STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Mkuu apo kwenye " natiwaga bure tu" sijaelewa yani!
Uko Sahihi mkuu. uzuri nimefika na kuishi kwenye zote ulizotaja japo huko kwa weupe sio sana ila naamini unachokisema kwa asilimia mia. Maisha kule ni hand to mouth. Hakuna kusave hata mia. Wamefanya hesabu kabisa kuwa wakikulipa mia tano lazima mwisho wa mwezi iishe yooote na uingie tena ukiwa mtupu kabisa. Labda ufanye kazi usiku na mchana kama wabongo wengi wanavyofanya huko majuu. Mfano mzuri ni Lemutuz alivyotua bongo bila hata mia
Sina haja ya picha nachoongea ni kuwa mzungu hawako free ukaenda kwake akakupa chakula free kama ilivyo kwa watanzania. Achia mbali hivyo vimihaliko vya msimu unavyopata na kuweka picha humu. Hivyo mtu yoyote anaweza pata. Ebu nenda Leo kwa huyo alokukaribisha bila taarifa kama atakukaribisha akupe chakula. Sijaongelea mihaliko. Mimemahanisha ukarimu wa mtu kwenda kwake bila taarifa na akakukubali na bado akakupa chakula. Hiyo tabia ya mihaliko hipo kila sehemu duniani. Weka picha zako tukuone unavyokula na wazungu! Ha ha ha ha! Hongera! Ila ungejaribu kwenda wakati ujakaribishwa! Ila hongera kwa picha za kukaribishwa na wazungu. Weka nyingi tukuone!
Hata Ulaya na Marekani kuna mashirika yanayotoa misaada mbalimbali kwa jamii. Mashirika makubwa yanadonate fedha. Hivyo usisahau Hiyo hisani uanzia kwao. Nakupa mfano kuna wakati nilikuwa nafunga akaunti mojawapo. Na ilikuwa na fedha. Benki waliniuliza kama hizo fedha wazipeleke katika hisani. Nilikubari. Kuna mashirika kibao tu yanayosaidia miradi kadhaa. Charity begins at home! Kwani hata Tanzania wangapi wazalendo wanao toa hisani lkn si lazima kuandika.
Nadhani unataka kuingiza mada nyingine. Msingi wa mada si kucompare life. Pia sijaongelea maswala ya muda. Mimi si mgeni marekani. Na si mgeni nchi kadhaa. Kikubwa tuheshimu Msingi na tamaduni za nchi. Hatuwezi lazimisha tufanane duniani. Tunaishi kwa system yetu na tuiheshimu. Ulimbukeni wa kuona Ulaya au Marekani ni bora tuuache. Kujidharau na kuona vya wengine bora tuuache. Watu wangapi wako mitaani huko Marekani hawana chakula? Si wangepewa? Kama hakuna shida marekani kwann kuna uporaji mkubwa na wizi miaka yote? Tuache Ulimbukeni kuona wazungu wako right kila kitu.Aaah sasa nimeelewa tatizo lako.
Acha kucompare life system ya marekani na tanzania.
Marekani watu wanaishi kwa ratiba huwez kwenda kwa mtu kama unavyoendaga tanzania.hata hospitali lazima utoe taarifa kwanza upangiwe kabla ya kwenda hospitali maybe dharura,
Narudi,ikiwa unataka kumtembelea mtu lazima umpe taarifa,na kumtembelea mtu marekani ni kitu kinakuwa na uzito ndomana watu wanaandaa chakula kama hvyo.
Hawatembelei watu kwa kustukiza na huwezi kwenda kwa mtu kienyeji lazima utoe taarifa na mpange lini anakuja.
Alafu marekani chakula si ishu watu
Hivi fikiria nchi mtoto akilia njaa unafunguliwa mashtaka. Mtoto anakosaje chakula
Chakula ni kingi mtu hawez kukunyima chakula.
Watu wananunua chakula cha wiki au mwez kipo ndani hivi unafikiri mgen wangu atakosa kula kwel.
