Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Mkuu unafuatilia hata uchambuzi kwa wataalamu wa siasa za mashariki ya kati?

Ipo hivi, Iran ina nguvu hivi sasa kuliko mwanzoni.. na nikuambie tu..pasipo ground troops, sahau kuishinda Iran..

Iran ndiye hataki vita iishe kama ulikuwa hufahamu.. ndio maana kwenye meza wameweka masharti na matakwa magumu vibaya sana kwa US kuyatekeleza..

US amejitahidi ku kukuruka huku na kule wapi ni kama kafungwa pingu mikononi kila akijitikisa inazidi kukaza..

Kuna muda ilibaki kidogo US akubali.. lakini pro Israel, na wale wapuuzi member wa AIPAC wanamdanganya Trump kwamba haiwezekani adhalilike..

US anachofanya sasa ni kutapatapa kama mfa maji..
Gaidi hawezi mshinda US.
 
Gaidi ni Israel.. aliyeua vitoto Gaza.. hadi Trump mwenyewe juzi kamkosoa Netanyahu kwamba mashambulizi yao ni ya kipuuzi.. huwezi watu 50 wanaishi kwenye jengo moja kisa ulikuwa unalenga mtu mmoja...

Israel ni overrated...
Wa Israel siyo magaidi, labda wa Israel waislamu. Maana sifa ya kwanza ya gaidi lazime uwe kobazi
 
Shida ni kwamba US imedhalilishwa.. wanachofanya sasa ni kutafuta namna ya kujitoa lakini kwa ku declare ushindi..

USA hawezi kujitoa hiyo vita bila kushinda. Kuangusha dola la Iran. Ni vita aliyokuwa anaitafuta kwa miaka mingi. Kingine ni vita yenye maslahi kwake.

Tegemea Iran kuwa kama Iraq.
 
Iran inabidi itumie nguvu zaidi kushambulia maadui zake, US na Israel wana mpango wa kuifanya Iran iwe kama Syria...

Wanaimaliza nguvu taratibu, Iran inabidi ichague moja kuingia vitani kamili kwa ajili ya usalama wao ama wakubali kufanyiwa huu mchezo ili waishie kama Syria..
Haya mambo tayari yalikuwa yanamalizika fresh, mara Iran akaanza kushambulia upya meli zinapita mlango bahari wa Hormuz. Kwenye hii vita Iran atapoteza zaidi, hivyo ni vizuri wakae wayamalize kwa amani.
 
Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha.

Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana uwezo wa kuwarudisha miaka ya 70.

usiku huu jeshi la marekani linaendelea kushambulia maneno yote ya nchi kwa uhuru bila kipingamizi. Pray for Iran....

Ritz
Adiosamigo
mdogoee
Echolima1
dem boyz
Khaibar
Mlaleo
zitto junior
Khanji kapoor
Seth saint
Frank Wanjiru
6 Pack
MT255
gTurn
Marcostilone
100 others
MakinikiA
Chizi Maarifa
fimboyaukwaju
MlimaSayuni
Shytown
View attachment 3630696
Kwa mazingira haya Kwa nini usiwe na Nyuklia?
 
Iran inabidi itumie nguvu zaidi kushambulia maadui zake, US na Israel wana mpango wa kuifanya Iran iwe kama Syria...

Wanaimaliza nguvu taratibu, Iran inabidi ichague moja kuingia vitani kamili kwa ajili ya usalama wao ama wakubali kufanyiwa huu mchezo ili waishie kama Syria..

Yeah hii ndio option waliyobakiwa nayo Iran.

Kwa sababu wanammaliza nguvu polepole na hakika hataweza kuhimili.
Aamue moja. Kama kuna uwezekano aamue kumalizana na Israel kabisa kabisa. Mbona Israel wao wanaichakaza Gaza. Iran inasita nini.

Maana kusema Iran anashinda hii vita ni kujidanganya
 
Iran itasimama tena

Imeisha hiyo Mkuu.
Iran kashaingia kwenye mfumo. Na hapo Israel hatatoka mpaka Iran ipasuke na itapasuka. Tupo hapahapa utajionea.

Wazungu ni watu hatari na hawaendeshwi na mihemko.

Kiboko ya Wazungu ni China, kwani China naye anautulivu na anajua nini afanye.

Iran ndio imeanguka Mkuu.
 
Sababu ya kumiliki Nyuklia imepatikana.

Hata waangushe utawala wa Ayatola ,hakuna atakaetawala Iran zaidi ya Wanamapinduzi sana sana itakuwa kama Afghanistan
 
Mkuu unafuatilia hata uchambuzi kwa wataalamu wa siasa za mashariki ya kati?

Ipo hivi, Iran ina nguvu hivi sasa kuliko mwanzoni.. na nikuambie tu..pasipo ground troops, sahau kuishinda Iran..

Iran ndiye hataki vita iishe kama ulikuwa hufahamu.. ndio maana kwenye meza wameweka masharti na matakwa magumu vibaya sana kwa US kuyatekeleza..

US amejitahidi ku kukuruka huku na kule wapi ni kama kafungwa pingu mikononi kila akijitikisa inazidi kukaza..

Kuna muda ilibaki kidogo US akubali.. lakini pro Israel, na wale wapuuzi member wa AIPAC wanamdanganya Trump kwamba haiwezekani adhalilike..

US anachofanya sasa ni kutapatapa kama mfa maji..

USA anatapa tapa wakati watu wanaenjoy kombe la dunia ndani ya nchi yake wakiwa na utulivu na Amani?

USA anatapa tapa wakati hakuna kiongozi wake hata mmoja aliyeuawa?

USA anatapatapa wakati amemfuata adui yake maelfu ya maili na kumzunguka, anaingia atakavyo na kutoka?

USA anatapatapa wakati mpaka sasa Ayatolla Mojtaba hajulikani alipo, mzima au amekufa, anajificha kwa sababu ipi?

Kusema USA anatapatapa ni kama kusema CCM wanatapa tapa. Ni kujidanganya
 
Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha.

Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana uwezo wa kuwarudisha miaka ya 70.

usiku huu jeshi la marekani linaendelea kushambulia maneno yote ya nchi kwa uhuru bila kipingamizi. Pray for Iran....

Ritz
Adiosamigo
mdogoee
Echolima1
dem boyz
Khaibar
Mlaleo
zitto junior
Khanji kapoor
Seth saint
Frank Wanjiru
6 Pack
MT255
gTurn
Marcostilone
100 others
MakinikiA
Chizi Maarifa
fimboyaukwaju
MlimaSayuni
Shytown
View attachment 3630696
Mtu yoyote anaye jinasibisha na uislamu ni wakupiga tu hadi akili zimkae sawa ..ni kosa kubwa sana kumchekea muislamu..kama hapa tz tumewachekea waislamu wa Zanzibar hadi wanatupapasa matako watanganyika
 
Back
Top Bottom