansmtegemea Russia mpaka keshoBidhaa gani ya mali asili ya Russia ambayo Ulaya hawana mbadala wake au hawawezi kuipata kwingine duniani?
Mbona hajaenda kuretalate Israel ambaye anamgonga kila siku kwa kutarget raia wakeAcha kabisa!! Iran iko kwenye vikwazo lukuki vya kiuchumi lakini inatoboa kutengeneza nyuklia na hakuna wa kuizuia!! Iliitwanga makombora lukuki kambi ya kijeshi ya Marekani iliyopo Iraq ikiwa ni kulipiza kisasi kwa kamanda wake kuuliwa na wamarekani, na Marekani hakufanya kitu!! Imedondosha drones kibao za upelelezi za marekani!! Iran mbabe sana na Marekani anajua!!
gesi asilia,mbole,ngano,madini ya titanium etc ivyo vyote west wansmtegemea Russia mpaka kesho