Njaa si kitu cha kufikiria hata unapomtelea mtu huwez kuwazia maswala ya nitakula nini kwa fulani
Nilitegemea utasema hata tanzania kuna mashirika yanatoa misaada kwa watu wa marekani
Ndo maana ni
Kama umesoma uzuri si lazima shirika. Hata mtu binafsi kuna watu ni wa tanzania wanadonate katika hayo mashirika. Unadhani mashirika mengine yanapataje fedha. Mie kuna mashirika kibao ni mwanachama na wao ufanya donation duniani kwa watu mbalimbali. Na yanasaidia watu ndani ya Ulaya au Marekani na Pia Afrika, Asia na kwingineko. Marekani siyo ahera, nao wanamatatizo yao. Be proud to be Tanzanian. Kuliko kujidharau. Jivunie ulichonacho hata kama ni kidogo.
Inawezekana wakzi wa huko ndo wanajua ukweli zaidi,maana sisi tukiitazama katika picha tunaona ni sehemu nzuri zaidi,ila walowahi ishi huko wanafahamu mengi sana kuhusu uhalisia wa maisha yao.Tatizo ukienda huko na ukaona maendeleo ya vitu na ukilinganisha na ulipotoka laxima utapaona peponi huko, lazima upinge kukubali kuwa et huko nako kuna maisha magumu.
Yaani mwalimu wa shule ya msingi huko marekani anapanga likizo yake aje kupanda mlima kilimanjaro na akae mwezi mmoja kwenye 5star hotel pale arusha, upande wa pili tafuta mwalimu wa shule ya msingi bongo, huruma.
Wewe utakuwa kwenu mambo safi angalau milo mitatu kwa siku, kuna watanzania wamechoka wewe angalau mlo mmoja kwa siku ni shida na hakuna kazi ya kufanya ya kukuingizia hata 500.Endelea kufaidi mema ya nchi kwa kuwa wazazi wako wamekutengenezea mazingira hadi una uwezo wa kwenda nje ya nchi.DHIKI ILIYOKO TANZANIA HUIJUI NI ZAIDI YA JEHANAMU!!!Hizi ni sentensi za watu ambao hawajaona maisha halisi ya nje ya nchi...ni ya kusimuliwa tu.
Hivi kufanya kazi za usafi marekani na ulipwe dola kadhaa au uokote makopo jalalani Tanzania ukusanye rundo la kutosha afu ulipwe 1500 ukale ukoko kwa mama ntilie kipi bora!!!?? Acha kuongea kufurahisha genge TANZANIA NI JEHANAMU NDOGO.Huyo le mutuz mnayemzungumzia kuwa maisha marekani yalimshinda ulizia baba ake ni nani!!!? Ana uwezo wa kurudi Tanzania na akaishi maisha ya standard ambayo sisi choka mbaya tunamuona kama yuko peponi.Naunga mkono hoja, inatakiwa uwe kama roboti ili uweze kukidhi maisha huko, wengine wanafanya kazi zaidi ya sehemu moja ili kumudu gharama za maisha, inaitwa hakuna kulala......mfumo wa kibepari ni mfumo wa kiibilisi unawafanya watu waishi kama maroboti...
Hizi ndio nyumba tunazomiliki watanzania eti kisa tunamiliki ardhi!!! Tuache kujisifia kwenye hakuna.S
Sio Shamba, kumiliki nyumba US lazima uwe tajiri kweli kweli, wengi wamepanga
Lakini kwenu Singida si mnaishi kwenye TembeHizi ndio nyumba tunazomiliki watanzania eti kisa tunamiliki ardhi!!! Tuache kujisifia kwenye hakuna.View attachment 1467946
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Asante kwa maoniTanzania mlishazoea kuishi kama MAITI huku WANASIASA wakiishi kama wako PEPONI.
Mnaamini Mtaishi Vizuri Peponi hapa duniani mapito tu.
Ndio maana hata Corona, Utawala Katili, Umasikini, Magonjwa HAMJISHUGHULISHI KABISA kupindua MEZA au KUBADILISHA MFUMO, Mnachoambiwa Ni Kuzoea tu KUISHI NAVYO.
Yaani kama kuna KINYESI NDANI, hakuna JITIHADA zozote za kukitoa - Ni Kujitahidi Kuzoea kuishi nacho.
Ndio Wabongo.
Wakati Marekani Wanajua Maisha Ndio Haya Haya, Na Wako Tayari Kupambana Kubadilisha MIFUMO.
