Marekani yaanza kutafuta uungwaji mkono ili kuiwekea vikwazo China

China ikiingia vitani hata huku tutaifeel vzr tu.
Ishu ya Covid lockdown tu wenye maduka madogo kariakoo waliishiwa stock wakawa mzigo umeganda haubadiliki kwa miezi hadi watu wakahamia soko la uturuki 🀣🀣🀣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mrusi akimruhusu Taleban itapendeza sana akawafyeke mashoga wa Ukraine na NATO kwa uhuru. Najua Marekani lazma atapiga biti tu... Warabu hawanaga hofu ya kufa.
Kwakuwa hatuna Roho yaye
 
Wanaishi marekani ni sawa ila ni kwa sababu ya njaa zao tu. Sio kwamba hamna nchi nzuri zaidi ya marekani. Scandnaviana countries ziko bomba sana kuliko hata US.
 
Na ndo nchi pekee itakayoshika dola ya duniani kwa kipindi kirefu zaidi kuzidi zote duniani! Huenda yeye ndo akaongoza mpaka Qiyyama... anayebisha ahifadhi uzi huu. 😊
Nimekaa pale, huyo superpower wenu kabla ya 2030 lazma awe kalambishwa mchanga...Unless utawala ubadilike aingie raisi mwenye hekima.
 
Wanaona Marekani kama ndio Mungu wa dunia. Marekani 2030 haitafika lazma iwe imesambaratika. Hizo sanctions na kulazimisha vitu ni kama kicks of a dying horse.
 
Ndio washachokwa na kila mtu, hata wale manunda wa mtaa huwa wanaishiaga kufa vibaya sana ikifikia stage wananchi wamechoka kufanyiwa matukio.
 
Kilicho umiza super power nying dunian n kutaka kukandamiza watu wengine UK na zingine zilitumua nguvu nying kuumiza watu leo ziko wapi haya marekan ipo siku tu na yeye ataondoka hapo alipo
Hana muda kuanzia 2024 lazma kitawaka. Dunia itachangamka sana.
 
Hulioni likitokea au sio? 🀣🀣🀣 Watu wanaandaa Nuclear zao na wametupilia mbali mpango wa pamoja wa kushirikiana kwenye kukagua Nuclear arsenals we kaa hivyo hivyo.

US kashachokwa na wenye akili sasa ajichanganye tu atakipata anachokitafuta.
 
Supa pawa wa mchongo anaomba ushirika kwa nguvu, apo apo anapiga biti wale wanaotaka kuweka ushirika na Russia.🀣🀣 Marekani kifo cha mende kinampigia hodi
Huyo shoga amefikia kiama chake. Hadi Museveni anamvimbia 🀣🀣🀣
 
Wanaishi marekani ni sawa ila ni kwa sababu ya njaa zao tu. Sio kwamba hamna nchi nzuri zaidi ya marekani. Scandnaviana countries ziko bomba sana kuliko hata US.
Watu wote wananjaa ndiyo maana tunatafuta hela. Ndiyo maana watu wanatafuta maisha popote pale. Ila USA fursa zipo nyingi kuliko nchi yoyote ile duniani.
Unajua kupigana (mieleka, boxing), Muziki, Basketball (NBA), muigizaji (Hollywood), Porn industries, drug abuse n.k
Ndiyo maana watu wote wa nchi yoyote duniani utawakuta USA.
 
Ndio washachokwa na kila mtu, hata wale manunda wa mtaa huwa wanaishiaga kufa vibaya sana ikifikia stage wananchi wamechoka kufanyiwa matukio.
Tofautisha manunda wa mtaa ambao hawana dola na hawana hela na ambao wana dola na wanahela.
USA ni nunda mwenye dola na hela.
Russia anaipiga Ukraine, China anataka kuipiga Taiwan. Unafikiri Russia na China ni wazuri sana kuliko USA?
 
Nilisahau jambo moja; America wamejaa mashoga.
TO BE A GAY IS A CHOICE WE MPUMBAVU!... JUZI TU RAIS WA AMERIKA MWENYEWE KAZUNGUMZA NA ANAJIULIZA NI NGUVU GANI IPO NYUMA YA LAANA HII?!...WATU HAWANA HAYA... HAJISIKII VIBAYA WALA FEDHEHA KUTOKA KWA NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA FAMILIA YAKE KUWA MTU WA NAMNA HIYO?!... kaongea mengi sana!

Nenda twitter tafuta videos tazama, na utazame na za WILLIAM RUTO pia

Lakin Hiyo ndo hoja muhimu wewe uliyoona ya msingi kabisa hapa?! Wamejaa gays sawa.., ila ndo wababe hao. We mwenyewe hushangai?!

Hao wajaa laana wapo everywhere duniani na aliyeamua kufirwa shauri yake na mungu wake sisi hatuhusu akiingia kwenye 18 zangu naua tu kumamamae!

Ila ongea hoja za msingi sio hao laana!
 
Wanaona Marekani kama ndio Mungu wa dunia. Marekani 2030 haitafika lazma iwe imesambaratika. Hizo sanctions na kulazimisha vitu ni kama kicks of a dying horse.
Mzee unaona ni kitu rahisi?!

Nafkiri WWIII is around the corner 😒😒😒

Hatalambishwa mchanga katu na kizembe lazima kinuke... bora tufe mapema ila tusikumbwe na hiyo kadhia
 
Ndio mjiandae kushuhudia kile ambacho mlikuwa hamkitaki na akishapigwa chini huyo super power wenu tutawafanya wake zetu nyie mashabiki zake.
We mzee utamfanyaje mwanaume mwenzio mkeo?! 😳😳😳

Unanifanya nakuvua nishani zangu za heshima kaka πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

Acha hizo kauli tunazipinga, zinakaribisha laana na ushetani.
 
Hahahah ni deathrow tu kmmmk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…