Missed you broBlack American star waache uzwazwa wakuje kuoa huku Africa ,Kuna Mali safi sana zipo south Africa ,Eswatin ,tanzania na Nk ,
Lasivyo wazungu watawafirisi vyote na Sheria zao za Ajabu ajabu
Umemaanisha Prenuptial agreement?Wasenge sana hao celebs
Wanaishi kwenye taifa linaloruhusu prenup.
Wasaini prenup na hao malaya kabla ya kufunga nao ndoa.
Au wawe kama celebs wengine walioamua kataa ndoa
Hawa jamaa huwa tunawaonaga wanyamwezi lakini wana ushamba sana wa K
Braza upo?Black American star waache uzwazwa wakuje kuoa huku Africa ,Kuna Mali safi sana zipo south Africa ,Eswatin ,tanzania na Nk ,
Lasivyo wazungu watawafirisi vyote na Sheria zao za Ajabu ajabu
Lini hiyoo?haina shida malipo ni hapa hapa duniani
wacha yamkute real nigga 50 Cent alimshauri akakaza fuvu. aende akaoshe vyombo vya Ludacriss
Achaneni na KUOA.Hapa kuna cha kujifunza,usione una vihela vyako ukaona wanawake wanapatikana kirahisi ukajiona wewe ni handsome au una sumaku,kinachowaleta kwako ni pesa.Pia ni vizuri sana unapotafuta mke wa kuoa usitumie pesa kumrubuni ili akupende,akishazizoea hizo hela ujiandae tu kupigwa tukio......
NdiyoUmemaanisha Prenuptial agreement?
Nadhani tunapaswa tujifunze kutoka ka wazazi wetu wa miaka hiyo ya 80 na kurudi nyuma walifanyaje,maana hili wimbi la wanawake kukimbilia ndoa huku mawazo yao yako kwenye mali limezagaa dunia nzima.Hata hivyo USA acha hili liwatafune kwasababu wao ndio waanzilishi wa hizi sheria kandamizi kwa wanaume,kinachowatokea ni halali kwao,kwa sisi wengine huku tunafuata mkumbo tu lakini bado sheria zetu hazijawa kali kiasi hicho....
Hilo hata mimi sijaelewa labda mleta uzi aje afafanue, yaani upokwe kila kitu na hujafa bado??Hivi Huwa wanatumia Sheria zipi ambazo zinafanya mwanaume anyang'anywe Kila kitu na kupewa mwanamke?
Na kama hakumpenda huo si ni ulaghai? Imekuwaje apate haki zote za kumiliki mali wakati hakumpenda mwanaume?
Yaani hapo ndio nachoka kabisa na Sheria za wazungu
Sheria za wazungu .Hivi Huwa wanatumia Sheria zipi ambazo zinafanya mwanaume anyang'anywe Kila kitu na kupewa mwanamke?
Na kama hakumpenda huo si ni ulaghai? Imekuwaje apate haki zote za kumiliki mali wakati hakumpenda mwanaume?
Yaani hapo ndio nachoka kabisa na Sheria za wazungu
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo.🥺🥺🥺Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi
Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo.View attachment 3114824