Na mifumo hiyo inabadilika ndio maana leo hakuna nchi Afrika Yenye UCHUMI Mkubwa Kuliko Hata:
- Alphabet
- Apple
- Amazon
Nilitegemea utasema hata tanzania kuna mashirika yanatoa misaada kwa watu wa marekani
Kuna utofauti mkubwa wa mila, desturi na tamaduni.Mkuu kumkubali mwenzio kafanya kazi nzuri aina maana wewe ndo umejidharau hapana
Ili ufanyikiwe unatakiwa ujuwe mshindani wako ni nani then endelea kushindana nae ila kama ujamkubali huwez kujifunza mambo mzuri kutoka kwake ambayo wewe utaweza kuongeza na mengine ya kwako
Hapa tuko kwenye mada tusitoke nje ya mada. Hawa wazungu kwanza hawataki mwafrika au mtu mweusi hawazidi. Wanataka siku zote uwe chini yao. Na ukijaribu kujinyenyekeza kwao ndo watajifanya wanacheka nawe lkn mioyoni they look down you! Nilihudhuria moja ya vikao vyao. Kuna profesa mmoja ni maarufu sana. Amekuwa na Nyerere karibu na anamheshimu sana. Anamkubari sana. Kwann Nyerere hakujikomba kwao aliwapa ukweli. Huyu profesa aliongelea Demokrasia nchini Tanzania. Tulibishana nae sana. Nilimwambia demokrasia inaendana na utamaduni, au mila na desturi za eneo husika. Uwezi beba demokrasia ya Ulaya au Marekani ukaichukua kama ilivyo haitofanya kazi. Nilimwambia Afrika inahitaji demokrasia kulingana na mazingira yake na utamaduni wake. Baada ya kumpa mifano kadhaa alinielewa. Hatuwezi kuiga kila kitu kama kilivyo. Tunatofauti kubwa ya kimazingira, mila na desturi. Mchina ameendelea kwa sababu akuhamisha kila kitu kutoka nje. Alichofanya ni kuweka mambo kuendana na tamaduni na mila zao. Lakini Afrika tunataka tufanye kila kitu kama alivyo mzungu. Copy and Paste! Hatutafanikiwa kamwe. Tumeacha mila na desturi zetu tunaiga mzungu. Hadi corona leo imetufanya tukumbuke dawa za mababu zetu. Tulizozizarau na kuona mzungu tu. Ebu tuwe proud na vyakwetu. Ebu tuwaoneshe siye ni wathamani. Naongea haya uzuri nimelelewa na kuishi nao hao wazungu. Toka Ulaya na Marekani. Nawajua toka utoto wangu. Na wanajua misimamo yangu na wanaiheshimu. Kamwe hawaongei ujinga mbele yangu. Na wengi wamekuja Tanzania kuitembelea na wamependa Tanzania.Mkuu kumkubali mwenzio kafanya kazi nzuri aina maana wewe ndo umejidharau hapana
Ili ufanyikiwe unatakiwa ujuwe mshindani wako ni nani then endelea kushindana nae ila kama ujamkubali huwez kujifunza mambo mzuri kutoka kwake ambayo wewe utaweza kuongeza na mengine ya kwako
Tatizo mnaona mapicha picha kwenye TV, siye wengine tumeyaishi na kushuhudia kwa zaidi ya miaka 2. Wazungu wenyewe wapo kibao wanaokaa kwenye baridi kali kuomba omba na wengine hawana makazi kabisa wanalala humo humo mitaani. Sasa endeleeni na stori za kusimuliana vijiweni..Hivi kufanya kazi za usafi marekani na ulipwe dola kadhaa au uokote makopo jalalani Tanzania ukusanye rundo la kutosha afu ulipwe 1500 ukale ukoko kwa mama ntilie kipi bora!!!?? Acha kuongea kufurahisha genge TANZANIA NI JEHANAMU NDOGO.Huyo le mutuz mnayemzungumzia kuwa maisha marekani yalimshinda ulizia baba ake ni nani!!!? Ana uwezo wa kurudi Tanzania na akaishi maisha ya standard ambayo sisi choka mbaya tunamuona kama yuko peponi.
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Exactly, ndio ufukara wenyewe tunaouzungumzia afu anakuja hapa mtu anaishi kwenye self container anaanza kusema watanzania tuna maisha mazuri kuliko marekani JUHA KABISA!!!Lakini kwenu Singida si mnaishi kwenye TembeView attachment 1467948
Lakini kwenu Singida si mnaishi kwenye TembeView attachment 1467948