Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

Huyu anaweza kuikataa areafiftyone
Ndio naikataa.It is commonsense.Wanajua wameweka VVU kwenye chanjo ya C-19!Wanachojaribu sasa kufanya ni kuficha uovu wao.Ilikuwa wapi siku zote,wamesubiri chanjo ovu ya C-19,ambayo kiukweli sio chanjo ni extermination tool ndio waiingize sokoni?Amka wewe acha uzuzu.

Na nashukuru unajua kwamba I am above that nonsense.Dawa ni kukataa chanjo ya C-19.Hii ni case ya "problem reaction solution " au "thesis, antithesis and synthesis." Hiyo dawa ya HIV itakuwa na madhara makubwa zaidi kuliko hata HIV yenyewe,amkeni jamani,woi!Hawa watu hawana jema kwetu wamekusudia kutumaliza!
 
ARVs ziko za aina nyingi sana na za gharama kubwa kadiri unavoweza afford uko Marekani. Cha ajabu wabongo wanaamini hizi ARVs za mtumba tunazopewa huku ni za sawa na wanazopata uko duniani.

Kuna dawa za zaidi ya dola 300 nani akulipie, tutaishia kupata hizi cheap ambazo patents zake ni rahisi na zina miaka kibao sokoni, wafadhiri wanalipia dozi mamilioni ya Waafrika hawawezi leta dawa advanced wataishiwa hela mapema. Unaona kama hao J&J (Johnson&Johnson) hawawezi toa ruhusa utumie tech yao wakati hawajapiga faida na kurejesha research & development cost.

Ni kama kwenda Kidimbwi kwa ofa ukataka ununuliwe Hennessy kisa haina hangover, utaishia kupata Serengeti Lite. Hizo dawa zisizo na side effects kubwa tutazisikiliza ukouko. Kwetu kuna mama mmoja anafanya kazi NGO moja anachukua dawa US hatumii hizi za Buguruni unazoenda umevaa sunglasses na ushungi.
 
Back
Top Bottom