Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

Inawezekanaje wakatoliki wa Tanzania wajitenge na Papa na waanzishe kanisa lao linalopinga ushoga??!
Kwenye mambo ya doctrine papa hawezi kwenda kunyume na mafundisho ya kanisa.
 
Libya ilisambaratika kutokea ndani, Arab springs ilianzia ndani na ilitokana na matatizo yao wenyewe waarabu huko ndani kwenye nchi zao baada ya raia wake kuchoshwa na tawala za muda mrefu sana, NATO walifika baada kumalizia tu kazi iliyoakuwa imeanza.

Urusi waligundua mchezo gani mapema? Kwani Ukraine iko ndani ya Urusi??
 
Vita kubwa sana hii..
 
Sasa NATO walitaka nini hapo kama kazi ilikuwa imefanyika tayari. Huoni kuwa hii ni kazi ya moja kwa moja waliyokuwa wakiifanya kupitia kwa hao unaosema waliianzisha?

Kutetea hawa watu siku hizi ni kujiondoa akili tu mwenyewe. Ni kazi ngumu sana kuifanya.
 
Urusi itauza nini duniani katika hiyo unipolar order zaidi ya gesi, mbolea, ngano na silaha kama anavyouza sasa tena kwa soko finyu zaidi??
Hii ni "dua" tu isiyokuwa na msingi wowote.
Baada ya vita mrusi anajenga uchumi wake, tena kwenye mazingira tofauti kabisa ambayo si 'unipolar' tena, yasiyotawaliwa na hao wanaotaka kuitawala dunia milele.
 
Inawezekanaje wakatoliki wa Tanzania wajitenge na Papa na waanzishe kanisa lao linalopinga ushoga??!
Kama Martin Luther aliweza kujitoa kwenye Ukatoliki baada ya kutofautiana nao mambo fulani fulani ya kitheologia basi hata hapa TZ iwapo wakatoliki wataona kanisa mama linakwenda kinyume cha Injili ya kweli ya Yesu Kristo linaweza kujitenga.

Japo waanglican wa TZ hawajajitenga, lakini Waanglicana wa TZ na Afrika kiujumla wamekataa katakata kukubaliana na Ajenda ya ushoga inayopigiwa chapuo na kanisa la Anglican la uingereza
 
Wewe ndio unamjua vizuri sababu unalala nae
Daaah nimecheka sana yaani alivyoongea as if kama ni baba yake anashinda naye kila siku hawa viongozi mbele za watu wana sura tofauti na wakiwa nyuma ya pazia wana sura tofauti tusidanganyane tunamjua🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
muarabu usimtaje kwenye hili.hana utakatifu wowote. anapinga ushoga lakini anatoa marinda wanawake, kuna tofauti gani hapo? hicho kitu sio cha ajabu sana kwa waarabu. Mungu yu karibu kuihukumu dunia.
 
Urusi itauza nini duniani katika hiyo unipolar order zaidi ya gesi, mbolea, ngano na silaha kama anavyouza sasa tena kwa soko finyu zaidi??
Dah!
Naona wewe unayo picha ya dunia ya kipekee sana, kama unaona dunia yote ni nchi hizo za Magharibi tu.
Waliweka vikwazo wakitegemea kwamba mrusi atakwisha katika muda mfupi kwa uchumi kuanguka. Hadi leo uchumi unakwenda.
Sijui unaijua urusi kiasi gani hadi uone kwamba haiwezi kujenga tena uchumi wake, hata kama ungekuwa ni wa kutegemea raslimali hizo za gesi, mafuta; pamoja na mazao ya nafaka, kwani haya hayaingizi fedha nchini?

Urusi unajua hakuna viwanda vya kutengeneza chochote?
Na unao uhakika kwamba hawataweza kamwe kujifunza na wao kama wanavyofanya mataifa mengine?

Mbona India wanaibuka, Brazil wanainuka na nchi chungu nzima zinainukia, lakini kwa urusi haiwezekani?
 
Aisee.... naomba link ya huo uzi wa dini
 
Urusi haitaweza kuibuka kwa utawala wa aina ya Putin. India na Brazil zimekuwa zikibadilisha tawala, zikifanya reforms na kujikita katika kukuza chumi zao na kufanya maendeleo badala ya kupambana na West, ni hivyo pia kwa China, hali ni tofauti sana kwa Urusi.
 
Itakua umeanza kuifwatilia urusi juzi.... Si tu putin tangu Enzi za Rais yetsen wa wakali alikuwa akipinga ushoga wazi kabisa... Na urusi haijawai kuwa na Sheria inayoruhusu ushoga pamoja na kwamba urusi ni nchi ya kizungu ila ina itikadi ya ki socialist... Utamaduni wa falsafa ya kisocialist ni pamoja nakusimamia maadili Katika jamii..
 
Kwa hiyo hapa unasema kwamba China, India, Brazil, na nchi yoyote itakayotaka kuendelea ni lazima ikubali 'values' za Magharibi? Bila hivyo hapatakuwepo na maendeleo? Chumi zao hazitakuwa nzuri?

Hiyo China mbana tayari wanaiona kuwa tishio kwa 'values' zao; imekuwaje kama mchina anaendelea kiuchumi lakini bado ni tishio kwa hizo 'values' zinazomwezesha kuwa tishio?

Kwa nini sasa wanatafuta njia za kumdhibiti?
 
MAREKANI INASABABISHA VIPI MWANAO AWE SHOGA?????

TUMIENI AKILI....

WALEENI WATOTO WENU KATIKA NJIA IPASAYO HATA WAJAPOKUWA WAZEE WASIJE WAKAICHA.
MITHALI. 22:6

Hili ndio jibu

MAREKANI INASABABISHA VIPI MWANAO AWE SHOGA?????

TUMIENI AKILI....

WALEENI WATOTO WENU KATIKA NJIA IPASAYO HATA WAJAPOKUWA WAZEE WASIJE WAKAICHA.
MITHALI. 22:6

Hili ndio jibu
Kwa hii comment walah Bora wangetumia kondomu sio kuleta ng'ombe dunuani
 
Dah!
Naona wewe unayo picha ya dunia ya kipekee sana, kama unaona dunia yote ni nchi hizo za Magharibi tu.
Waliweka vikwazo wakitegemea kwamba mrusi atakwisha katika muda mfupi kwa uchumi kuanguka. Hadi leo uchumi unakwenda.
Katika makosa Marekani na binamu zake watajutia miaka mingi ijayo, ni pamoja na kuzifanya Russia na China kuwa na urafiki wa karibu sana.

Jua halijazama, Iran na Saudia nao wanajadili kumaliza tofauti zao. It's like someone has decoded satan's code.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…