Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Bora mafuta yapande lakini Magaidi wa Iran lazima waangamizwa!!!
Iran hakuna magaidi, ule ni ugomvi wa Maslahi tu, kinachowaponza Iran ni kiburi tu na majidai, iakini pia wanafikiri kuwa Urusi na China zinaweza kuja kupigana upande wao dhidi ya Marekani, silaha wanaweza kupata toka China na Urusi, lakini zitakuwa bora kuliko walizonazo? Kimsingi Vita hii imemaliza maghala ya silaha duniani kama ile ya Ukraine, kinachomtokea Urusi sasa hivi ni kinatokana na vita hii ya Iran na Us, Mrusi hapati support kubwa toka Iran, Silaha za China sio za kutegemea mchina anatengeneza silaha lakini bado sio za uhakika sana.
 
Iran inabidi itumie nguvu zaidi kushambulia maadui zake, US na Israel wana mpango wa kuifanya Iran iwe kama Syria...

Wanaimaliza nguvu taratibu, Iran inabidi ichague moja kuingia vitani kamili kwa ajili ya usalama wao ama wakubali kufanyiwa huu mchezo ili waishie kama Syria..
Si wako vitani au na wewe unataka waingie vitani mara ngapi mbona na wenyewe wanarusha makombora kwa waarabu kila siku.
 
USA anatapa tapa wakati watu wanaenjoy kombe la dunia ndani ya nchi yake wakiwa na utulivu na Amani?

USA anatapa tapa wakati hakuna kiongozi wake hata mmoja aliyeuawa?

USA anatapatapa wakati amemfuata adui yake maelfu ya maili na kumzunguka, anaingia atakavyo na kutoka?

USA anatapatapa wakati mpaka sasa Ayatolla Mojtaba hajulikani alipo, mzima au amekufa, anajificha kwa sababu ipi?

Kusema USA anatapatapa ni kama kusema CCM wanatapa tapa. Ni kujidanganya
Hao Mkuu achana nao,hao ni kama Kenge tuu hawasiki na kukubali mpaka damu iwatoke. Kwa kifupi sasa hivi Iran kashatepeta hana mbwembwe wala ujanja tena,kashaingia kwenye mfumo wa Marekani.
 
Hao Mkuu achana nao,hao ni kama Kenge tuu hawasiki na kukubali mpaka damu iwatoke. Kwa kifupi sasa hivi Iran kashatepeta hana mbwembwe wala ujanja tena,kashaingia kwenye mfumo wa Marekani.

Ingawaje USA ni mkorofu na muonevu lakini kusema Iran anashinda au atashinda Vita hivi ambapo USA amekamia mechi ni kujidanganya sana.
 
Iran inabidi itumie nguvu zaidi kushambulia maadui zake, US na Israel wana mpango wa kuifanya Iran iwe kama Syria...

Wanaimaliza nguvu taratibu, Iran inabidi ichague moja kuingia vitani kamili kwa ajili ya usalama wao ama wakubali kufanyiwa huu mchezo ili waishie kama Syria..
Umeona!
 
Wewe mpumbavu ukibanwa nauli ya daladala unakuja kulalama humu
Endelea kushangilia ujinga huku EWURA anajipigia tu na wahindi na waraabu
Na safari hii wakirudi mtakoma na mpaka kula mtaanza kupitisha siku kavu
Mafuta hata yawe laki Moja kwa Lita hiyo hatujali, muhimu kwetu magaidi waangamizwe
 
Mkuu unafuatilia hata uchambuzi kwa wataalamu wa siasa za mashariki ya kati?

Ipo hivi, Iran ina nguvu hivi sasa kuliko mwanzoni.. na nikuambie tu..pasipo ground troops, sahau kuishinda Iran..

Iran ndiye hataki vita iishe kama ulikuwa hufahamu.. ndio maana kwenye meza wameweka masharti na matakwa magumu vibaya sana kwa US kuyatekeleza..

US amejitahidi ku kukuruka huku na kule wapi ni kama kafungwa pingu mikononi kila akijitikisa inazidi kukaza..

Kuna muda ilibaki kidogo US akubali.. lakini pro Israel, na wale wapuuzi member wa AIPAC wanamdanganya Trump kwamba haiwezekani adhalilike..

US anachofanya sasa ni kutapatapa kama mfa maji..
Hapo unakosea! USA anajaribu kumpunguza makali Iran. Nilisema mwanzo kuwa alisimama vita ili kujipanga upya. Hii vita haijaisha bado mbichi
 
Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha.

Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana uwezo wa kuwarudisha miaka ya 70.

usiku huu jeshi la marekani linaendelea kushambulia maneno yote ya nchi kwa uhuru bila kipingamizi. Pray for Iran....

Ritz
Adiosamigo
mdogoee
Echolima1
dem boyz
Khaibar
Mlaleo
zitto junior
Khanji kapoor
Seth saint
Frank Wanjiru
6 Pack
MT255
gTurn
Marcostilone
100 others
MakinikiA
Chizi Maarifa
fimboyaukwaju
MlimaSayuni
Shytown
View attachment 3630696
Sawa
 
Back
Top Bottom