Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Wairani safari hii kipondo wanakipata,sasa hivi wanatishia kuwa eti mashambulizi yakiendelea wataanzisha full-scale War,teh teh teh
 
Mohsen Rezaee, a senior Iranian military advisor, has warned that if the US continues bombing Iran, Tehran will escalate into full-scale war. Rezaee says so far, Iran has limited its retaliations, but this won’t last for long.
 
Marekani inapigwa kama ngoma kwasasa Base zake zinageuzwa majivu wanaficha lkn Hari
tete sana ✍️
 
Wairani walijipanga muda mrefu sana.

Uyu Trump kaingia choo cha bata waliokula mapera👈
 
Wairani safari hii kipondo wanakipata,sasa hivi wanatishia kuwa eti mashambulizi yakiendelea wataanzisha full-scale War,teh teh teh
Sisi Wairan hata hatunaga haraka, tunatunza tuu risiti.
Muda ukifika tunakumbushana.

HNhMo22bgAAykeB.jpeg
 
Wairan walijipanga kwa miaka 30 iliyopita kuwa iko siku watapigana na Marekani. Walijua vyema kuwa nguvu kubwa ya Marekani ni airpower
 
Sisi Wairan hata hatunaga haraka, tunatunza tuu risiti.
Muda ukifika tunakumbushana.

View attachment 3632002

Kibabu kimepatikana kwa Iranian sasa mwenye dhamana ya ulinzi anachabangwa!!

Nikiwa mdogo Niliwahi kuona Mbungi kali kati ya M'bwa na kicheche
Ile siku nilicheka sana
Mana m'bwa waliteswa mpaka unawaonea uruma!

Nilicheka zaidi ktk wake m'bwa mmoja hakushiriki kabisa tumekaanae tulipo ikanishangaza nikauliza kwann uyu haendi kusaidia kule‼️

kijana mmoja mzoefu akanijibu uyu hataki kabisa kusikia habari ya Kicheche uko nyuma nayeye alijitutumua kujaribu kuwakamata sikumoja kajikuta juu ya mti kushuka hawezi 😜😜

Mti wenyewe ulilala kidogo kajikuta yupo juu kushuka hawezi ikabiti atoe mlio wa kuomba msaada❗️

Wakamshusha juu na kamba
ndicho kimefanya hataki tena kuwakimbiza Vicheche ✍️
 
Back
Top Bottom