Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Huu ubishi wa namna hii mi huwa sibishani..
Tunazungumzia siasa za mashariki ya kati.. uislamu unaingiaje..
Mandela aliitwa gaidi na US alikuwa muislamu?
Hizo zilikuwa propaganda za US. Ila kwa dunia ya sasa gaidi wote ni kobazi. Ukiacha propaganda kama za CCM za kumuita Mbowe gaidi, magaidi wa kweli ni kobazi
 
USA hawezi kujitoa hiyo vita bila kushinda. Kuangusha dola la Iran. Ni vita aliyokuwa anaitafuta kwa miaka mingi. Kingine ni vita yenye maslahi kwake.

Tegemea Iran kuwa kama Iraq.
Vita alikuwa anaingoja wakati majuzi Trump amejaribu kila namna kujitoa ameshindwa...

Iran haiwezi kuanguka peke yake, hao waarabu Saudia, Qatar, UAE n.k watageuka Gaza kwanza...
Ni vita mbaya sana usiongee kirahisi.. dunia nzima tutaingia kwenye recession...

Kabla Iran haijaanguka makundi kwa makundi au ground troops ambao ni loyal kwa Iran wataingia hizo nchi mamluki wa US na kuzisambaza... hakutokuwa na utulivu kwa miaka mingi.. watu watakimbia hizo nchi .

Uzuri Iran ilishasema mashariki ya kati yote itawaka moto.. na wakisema hao jamaa wanamaanisha...

Mfano UAE na Qatar hawana wapiganaji, wazawa ni wazee wa kuendesha Lamborghini na Ferrari, wana utapiamlo kwa kuendekeza kula.. wapiganaji 80% waliopo hizo nchi ni mamluki... ikitokea vita ya ground hapo.. hao waarabu hawatoboi.. am telling you....

Israel huko ndipo patachakaa usiombe...

Hivyo Iran usitegemee kuanguka.. kama anaanguka basi China ndiye anakuwa superpower wa dunia, mashariki ya kati yote inakuwa Gaza..
 
Aircraft carriers zilishambuliwa.. zipo kwenye matengenezo..

Kama anaweza kulenga kambi zote za middle east na Israel... atashindwa kuelekeza missiles ipige carrier?

Vitu vingine acheni ujuaji..
Mnalishana uongo ili mfurahishane? Kwa uwezo aliomao Iran waweze kushambulia aircraft carrier 🤣
 
US kaona aibu kama mkubwa dunia kufuata matakwa ya Iran..

Ameona ni kudhalilishwa.. ndio maana anajitutumua...

Lakini kiuhalisia atarudi tena mezani.. huwezi kuchomoka kwa muajemi..
Kwa hiyo ulikua unajua Iran atalipwa Dola billion 300??🤣🤣🤣🤣
 
Aircraft carriers zilishambuliwa.. zipo kwenye matengenezo..

Kama anaweza kulenga kambi zote za middle east na Israel... atashindwa kuelekeza missiles ipige carrier?

Vitu vingine acheni ujuaji..
Mimi ni mvaa kobazi kindaki ila kwa kweli nashindwa luelewa hadi dakika hii. Meli za US zipo umbali gani hadi muajemi ashinde kuzihadaa kwa mizinga yake, maana ndizo zinazotumika kwa wingi kushambulia kwa sasa ilihali targets zimgine anaweza kuzifikia.

Meli zimeweza kuweka embargo kwenye bahari unayoijua chini juu, Iran inashindwa nini kuelekeza mizinga huko na kuzipa hata hofu ya kuwepo maeneo zilipo?.

China na Urusi wako wapi, wakati sahihi ndiyo huu wa kufanya majaribio ya kukabiliana na sea fleet ya US. Kwanini hawatoi mbinu na vifaa kwa Iran ku-deal na melivita za US hapo Middle East.?.
 
Anashambulia kutoka Gulf hasa kuwait
 
Ipige Iran, bei ya mafuta ipande, uza mafuta, omba mazungumzo, tangaza mnaenda kukubaliana, bei ya mafuta inashuka, nunua mafuta, ipige Iran.............

Ndo huyu jamaa Trump anachotufanyia duniani.
:CATTING:
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Vita alikuwa anaingoja wakati majuzi Trump amejaribu kila namna kujitoa ameshindwa...

Iran haiwezi kuanguka peke yake, hao waarabu Saudia, Qatar, UAE n.k watageuka Gaza kwanza...
Ni vita mbaya sana usiongee kirahisi.. dunia nzima tutaingia kwenye recession...

Kabla Iran haijaanguka makundi kwa makundi au ground troops ambao ni loyal kwa Iran wataingia hizo nchi mamluki wa US na kuzisambaza... hakutokuwa na utulivu kwa miaka mingi.. watu watakimbia hizo nchi .

Uzuri Iran ilishasema mashariki ya kati yote itawaka moto.. na wakisema hao jamaa wanamaanisha...

Mfano UAE na Qatar hawana wapiganaji, wazawa ni wazee wa kuendesha Lamborghini na Ferrari, wana utapiamlo kwa kuendekeza kula.. wapiganaji 80% waliopo hizo nchi ni mamluki... ikitokea vita ya ground hapo.. hao waarabu hawatoboi.. am telling you....

Israel huko ndipo patachakaa usiombe...

Hivyo Iran usitegemee kuanguka.. kama anaanguka basi China ndiye anakuwa superpower wa dunia, mashariki ya kati yote inakuwa Gaza..
Story ulizotoka nazo masjid leo Aljumaa wakati wa swala kwa Ustadhi Juma na Musoma hizo. 😂😂
 
Kuna sababu kabisa ya kumiliki Nyuklia Ili kuhakikisha nyie wafirwaji mnakuwa na adabu.

sijaelewa vizuri ulichomaanisha, lkn nuclear technology na nuclear bomb siyo technology ya muslims na wala muslims hawana mchango wowote ule kwenye nuclear science, hata hao pakistani wenyewe walisaidiwa tu na kupewa nuclear weapons lkn muslims hawajawahi ku-develop nuclear technology au technology yoyote ile for that matter, sasa islamic republic of iran atapata wapi nuclear technology kama siyo kuomba? ...
 
Back
Top Bottom