Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,414
- 3,043
Wewe jamaa ni mkundugu sana.Bora mafuta yapande lakini Magaidi wa Iran lazima waangamizwa!!!
Wewe jamaa ni mkundugu sana.Bora mafuta yapande lakini Magaidi wa Iran lazima waangamizwa!!!
Iran mshindi..
Kinachonishangaza ni kwa nn Iran anapiga majirani zake waarabu na si Israel?Iran inabidi itumie nguvu zaidi kushambulia maadui zake, US na Israel wana mpango wa kuifanya Iran iwe kama Syria...
Wanaimaliza nguvu taratibu, Iran inabidi ichague moja kuingia vitani kamili kwa ajili ya usalama wao ama wakubali kufanyiwa huu mchezo ili waishie kama Syria..
Iran mshindi..
Waambie US waifungue Hormuz..
True.Iran inabidi itumie nguvu zaidi kushambulia maadui zake, US na Israel wana mpango wa kuifanya Iran iwe kama Syria...
Wanaimaliza nguvu taratibu, Iran inabidi ichague moja kuingia vitani kamili kwa ajili ya usalama wao ama wakubali kufanyiwa huu mchezo ili waishie kama Syria..
Ukireport kutoka buzebazebaUS hii vita kashindwa..
Hizo meli zake akileta ujuaji zitapigwa zote..
Ndio wapi huko we mke wa nne wa Mvuvi wa Kasa Pale Kizimkazi?Ukireport kutoka buzebazeba
Jiheshimu we mama wa iranNdio wapi huko we mke wa nne wa Mvuvi wa Kasa Pale Kizimkazi?
Mafuta yanakugusa mpaka wewe, in short USA na wewe anakubagaza kisawa sawaa.Sasa hivi mmehamia kwenye bei ya mafuta,hamsemi tena kuwa Iran ni Superpower kashinda vita.
Hahahahsh mwambie kwanza Iran aindoe blockade ya bandari zake maana mameli ya Marekani yapo machoni mwake kabisa.Iran mshindi..
Waambie US waifungue Hormuz..
Hahahaha sasa hivi ndio mshaanza kuona ukubwa wa U.S sioMafuta yanakugusa mpaka wewe, in short USA na wewe anakubagaza kisawa sawaa.
Shida nini? ID yako ni SAMIA. Je hujijzi kama wewe ni mke wa 4 wa Mvuvi wa Kasa Kizimkazi Mzee AMEIRY au umemuacha baada ya kuwa Rais maana siku hizi mzee haonekani wala kusikika tena? 😂😂Jiheshimu we mama wa iran
Mkuu unafuatilia hata uchambuzi kwa wataalamu wa siasa za mashariki ya kati?Iran ilishindwa kuzamisha hata ngalawa moja ya US kipindi kile anamoto vita vinaanza ndio ataweza sasa hivi dhoofu bin hali.?
Makalio ya bibi yakoShida nini? ID yako ni SAMIA. Je hujijzi kama wewe ni mke wa 4 wa Mvuvi wa Kasa Kizimkazi Mzee AMEIRY au umemuacha baada ya kuwa Rais maana siku hizi mzee haonekani wala kusikika tena? 😂😂
Zile aircraft carrier mbili zipo wapi, naona zimebaki destroyers tu..Iran ilishindwa kuzamisha hata ngalawa moja ya US kipindi kile anamoto vita vinaanza ndio ataweza sasa hivi dhoofu bin hali.?
Ukisikia kazi ya kichwa ni kifuniko cha mabega ndio hiki!Bora mafuta yapande lakini Magaidi wa Iran lazima waangamizwa!!!
Kama wanao huo uwezo si wazipige sasa. Wagaidi lazima yateketezweUS hii vita kashindwa..
Hizo meli zake akileta ujuaji zitapigwa zote..