Utaiona nuru kupitia Muumba wako.Niione nuru kwa makobazi.....hawa tunashinda nao tunawaona mambo yao halafu ndo tuione nuru kupitia hawa makobazi kweli........labda siku nikiamua kuanza kufuga majini nitawafata
Kama Allah anauwezo mbona hawatetei hao wafuasi wake wanaouwawa kama Kuku?!Niwahi na mimi nipo hapa? Unaota au ndiyo hallucinations zenyewe hizo?
Utaiona nuru kupitia Muumba wako.
Hata huyo unaemwita kobazi, ana muabusu Mwenyezi Myungu mmoja.
Watu wenye kiburi kama wewe walikuwepo wengi sana, wala wewe huwapati kwa kila kitu,m na wameufyata na kutubu. Na wewe tunaamini kuna siku utatubu, au kwa kupenda au kwa kutokupenda.
IIkiwa unachosoma hiuelewei, basi hata pich huoni? Au unafikiroi huu uzi wa nini? Ni wa wale wenye viburi kuliko wewe. si unawaona? Au hujapata fundisho hapo?
Punguza hasira, umechanganya mambo mpaka haueleweki. Kunywa maji, shusha pumzi, jamba kidogo, halafu andika moja moja. Uzi upo tu huu hauendi mahala kwengine.Hii n janga kama janga zngne kama ya jangwan kpnd chamvua aiusian 🤣🤣🤣 bongo dah alaf mtu kama uyu anakuja kutuamnisha n Allah anafanya yake kisa waarabu wanachapka vp bhana Congo yy Allah ajaona uku kwa Wa Africa wakiuliwa?
Usiwe na hofu na hayo, wewe jitazame kwanza, halafu itazame hii mada. Umeielewa au haijakuingia bado?Mie nimeielewa ile adhabu ya dubei na yemen,,,,,bado hamjaiona nuru pamoja na majini yenu?? Au bado mnangoja waliberali wanaowahifadhi huko wawaonyeshe nuru??
Kuielewa inamaanisha nianze kumuelewa kobazi,,,,,,mababu zangu wamenikataza kumuelewa kobazi anaesitiriwa na makafiriUsiwe na hofu na hayo, wewe jitazame kwanza, halafu itazame hii mada. Umeielewa au haijakuingia bado?
Sasa awatete vipi zaidi ya hivi? Au huna macho?Kama Allah anauwezo mbona hawatetei hao wafuasi wake wanaouwawa kama Kuku?!
Nimeona viatu vya babu yangu hivyo vinatosha,,,sina shida na kobazi lolote la mashariki ya katiMa shaa Allah, ushawahi kuona viatu vya Yesu? Japo ja picha za kuchora?
Kumbe huelewi, kuwa Dubai imekuja ile baada ya mazayuni kupewa uraia Dubai? Jisomee kama ulikuwa huelewi:Bibi uwe unashirikisha ubongo japo kidogo, kwa hiyo ile dhoruba iliyopiga dubai hapa majuzi na kuleta mafuriko hadi boti zikawa zinapita mitaani nako wamejaa mayahudi?
Kwani hata matairi enzi hizo aliyatoa wapi,,hata hayo hayakuwepo,,,nimeliona kobazi lake la ngozi ya mbuzi na soli ya mbaoBabu yako hajawahi kuwa na viatu, labda useme kobazi za matairi aka makata mbuga.
Lile Tetemeko la Uturuki lililouwa Waisilamu pia lilisababishwa na ghadhabu ya Allah kwa Wazayuni?!Sasa awatete vipi zaidi ya hivi? Au huna macho?
Wakishakulaga shisha hawa na wakavimbiwa ubwabwa wa ngamia vijini vyao vinakuaga na mada za ajabu ajabu tuLile Tetemeko la Uturuki lililouwa Waisilamu pia lilisababishwa na Allah kwa Wazayuni?!
Ingekaa kimya hata wewe usingejua. Kabla hata ya vipigo walishaona kupitia utabiri wa hali ya hewa, na maafa yanatangazwa si kama kwetu Tz ingekuwa Siri na pengine WaTz kupotezwa na bibie rais kwa kuweka ukweli hadharani.Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.