Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

Iran inabidi itumie nguvu zaidi kushambulia maadui zake, US na Israel wana mpango wa kuifanya Iran iwe kama Syria...

Wanaimaliza nguvu taratibu, Iran inabidi ichague moja kuingia vitani kamili kwa ajili ya usalama wao ama wakubali kufanyiwa huu mchezo ili waishie kama Syria..
Waingie vitani wapi? Kwa uwezo upi? Hawa tunawapiga Kila tunapoamua, alafu tukichoka tunawaahidi kuwapa Dola billion 300🤣🤣

Baada ya mwezi tunawapiga Tena, alafu tunawaahidi Tena kuwapa Dola billion 300 zingine 🤣
 
Marekani kapakatwa safari hii,we bweka tu humu
Kashikishwa ukuta? Waliobaki wanaogopa hata kuonekana hadharani 🤣🤣
20260712_163945.jpg
 
Imeisha hiyo Mkuu.
Iran kashaingia kwenye mfumo. Na hapo Israel hatatoka mpaka Iran ipasuke na itapasuka. Tupo hapahapa utajionea.

Wazungu ni watu hatari na hawaendeshwi na mihemko.

Kiboko ya Wazungu ni China, kwani China naye anautulivu na anajua nini afanye.

Iran ndio imeanguka Mkuu.
Si kweli..
Hao waajemi si waarabu..
 
Wewe mpumbavu ukibanwa nauli ya daladala unakuja kulalama humu
Endelea kushangilia ujinga huku EWURA anajipigia tu na wahindi na waraabu
Na safari hii wakirudi mtakoma na mpaka kula mtaanza kupitisha siku kavu
Relax...!
Mleta mada anaongelea tu yaliyofanyika, hana mchango wowote hasi au chanya wa kuathiri kilichotokea.

Hivyo kumshambulia yeye ni sawa na aliyefiwa kupiga mawe gari lililoleta maiti.
 
USA anatapa tapa wakati watu wanaenjoy kombe la dunia ndani ya nchi yake wakiwa na utulivu na Amani?

USA anatapa tapa wakati hakuna kiongozi wake hata mmoja aliyeuawa?

USA anatapatapa wakati amemfuata adui yake maelfu ya maili na kumzunguka, anaingia atakavyo na kutoka?

USA anatapatapa wakati mpaka sasa Ayatolla Mojtaba hajulikani alipo, mzima au amekufa, anajificha kwa sababu ipi?

Kusema USA anatapatapa ni kama kusema CCM wanatapa tapa. Ni kujidanganya
Kambi zake zilizopo middle east mbona huzungumzii zina hali gani..?

Ni kweli US haijafikiwa ndani lakini utawala wake mashariki ya kati na uwepo wake pale upo hatarini.. unafahamu hasara watakayoingia?

Us anatapatapa kama mfa maji sababu hana uwezo tena wala hana amani tena kutangaza ubabe na ufalme wake pale middle east... ni pigo moja kubwa.. maana popote anafikiwa..
 
Waingie vitani wapi? Kwa uwezo upi? Hawa tunawapiga Kila tunapoamua, alafu tukichoka tunawaahidi kuwapa Dola billion 300🤣🤣

Baada ya mwezi tunawapiga Tena, alafu tunawaahidi Tena kuwapa Dola billion 300 zingine 🤣
US kaona aibu kama mkubwa dunia kufuata matakwa ya Iran..

Ameona ni kudhalilishwa.. ndio maana anajitutumua...

Lakini kiuhalisia atarudi tena mezani.. huwezi kuchomoka kwa muajemi..
 
Yaani mbogamboga apologist wengi hawajui kabisa Geopolitics.
Ukiangalia kwenye huu uzi utaona,ndio maana huwa tunasema hata zile post huwa yanaandikiwa😂
 
Wa Israel siyo magaidi, labda wa Israel waislamu. Maana sifa ya kwanza ya gaidi lazime uwe kobazi
Huu ubishi wa namna hii mi huwa sibishani..
Tunazungumzia siasa za mashariki ya kati.. uislamu unaingiaje..
Mandela aliitwa gaidi na US alikuwa muislamu?
 
US kaona aibu kama mkubwa dunia kufuata matakwa ya Iran..

Ameona ni kudhalilishwa.. ndio maana anajitutumua...

Lakini kiuhalisia atarudi tena mezani.. huwezi kuchomoka kwa muajemi..
Kobazi sijui huwa mnafikiri kwa kutumia nini!
 
Back
Top Bottom